Mkuu nipe dondoo kidogo,biblia inasema nani anaenda kuibuka kinara kati ya timu Russia na team usa na waisrael wake?
Kwa yanayoendelea katika ardhi ya Israel ikatokea mtu akatuaminisha kuwa wale jamaa ndio wateule na ule mji ni kwa ajili yao basi nitaamini Mungu hatafsiriki kirahisi. Wote tunaona muovu ni nani kati ya pande hizi mbili.
Israel mungu atawaokoa watu 144000.
Ufunuo 7
Hao ndio ambao hawakujichafua na uchafu unaoendelea duniani.
Hawakushiriki kwenye ushoga,wala uchafu mwingine hao wengine ata wakifa vitani, wanunue silaha kwa pesa zao za mfukoni,Mungu hawawatambui.
Wengi wa waliopo israel ni machotara na sio wayahudi halisi.
Mungu aliwaambia wasiwe chotara,wala wasichanganyane damu na wasio wayahudi.
Ufunuo wa Yohana 7:1-4
[1]Baada ya hayo nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za nchi, wakizizuia pepo nne za nchi, upepo usivume juu ya nchi, wala juu ya bahari, wala juu ya mti wo wote.
[2]Nikaona malaika mwingine, akipanda kutoka maawio ya jua, mwenye muhuri ya Mungu aliye hai; akawapigia kelele kwa sauti kuu wale malaika wanne waliopewa kuidhuru nchi na bahari,
[3]akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao.
[4]Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.
Wayahudi halisi ni wachache mnoo na sharti wawepo kwenye nchi Ya ahadi.
Marekani hukumu yake ilishatangazwa kwenye maandiko.
Na mrusi anaita silaha zake (GOD'S JUDGMENT ) BILA MWENYEWE KUJUA.
WAKATI HAYO YANATOKEA maandiko yanasema DUNIA itakuwa kwenye dhiki kuu mfano wake haujawahi kutokea.
Dunia itaanza ubatizo wa moto,
Maana ilishabatizwa kwa maji wakati wa Nuhu.
Ubatizo wa moto utakamilishwa na Mungu mwenyewe
Mwenye sikio na asikie