LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukrain hawana Nyuklia
 
(1) Warusi wana ukabila sana. Angalia warusi waliopo Ukraine wanavyojifanya kuwa wao siyo wa-ukraine. Ni sawa na Wamasai walioko Kenya eit kukataa kuwa siyo wakenya bali ni watanzania, au wamasai wa Tanzania kusema siyo watanzania bali ni wakenya. Warusi utaifa wao umeungana kikabila siyo mipaka ya nchi.

(2) Ukraine waliharibiwa silaha zote za Nuklia baada ya USSR kuvunjika na viwanda vyote vya nyuklia vikaharibiwa. Zoezi hilo lilifanyika sana wakati wa utawala wa Clinton na Yelstin. Kulikuwa na makubaliano ya kiulinzi waliyokuwa wamehaidiwa kutoka urusi, lakini baada ya kuharibiwa silaha zote za nyuklia, Putin sasa katupilia mbali makubaliano hayo.

(3) Kiwanda Cha chernobyl bado ni gofu miaka yote hii zaidi ya arobaini.

(4) Baada ya kumegewa Crimea, Ukraine walianzisha jeshi lao na kulipatia mafunzo na silaha kali sana kutokea Marekani na Europe. Vita ikipiganwa leo haikutakuwa njia rahisi sana kwa Urusi kama ilivyotokea wakati wa Crimea, inawezekana kabisa urusi akajutia kujipeleka katika vita hiyo.

(5) Walishafufua kiwanda chao cha ndege za kivita. Wakati wa USSR, kuna ndege fulani za kivita zilikuwa zinatengenezwa Ukraine ikiwa ni pamoja na lile dege kubwa sana kuliko yote dunian la Mriya. Baada ya usalama wao kuwa wa mashaka, walifufua ile production line ya ndege za kivita na viwanda vya silaha. Ingawa havijafika mbali, ila ni swala la muda tu.
 
kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewa
 
kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewa
Nato imeshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
 
Nato imeshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
maneno bila matendo hayasaidii lipo lipo wapi wakati nisasa kijana
hizo ndoto munazoota sahauni kabisa kuja kutokea
 
mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu.Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.

mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu.Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
Wewe unaijua Urusi au unaisikia tu. Urusi akitia mguu mahali marekani hufyata mkia fasta. Nakupa mifano miwili: Marekani ilikuwa inataka kumwondoa rais Asad wa Syria ili waweke kibaraka wao. Urusi ikapeleka majeshi yake huko na marekani akashindwa vibaya. Marekani ilitaka pia kumwondoa rais Maduro wa Venazuela ili waweke kibaraka wao, Urusi akatia timu na biashara ya kumtoa Maduro ikaishia hapo. Kwa ziada: Marekani waliwarubuni Ukraine wamwasi rais wao na wakamweka kibaraka wa Mabeberu aliyepo hadi leo. Kuona hivyo Urusi haikupepesa macho ikavamia Crimea, na hakuna yeyote aliyethubutu kujaribu kuwazuia. Sasa soma mkwarta wa Urusi hapa uone kama anaogopa au la:

Here’s what Russia told US and NATO after its proposals were rejected​

Moscow addressed the situation in Ukraine, US nuclear weapons in Europe, NATO violating treaties, and the law-based way forward

File photo: Russian President Vladimir Putin, February 15, 2022. © Sergey Guneev, Sputnik, Kremlin Pool Photo via AP
Russia may respond with “military and technical measures” to ensure its own security after the US and NATO ignored key points from its proposal for a long-term European security architecture, and instead cherry-picked issues from a package deal, Moscow said on Thursday.
The overall sentiment of the 10-page document, published by the Russian Ministry of Foreign Affairs (MFA) on Thursday, was that the US and its allies refused to even address Russia’s “red lines” and key security interests. The MFA also addressed specific issues such as Ukraine, Crimea, US troop presence and weapons build-up along Russian borders, as well as arms control. Here are the key takeaways.
Russia has no plans to invade Ukraine, Moscow says
Moscow insists that there is no “Russian invasion” of Ukraine, nor are there any plans for one. Accusations by the US and its allies about Russian responsibility for the “escalation” in Ukraine can only be seen as an attempt to pressure Moscow and dismiss Russian proposals for security guarantees, the document argues, calling the conflict in Ukraine “entirely internal in character.”

