Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kwishaaaa habar ..SERGEI SHOIGU awasili IRAN
View attachment 3062168
Ili swala zito sanaaaSERGEI SHOIGU awasili IRAN
View attachment 3062168
Received from?⚡North Korea received 250 x Hwasong-11D new tactical ballistic missile launchers with a range of over 200 km.
Mkuu nipe dondoo kidogo,biblia inasema nani anaenda kuibuka kinara kati ya timu Russia na team usa na waisrael wake?Shalom
Kwa wakristo halisi ambao hawajafungwa na kanuni za kimadhehebu,ambazo zinapingana na neno la Mungu .
Armageddon itapiganwa middle east, katika mji wa DAUDI
Na mfalme wa kaskazini ataiangamiza babeli mji ule mkuu mama wa machafuko ya dunia, na atapoigeukia israel ndipo Armageddon itakamilika
Wakati huo bibi arusI amekwisha nyakuliwa mbinguni,lakini makanisa yataendelea na segere makanisani bila kujua Bwana arusi alishakuja.
Ukiona umeyashuhudia ayo yote basi jua umekwisha achwa.
Israel mungu atawaokoa watu 144000.Mkuu nipe dondoo kidogo,biblia inasema nani anaenda kuibuka kinara kati ya timu Russia na team usa na waisrael wake?
Kwa yanayoendelea katika ardhi ya Israel ikatokea mtu akatuaminisha kuwa wale jamaa ndio wateule na ule mji ni kwa ajili yao basi nitaamini Mungu hatafsiriki kirahisi. Wote tunaona muovu ni nani kati ya pande hizi mbili.
Hawa wanashida gan mkuuBangladesh