Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya bishana na hawa Armenia wamiliki WA hizo S300 ambao wenyewe wamekiri zimeharibiwa lkn ww mtanzania unabisha kwamba sio kweli
Armenia released photos of destroyed S-300 by TB2 drone
 
Mzee! Hatetewi mtu wala upande. Ila hawa ni wanamgambo wa Syria waliyoamua kulipa fadhila kwa Putin kwa kile alichowasaidia nchini mwao. Video zao zipo twitter wamejitolea wenyewe kwenda na wanazungumza kwa mapenzi yao wenyewe. Na hii imekuja baada ya west kuruhusu watu wao kwenda kuwasiaidia Ukraine hivyo nao hao wakaiomba hiyo fursa.

Hao wote endapo watachukuliwa Russia wamesema wana mpango wa kuwapeleka majimbo yaliyojitenga nchini Ukraine kupigana pamoja na wanamgambo wa huko.
 
Response ya Ramazan kadyrov, kuhusu tweet ya Elon Musk.
Picha ni tweet ya Elon.

Na hii ni reply ya Ramazan.


Well, that's a completely different matter.
Ilona is a very beautiful name, graceful, refined. I'm glad that Musk listened to my wish. So much better. It would be necessary to rename the login from Elon to Elon Musk.

And yet, Ilona, do not try to compete with my President. I'm his foot soldier, and I'll have to challenge you back. And then it will no longer be a funny harmless correspondence. Save your hands, they'll need to tweet.
 
Mkuu, usisahau humu wap
Mkuu, usisahau humu tumo pia wachangiaji kama mimi nina vifaa vyote hapa Kibaigwa napata Feeds kutoka uwanja wa vita na duniani kila dakika 5.

Ila huchambua cha kuandika maana taarifa (information) nyingi kwa sasa ni Disinformation na sio Information, kwa malengo ya kupoteza umakini katika kufuatilia habari.
 
I invite all friends of Ukraine to visit Kyiv. It can be dangerous here. Because our sky is not yet closed to Russian missiles and planes. The decision to strengthen our arsenal in the air has not yet been made. We have not received planes. But... You know for sure that the eyes of all the people of the world are now focused on our capital, on Ukrainians. So everyone who is with us will receive gratitude. Not only ours, but also of other nations of the world. Zelensky said!@Galip SV Liwagu
 
FIDE moved the World Chess Olympiad from Moscow to Chennai, India.

“The exact dates are being discussed, but the event will take place in late July or early August,” the organization said in a statement.

The Olympics were to be held in the Russian capital from July 26 to August 8.
Galip SV Liwagu
 
Fox News said that a local journalist who advised the TV channel was killed in the shelling in Ukraine.

This happened during the same shelling, after which the operator was killed, as the channel reported earlier.
Liwagu Galip SV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…