READ MORE: Moscow responds to US security proposal 'cherry picking'
Moscow argues the conflict can only be resolved through the implementation of the Minsk Agreements and the measures envisioned therein. The UN Security Council Resolution 2022 names Kiev and the regions of Donetsk and Lugansk as the parties concerned, while Russia is a mediator alongside France and Germany, in the so-called Normandy Format. To de-escalate the situation in Ukraine, the MFA says, the West needs to compel Kiev to implement the measures agreed in Minsk, stop sending weapons to Ukraine, withdraw all of its advisers and instructors, stop NATO exercises with Ukraine’s military, and pull all foreign weapons previously delivered to Kiev from Ukrainian territory.
Moscow says Crimea case ‘closed’

Russia did not “occupy” Ukrainian territory in 2014, the MFA insisted, arguing that “the loss of territorial integrity by the Ukrainian government is the result of internal processes in that country,” and, specifically, pointing to the coup d’etat backed by the US and its allies, “whose perpetrators embarked on building a nationalist state infringing on the rights of ethnic Russians and Russian-speaking people, as well as other nationalities.”
READ MORE: West ‘deceived & crucified’ Ukraine: Key takeaways from interview with Russian FM spokesperson
In those circumstances, Moscow says, the region of Crimea and the city of Sevastopol held a referendum to rejoin Russia, in line with the UN-guaranteed right of self-determination. “No force or coercion was applied. The question of where Crimea belongs is closed,” the MFA said. Ukraine still considers the peninsula to be part of its territory and its state policy is to “reintegrate” it by any means, including force. The US and NATO likewise do not recognize Crimea rejoining Russia, calling it an illegal “annexation.”
US must withdraw from Russian borders, Moscow insists

Russia has “no forces on the territory of Ukraine,” the MFA said in the document, adding that the deployments of troops within Russia’s own territory “do not and cannot concern the fundamental interests of the United States.” By contrast, Russia said, the US and its NATO allies have expanded their military infrastructure eastward, violating both the 1990 Treaty on Conventional Forces in Europe (CFE) and the 1997 Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security between Russia and NATO. Moscow insists on the withdrawal “of all US armed forces and weapons deployed in Central and Eastern Europe, Southeastern Europe, and the Baltics.”
Russia says NATO’s ‘open doors’ policy violates security

While the US remains committed to NATO’s policy of “open doors” – not ruling out admission of any country that applies to the alliance – Moscow noted that this violates the commitments NATO made in June 1991, to not endanger legitimate interests of other states or create new lines of division in Europe.
READ MORE: NATO expansionism has suffered a major setback
It also clashes with the principle of indivisibility of security which the US committed to under the treaties that established the Organization for European Security Cooperation (OSCE), namely to “not to enhance their security at the expense of the security of others,” in Russia’s view. “We call on the US and NATO to return to their international obligations in the sphere of supporting peace and security,” the MFA said. “We expect from the alliance specific proposals on the form and content of legal guarantees that NATO will not expand further to the east.”
Moscow wants indivisible security for all, not just NATO

Washington needs to demonstrate it actually believes in the principle of indivisible security, Moscow argued, accusing the US of refusing to give up its “counterproductive and destabilizing course” of seeking advantages for itself and its allies at the expense of Russian security interests, while threatening Russia’s borders. In Moscow’s view, the right of countries to “freely choose or change their security arrangements, including entering alliances,” which the US cites, is not absolute, but is only half the formula contained in existing European security treaties. The document points out that Washington keeps omitting the second half, about not enhancing one’s own security at the expense of others.
Russia wants NATO to stop putting nukes in Europe

