Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
BMW and Volkswagen are suspending factories across Europe due to a shortage of parts imported from Ukraine, reports the Financial Times. Galip SV Liwagu View attachment 2152918
Ndiyo, NATO haiko Ukraine na Ukraine haiko NATO. Putin anashambulia akitaja sababu za uwongo.The German government, commenting on the idea of sending NATO peacekeepers to Ukraine, said that Berlin is against sending any military alliance to Ukraine. Galip SV Liwagu View attachment 2152921
NATO ilikuwepo tayari ndani ya Ukraine wakifanya mazoezi ya pamoja.Ndiyo, naona kuna busara kama serikali ya Ukraine iko tayari kusogea kiasi. Ila naweza kuwaelewa kama hawakuwa tayari kukubali moja kwa moja hadi ibaonekana Urusi haiweza kutenda jinsi inavyotaka.
Ungeamini wewe ahadi yoyote ya Putin ?????
Urusi iliahidi tayari kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea katika mkataba wa 1994. Matokeo yake tunaona.
Nato haiko Ukraine, haikuwepo Ukraine na imekataa mara kadhaa kupokea Ukraine.
Ukraine imepata hasara kubwa (kwa sheria ya kimataifa Urusi inatakiwa kulipa fidia).
Aliyepoteza vita ni Putin, hata akifaulu kuteka Kiev. Maana ameharibu nchi yake Urusi, amerudisha uchumi wake miaka mingapi, amefikisha mamilioni ya wananchi wake kwenye umaskini, Pia ameonyesha udhaifu wa jeshi lake (ambayo hakuna aliyetarajia tokeo hili).
Asante ila nisahihishe kidogo: vita ya Putin imeleta hatari na kupanda kwa bei. Maana kumjibu kwa vikwazo - sanctions ni njia ya kirafiki ya kumjibu mhuni anayevunja amani na sheria ya kimataifa.Oil, gas, metals and grain are getting more expensive on the world market.
Anti-Russian sanctions are damaging the entire global economy. Even Switzerland is talking about a possible recession. And Elon Musk complained about the inflation faced by his companies SpaceX and Tesla.
He accompanied his tweet about this with a link to an article about a record rise in commodity prices due to events in Ukraine.
About which export items Russia occupies a leading position in the world.
kwA nini Hawa NATO hawAtaki kuingia kwamba wao hawatamani kumchakaza putinMimi ni mrusi kutoka Mbagala lakini niwe muwazi tu jeshi letu ni overrated,hamna kitu ni urojo mtupu.
blaza Putin ni mwepesi sana,nafikiria NATO na U.S wangeingia vitani naamini tungechapwa kichapo cha maana.
Putin abadili mbinu tofauti na hapo Ukreine watatusumbua sana hawa mbu.
Yani umeshindwa kumwelewa kabisa Tsh ,amekujibu ili kukuridhisha kwa kile ukitakacho kukisikia,rudi tena umsome vizuri comment yake😀Siye tuliwaambia lazima Ukraine asalimu amri, watu wakawa wanabisha😆😄😂
Na kufanya hilo ndio salama ya Ukraine...hakuna njia mbadala.
KAka hili ni jibu dhaifu sana!! Watu wachache kama washauri si vituo vya kijeshi wala hakuna kikosi cha NATO katika Ukraine.NATO ilikuwepo tayari ndani ya Ukraine wakifanya mazoezi ya pamoja.
Ndio waliokuwa washauri wao wa Kijeshi.
Ndio waliokuwa wanawatrain mbinu za kivita za kimagharibi.
Kumbuka duniani Kuna aina mbili za kimapigano Kijeshi Kuna mbinu za mashariki na Magharibi, hata ubebaji siraha upo tofauti.
Ulitaka ushahidi Gani upewe?
We nyooka tu NATO akiingilia kuna viumbe wengi watapotea aseehAsante ila nisahihishe kidogo: vita ya Putin imeleta hatari na kupanda kwa bei. Maana kumjibu kwa vikwazo - sanctions ni njia ya kirafiki ya kumjibu mhuni anayevunja amani na sheria ya kimataifa.
Zamani angeona tu jibu la kijeshi ambayo ingekuwa hatari zaidi.
Unajisumbua sana kijana. Mimi na wewe tupo katika ulimwengu tofauti kabisa. Wewe upo katika ulimwengu wa wajinga siyo muda mrefu utaingia ulimwengu wa kipumbavu.Asante ila nisahihishe kidogo: vita ya Putin imeleta hatari na kupanda kwa bei. Maana kumjibu kwa vikwazo - sanctions ni njia ya kirafiki ya kumjibu mhuni anayevunja amani na sheria ya kimataifa.
Zamani angeona tu jibu la kijeshi ambayo ingekuwa hatari zaidi.
Safi sanaThe Committee of Ministers of the Council of Europe expelled Russia from the organization.
The Russian flag is lowered outside the Council of Europe building in Strasbourg. Galip SV Liwagu View attachment 2152971
hahhhaa! She made my daySikia hii
View attachment 2152908
79yrs old sasa anazeeka vibayaBiden again misspoke: now he called Kamala Harris the first lady at a press conference.
“The list of those present on stage has changed a bit: the first lady’s husband has contracted the coronavirus,” he said, referring to Kamala’s wife.
To which his wife Jill said that the husband of the first lady is him. “Ah, right. It's me," Biden joked.
Galip SV Liwagu