LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hadi vita inaisha Ukraine atakuwa powerful na Russia atamuheshimu sana. And if we don't take it serious pengine Ukraine wameaanza kuunda Bomu la kiatomic
 
Hadi vita inaisha Ukraine atakuwa powerful na Russia atamuheshimu sana. And if we don't take it serious pengine Ukraine wameaanza kuunda Bomu la kiatomic
Hapa lazima heshima iwepo, kila Mmoja atakuwa anatrend carefully kwa mwenzake!
 
Bora ungetoa tahadhari kabla ya kupost, picha zinaogopesha. Moderator uzi huu unaudhi sana maudhui yanakera
Wewe kijana unakuudhi pekeako na hujaitwa huku

Tumekustukia pro nazi umeona unakula spana huko field ndio maana unalia lia

Nenda kwenye uzi wenu kule ukale tunda kimasihara huku hujaitwa lakini kijanaπŸ˜€
 
Dogo,
Matusi ulianza wewe. Au unataka utakane halafu wewe usitukanwe.

Wahenga walisema unavuna unachopanda.

Eti uletewe taarifa rasmi ya serikali ya China!!! Nani alikudanganya kuwa serikali za kikomunisti husema ukweli???
Sasa mbona unaamini huo uongo walousema hapo wakati unakiri kua hawasemi ukweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa mbona unaamini huo uongo walousema hapo wakati unakiri kua hawasemi ukweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna uongo wowote pale, ni kweli tupu.

Nimemkosoa huyo dogo aliyesema apewe taarifa kutoka kwa siri-kali, ndo nikamwambia huko hakunaga ukweli kabisaa. Ni kama kwa Tz utarajie kupata ukweli kupitia TBC, utakuwa hujitambui
 
The Armed Forces of Ukraine regained control of Martynivka after being in the gray zone due to Russian counterattacks. Geolocation images also show how Ukrainian Armed Forces forces advance east of the city, close to the railway tracks. The battles take place in the direction of Ruska Konopelka and Pushkarny.
 
Ukraine nilisapoti kuchapwa kwasababu kadhaa
Kwanza wanahatarisha usalama wa russia
Pili walipeleka majeshi iraq wakaua watu sasa zamu yao
Acha wafe ikibidi hata wote watazaliwa wapya
 
Hakuna uongo wowote pale, ni kweli tupu.

Nimemkosoa huyo dogo aliyesema apewe taarifa kutoka kwa siri-kali, ndo nikamwambia huko hakunaga ukweli kabisaa. Ni kama kwa Tz utarajie kupata ukweli kupitia TBC, utakuwa hujitambui
Sasa mbona juu pale ulisema china hawatoi takwimu za kweli

Hueleweki kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…