There was no answer to the Russian proposal to stop deploying nuclear weapons outside one’s own territory – something the US has repeatedly done with NATO allies, in violation of the nuclear non-proliferation treaty (NPT), the MFA said. Such weapons are currently deployed in the territory of several NATO members and are capable of targeting Russia.
READ MORE: Russia & France could go to war, Putin warns Macron
Moscow insists they must be withdrawn, the infrastructure for quickly redeploying them to Europe dismantled, and NATO must stop training non-nuclear members in the handling of such weapons. “Without the removal of this irritant, discussion on the topic of non-strategic nuclear weapons is impossible,” Russia said.
Violation of ‘red lines’ may lead to ‘military-technical’ response – Moscow

The US and NATO are increasing their military activity on Russia’s borders while ignoring Moscow’s “red lines” and fundamental security interests, the MFA said, describing the situation as a “cause for alarm.” Russia described ultimatums and threats of sanctions as “unacceptable” and said they undermine the chances of reaching actual diplomatic agreements. Since the US is not prepared to discuss firm and legally binding guarantees of Russian security, Moscow will be forced to respond, including “through the implementation of measures of a military-technical nature,” the MFA said.
 
kukubali yaishe nn RUSSIA hakutaka kuikaia UKRAINE ila yupo wazi UKRAINE haitakiwi kuingia NATO hili kaliweka wazi kama NATO wanauwezo waiunge UKRAINE na NATO ndio mutaelewa
Nato ameshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
 
Nato ameshaweka wazi kwamba swala la Ukraine kujiunga na Nato liko pale pale na kwamba Russia hana haki ya kuiamulia Ukraine mambo yake.
maneno bila vitendo ni taarab au mziki kama miziki mengine
hakuna siku utaiona UKRAINE ikiwa NATO kama waingojea utaingojea mpaka kufa kwako
 
Nafikiri huwajui vizuri Urusi,
Kwa ufupi wanachokisema sio wanachokifanya ,wanachokifanya sio wanacho kisema
 
maneno bila vitendo ni taarab au mziki kama miziki mengine
hakuna siku utaiona UKRAINE ikiwa NATO kama waingojea utaingojea mpaka kufa kwako
Let us close this baseless argument because we won't gain anything out of it, after all none of us is a Russian or Ukrainian.

Those are neighbours in glass houses and neither of them is ready to throw a rock and that's why the belligerent Russians have decided to demobilize peacefully.
 
Ni kweli Kwa sababu wahawana mkataba Wooten na Ukraine si mwanachama wa NATo.Marekan Ashanza kupeleka anti tank.Putin Hawez kuiva mia Ukraine narudi Hawez
 
Hao watu wa Ulaya na NATO waziingize kwenye umoja huo wa NATO hizo Ukraine na Georgia kama kweli wapo serious kuitisha Russia. Russia anaogopa adui wa ndani ya nchi yake haogopi adui kutoka nje.
====
Dawa ya NATO inachemka.


Mbona husemi kama uyo Russia amechezea kichapo na hicho kinchi kidogo Cha Georgia
 
Unafatilia Sana siasa za huko umechambuwa vizur saana mkuuu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
India hawez kuingilia .pia china ana uwadui majiran zake wote kasoro Korea kaskazin.Ujeruman ina Hela anawez nunua gesi kokote Urussi ndo loser ndoman madai yake yame kataliwa na majeshi anarudisha.afu aliyevkwambia Us anauza gesi nani? yaye anazalisha pia nimtumiaj mkibwa kiasi kwamba ana import
 
Hadi kufikia Februari 13, matajiri 96 kati ya 100 nchini Ukraine wamekimbia, huku wabunge 37 wa bunge la nchi hiyo pia wamekimbilia nje ya nchi.
Akikasirishwa na hilo, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka "wakimbiaji" hao kurudi nyumbani ndani ya saa 24, la sivyo "watakabiliwa na madhara makubwa".

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…