kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu hivi kile kinu cha Nuclear kule Kursky kipo chini ya nani mpaka muda huu?U.S. presidential candidate Donald Trump claims he advised Russian dictator Vladimir Putin to abandon plans to invade Ukraine, sharing his version of events in an interview with Elon Musk.
Tupe vitu mkuu🫡🇺🇦 AFU advanced from 1 to 3 km today in the Kursk region, control over 40 square km. of territory, 74 settlements under our control: Syrskyi reported to Zelensky about the operation in the Kursk region.
📝Urgent..Official announcement Ukraine has captured 74 places. Under the control of Ukraine. The report of the Supreme Commander and Chief of Staff Oleksandr Syrsky continues: Our front and operational reports in the Kursk region. Despite the difficult and intense fighting, our troops in Kurshchyna continue to move forward, the exchange fund for our state is replenished.
74 settlements are under the control of Ukraine. Monitoring and stabilization operations are underway. The development of humanitarian solutions for these territories continues.
I am grateful to our soldiers for their heroic performance.
Our next preparations continue!
This report was confirmed by the Supreme Commander of the Armed Forces of Ukraine.
View attachment 3069045
13.08.2024
Kile kinu kipo ktk mji silsky comred,barabara ya kuingia kwenye mji huo tayari imeshakatwa, mapigano ndio yanaendelea huko, bila shaka ni suala la muda tuMkuu hivi kile kinu cha Nuclear kule Kursky kipo chini ya nani mpaka muda huu?
Kwa hiyo hutaki kwamba Putin anabokolewa...Yaani wewe ambae hata mfumo wenu wa elimu mbovu umezalisha kilaza ndio uwe na uwezo wakushauri kuhusu putin,very funny
Yaonekana wanajeshi wa Urusi wameona ujinga, aliyeanzisha vita isiyo na tija yeye anakula bata IKULU wakati wao wanakufa vitani - wamesema liwalo na liwe."Hundreds" of Russian soldiers have so far surrendered during Ukraine's operation in Russia's Kursk Oblast, President Volodymyr Zelensky said on Aug. 13.
"I would like to thank all our soldiers who replenish the exchange fund. It is very important for our country," Zelensky said in his evening address.
Kama humuamin kipanya basi muamini Al Jazeera!Ukiwa unasoma story za Kipanya bila kupitia news zingine unaweza sema Kursk imechukuliwa.🤣 Lakini ukweli nikwamba wanajeshi wa ukrein waliopo huko wanajificha na kilichobaki ni Wagner, akhamat na O group wanafanya usafi kumalizia shughuri.
Mpaka Leo Bado kipanya anaamini Bakhamut haijachukuliwa na Russia.
Na bahati mbaya taarifa zake nyingi za Kursk anazileta bila kuonyesha Tareh, mfano taatifa ya tare 4, 5, anaileta Leo kama taarifa mpya.
Kipanya kweli mbaya, Hawa hapa Al JazeeraUkiwa unasoma story za Kipanya bila kupitia news zingine unaweza sema Kursk imechukuliwa.🤣 Lakini ukweli nikwamba wanajeshi wa ukrein waliopo huko wanajificha na kilichobaki ni Wagner, akhamat na O group wanafanya usafi kumalizia shughuri.
Mpaka Leo Bado kipanya anaamini Bakhamut haijachukuliwa na Russia.
Na bahati mbaya taarifa zake nyingi za Kursk anazileta bila kuonyesha Tareh, mfano taatifa ya tare 4, 5, anaileta Leo kama taarifa mpya.
Kama humuamin kipanya basi muamini Al Jazeera!View attachment 3069453
Commander wa ukrein & Zeleboy hawawezi wakatoa taarifa tofauti na hio mkuu kipanya, kwa sababu hata ukisoma wao wamewanukuu ukrein hakuna official taarifa kutoka kwa waandishi wao waliopo Frontline. Kwahio huwezi kujua kipi nichakweli kwa kunukuu viongozi hao. Lakini ukweli unapatikana kutoka Frontline na wote tunaona.Kipanya kweli mbaya, Hawa hapa Al Jazeera View attachment 3069456
Jikite kwenye mada iliyopo, supapawa imekuwaje na yeye kavamiwa?..... What went wrong?Basi ww utakuwa unaamini biblia yako tofauti na inayo sema ni taifa teule.
