LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mlipoambiwa Urusi sio Msumbiji mlikuwa mnakaza ubongo miaka mitatu iliopita. Leo hii mmekubali kwamba Russia ndio mkali wa hizi shughuli za mapigano ya kivita.
 
Lakini pia mji wa Chasiv Yar ni sehemu ambapo Ukraine anaanzishia mashambulizi kuipiga Russia. Kama mnakumbuka kabla Russia hajaukaribia mji huo, Ukraine walikuwa wanaishambulia sana Russia katika maeneo yake na yale iliyoyateka. Kwa sasa mashambulizi ya Ukraine kwa Russia yamepungua sana. Hivyo, kuanguka kwa mji huo mikononi mwa Russia kutasababisha Ukraine asiwe na platform ya kumshambulia Russia. Majeshi ya Russia yameapa kuuteka mji huo na kuukabidhi kwa viongozi wao tarehe 09 Mei, 2924 ambayo ndio siku ya sikukuu ya kusherehekea ushindi wa Vita ya Pili ya Dunia dhidi ya Nazis.
 
Thank you
 
Hii inaashiria Ukraine kaishiwa nguvu kazi ya vita.
Maana yake kuanguka ni wakati wowote.
Hakuna jeshi duniani linaloweza kupeleka wagonjwa vitani.
Hii ni dalili mbaya kwa jeshi la ukraine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…baada ya wagonjwa atapeleka viwete sasa
 
Naona Jana walipata ahueni kidogo! Ni mianane na sitini tu ndio walilambishwa mchanga!
 

Attachments

  • 1714899388937.jpg
    246 KB · Views: 3
Hili hata mimi limenifikirisha,naomba ufafanuzi Chasiv Yar ina kitu gani cha ziada ambacho wengi hatukijui.
Chasiv Yah ni kama ilivyokuwa Avdiivka.ni ukuta wa ulinzi kuelekea miji ya Kramatorsk, Slaviansk ambayo ndo miji ya mwisho kwenye jimbo la Donesk.

Maana yake ikianguka tu hii miji basi Warusi watakuwa wana uwezo wa kushambulia Kharkiv kwa nyuma.kwa iyo itakuwa ngumu kukinga mashambulizi mbele na nyuma.Pia jimbo la Zaphorozhyia nalo itabidi vikosi vya Ukraine kuondoka kwa sababu barabara ya kuingia itakuwa kwenye range ya Warusi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…baada ya wagonjwa atapeleka viwete sasa
Viwete tayari walishapelekwa.
Kuna komenti humu ilimuonesha mpigamaji wa Ukraine alievunjika miguu yote miwili,anatumia ya bandia,aliambiwa kua anatakiwa vitani,akajibu kua Hana miguu,imekatika,akaambiwa alete cheti Cha daktari.
Na wote wenye ulemavu wapeleke vyeti vya dakatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…