myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Urusi kufanyaje!!!. Zamani walitupatia msaada wa elimu,kijeshi enzi za USSR. Zamani.Vichekesho kweli ,hivi viongozi wa Ulaya wa kuhusudu Moscow. Pamoja na shida zetu sijawahi kusikia mswahili anazamia/ store away Urusi. Mswahili ama Ulaya au Marekani.
Mkuu hivi unaweza kunipa link unayotumia kupata video za ndani ya mapambano kabisa?Maana nilipata video chache ulizopost huko mwanzo katika uzi huu.View attachment 2152719
Raia wenyewe ndo hawa achan na wale wa mchongo nyuma ya Camera za Mmagharibi wanaokufa na kufufuka nyuma ya Camera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka tukiwa wadogo Kijijini kuna njia porini ilisemekana kuna chui mkubwa hivyo kila mtu akawa anaogopa kupita. Baadae ilibainika sio Chui ila ni Paka pori.Zelensikky mwanaume wa shoka kawavuruga,Hakuna cha Superpower kijeshi,kumbe ni puto kuubwa lililojaa hewa tupu.
😂 😂 😂 😂Nakumbuka tukiwa wadogo Kijijini kuna njia porini ilisemekana kuna chui mkubwa hivyo kila mtu akawa anaogopa kupita. Baadae ilibainika sio Chui ila ni Paka pori.
Unapeleka wanajeshi wakapigane kumbe hata mishahara unawakopa achilia mbali uhaba wa chakula walionaoVideo: What the Ukrainian Invasion has Revealed about Russian Military Power
Sipendi propaganda yake mwishoni lakini analeta uchambuzi wa udhaifu wa jeshi la Kirusi (ulioshangaza watazamanji wengi, kama si wote)
Kama nusu tu ni kweli, hali ya jeshi la Putin iko duni kweli.
Naona ingekuwa hatari kama watu upande wa NATO wanaanza kufikiri eti sasa nafasi nzuri kuingia kwa nguvu zaidi maana jeshi hili la Urusi haliwezi!
Hatari ya silaha za nyuklia bado iko ambayo iko kubwa , hatari hadi kwetu hapa. Kwa hiyo watafute njia za kumaliza kwa kuelewana!
(bila silaha zake za nyuklia jambo lingemalizika haraka kwa kuingia kwa majirani na kufyeka mabaki ya jeshi la Kirusi)
Nimeishia kucheka 😀😀Jibu la Marekani kuhusu vikwazo alivyowekea na Mrusi.🙂