LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umetisha mkuu🙌 Putin atakuwa ni Disconnector 🦉🐒.

Ngoja ni subiri uchambuzi wa magharibi
 
Umetisha mkuu🙌 Putin atakuwa ni Disconnector 🦉🐒.

Ngoja ni subiri uchambuzi wa magharibi
We acha TU ndugu yangu Afta,hapa naongea facts tupu.
Hebu nikuulize maswali,
Anaepigwa ni Ukraine au kwa lugha nyingine vita ni kati ya Urusi na Ukraine.
Je NATO wanakaa vikao au hawakai?
Je G7 wanakaa vikao au hawakai?
Je EU wanakaa vikao au hawakai?
Je collective west wanakaa vikao au hawakai?
Hapa nauliza vile vikao vinahusu kuisaidia Ukraine.
Je hizo nchi zote hazijachangishana silaha kuipa Ukraine?
Je hazijachangishana fedha kuipa Ukraine?
Je hazijachangishana vikwazo vya kuiumiza Urusi,je Urusi imeumia?
Ndugu yangu Afta namba hua hazidanganyi.
Na vita ni tukio la wazi Kila mtu anaona,ni kama vile Football, Football ni mchezo wa wazi Kila mtu anaona.
 
Kwa upande wangu sijaona Cha kukupinga(Nimejibu kiujumla mkuu)

Ila Wafuasi wa Magharibi watasema North Korea,Irani na China wanaipa sapoti Urusi na sio jambo baya,ila licha ya yote Urusi Bado anaonesha ukuu na umwamba
 
Unakula Sato kijana, Doh! Hiyo kitu napenda sana na imenifanya nisiwe natulia kwangu, kwa mwaka natembelea kanda ta ziwa mara tano, hasa kwa ajiri ya samaki tu

Hhiii bhaghoshaaa...!
 
Kwa upande wangu sijaona Cha kukupinga(Nimejibu kiujumla mkuu)

Ila Wafuasi wa Magharibi watasema North Korea,Irani na China wanaipa sapoti Urusi na sio jambo baya,ila licha ya yote Urusi Bado anaonesha ukuu na umwamba
Mkuu chukua maneno yangu.
North Korea na china bado hawajaingia mzigoni,muda ukifika wataingia.
Unajua Kuna kitu kimoja vitani,Kiko hivi,
Kuna nchi kama Iran iliwahi kuipa Urusi drone zake na zikafanya vizuri TU,Tena mwanzoni kabisa mwa vita.
Wakati huohuo ujue Urusi Ina drone zake.
Unajua lengo la Iran?
Kuipa drone Urusi?
Lengo ni kuzijaribu uwezo wa droni zake kama ziko effective vitani.
Hali kadharika na kwa Noko na hata china ,kama wanatoa ni kujaribu silaha zao kwenye uwanja halisi wa vita.
Kumbuka Urusi Leo hii inazalisha silaha mara Tatu kuliko NATO wote kwa mwezi.
Lakini sababu nyingine kwa Urusi Ukiona anatumia silaha za marafiki zake ni kutaka kuepuka kutumia stock yake hovyo.
Lakini sio Kwa kuwa wamezidiwa ama wameishiwa.
 
huku ngonho,ziba,iborogelo mpaka nkinga tunamshauri tu zele apandishe bendera nyeupi maana huyo V.V.P hawezekaniki ni heavy element Iliyozaliwa baada ya star kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…