Amka kumekucha mkuu, watu wamedhamilia kusonga mbele mpaka MoscowCommander wa ukrein & Zeleboy hawawezi wakatoa taarifa tofauti na hio mkuu kipanya, kwa sababu hata ukisoma wao wamewanukuu ukrein hakuna official taarifa kutoka kwa waandishi wao waliopo Frontline. Kwahio huwezi kujua kipi nichakweli kwa kunukuu viongozi hao. Lakini ukweli unapatikana kutoka Frontline na wote tunaona.
Kwamba silaha za mataifa matatu ni bora na zinanguvu kuliko silaha zote anazopewa ukraine na west😀Silaha za China, Iran na North Korea zinafanya nini Urusi?
Endelea kujipa matumainiKwa tactics anayoitumi Ukraine, lazima Urusi apate shida na itachukua muda Ku adopt,.
Ameamua kutumia mbinu za Mujahideen, Attack, hide and seek na inaweza kupunguza offensive front hasa Niu York, Kharkiv na Donbass ambako Ukraine anafanya vibaya
Russia akifanikiwa Ku handle hii new tactics ambayo ndio last hope ya Ukraine na west, hii vita itakuwa imeisha
Kabla ya hapo kwani hakuwahi kufanya hizo training?Russia kashafanya training ya nuclear zaidi ya mara tatu, mara ya mwisho ilikuwa kama wiki mbili zilizopita.
Ukweli ni kwamba Red sea hakupitiki.Hizo nyingine ni propaganda za West.USA yeye mwenyewe aliziposition asset zake zilizoko red sea kwa kuhofia hujma za Houthi rebels.Usitegemee kusikia taarifa kama hizi CNN au BBC .Meli za kijeshi za Marekani na Uingereza zinazunguka hapo bahari nyekundu na ya Sham. Hakuna cha Houthi wala mjukuu wake. Mambo ya kujilipua hayo yanadhibitiwa, sasa Houthi wamelipua nchi yao wenyewe ikawa magofu ndio waumize watu kichwa namna ya kuwakabili. Ni kuwahurumia tu unawapiga kidogo kidogo. Ila Israel haielewi ukileta mchezo inakujibu.
Vipi ile bandari ya Hodeidah ambayo Israel iliishambulia kama onyo inaendeleaje.
Na wakitwaa urusi huko ukraine huja mbio na habari zao ila Leo za ukraine hawaziamini. Vichekesho kutoka buza.aiseee!!!.kweli mapenzi yakizidi unakua ni ujinga, vita sio nzuri ila wapenzi wa Russia mmekua kama wajinga.. uko Ukraine anachukua maeneo nyie hamtaki kuamini🤣🤣 basi muende kwenye hio miji mkapige na picha jinsi wanajeshi wa urusi wasiopigika wanavyokula bata
Kuvamiwa supa pawa sio shida hata USA alipigwa Pentagon na wahuni tu,juzi Israel kavamiwa for 5 days na Hamas pamoja na ubora wote aliokuwa nao,bila kusahau Israel ndio taifa lililo na surveilance system bora zaidi duniani.Vita ni hesabu. Ukraine kapiga hesabu za kujimix na raia akijua URUSI itakuwa na jukumu la kwanza kuhakikisha usalama wa raia wake kabla ya kuwafurusha wavamizi.Hata Israel leo ni mwaka mzima anafukuzana na wahuni wa hamas ambao hawana silaha za maana na waliojifisha kwenye kaeneo kadogo usawa wa kuanzia Posta mpaka Msimbazi jijini DSm.Tukumbuke Israel ni USA 100% lkn hautosikia watu wakiwakosoa kwa kushindwa kumaliza operation na kikundi dhaifu cha wanamgambo walio na silaha za kujitengenezea wenyewe.Jikite kwenye mada iliyopo, supapawa imekuwaje na yeye kavamiwa?..... What went wrong?