Jitahidi usome hii thread tangu mwanzo hautauliza swali kama hili vinginevyo unatupotezea muda.Self defeating argument, unasema uhuru wako usiwe hatari kwa uhuru wa mwenzako, hii iko sawa.Sasa turudi kwenye uhalisia wa vita, kwamba Urusi ameivamia Ukraine ili kuzuia Ukraine kuwa na silaha za maangamizi na zaidi Putin alisema anataka ku neutralise uwezo wa kivita wa Ukraine. Hapo hapo Urusi kajaza kwenye magala yake silaha ambazo anazosema zisiwekwe karibu naye. Kwa hoja Ukraine ndiye alipaswa kuishambulia Urusi kutokana na silaha za Urusi kuhatarisha usalama wake.
anasubiri nini,si afe tu...79yrs old sasa anazeeka vibaya
Ndiyo, naona kuna busara kama serikali ya Ukraine iko tayari kusogea kiasi. Ila naweza kuwaelewa kama hawakuwa tayari kukubali moja kwa moja hadi ibaonekana Urusi haiweza kutenda jinsi inavyotaka.
Ungeamini wewe ahadi yoyote ya Putin ?????
Urusi iliahidi tayari kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea katika mkataba wa 1994. Matokeo yake tunaona.
Nato haiko Ukraine, haikuwepo Ukraine na imekataa mara kadhaa kupokea Ukraine.
Ukraine imepata hasara kubwa (kwa sheria ya kimataifa Urusi inatakiwa kulipa fidia).
Aliyepoteza vita ni Putin, hata akifaulu kuteka Kiev. Maana ameharibu nchi yake Urusi, amerudisha uchumi wake miaka mingapi, amefikisha mamilioni ya wananchi wake kwenye umaskini, Pia ameonyesha udhaifu wa jeshi lake (ambayo hakuna aliyetarajia tokeo hili).
Hapana, tatizo kubwa nchi ndogo zinapomikili silaha kubwa huleta shida kwenye jumuiya za kimataifa. Unaona KOREA KASKAZINI?? Mud wote wao wanatamani vita, ugomvi na ubabe. Urusi miaka yote hawana ugomvi na wala hajawahi hatarisha maisha ya wengine.Self defeating argument, unasema uhuru wako usiwe hatari kwa uhuru wa mwenzako, hii iko sawa.Sasa turudi kwenye uhalisia wa vita, kwamba Urusi ameivamia Ukraine ili kuzuia Ukraine kuwa na silaha za maangamizi na zaidi Putin alisema anataka ku neutralise uwezo wa kivita wa Ukraine. Hapo hapo Urusi kajaza kwenye magala yake silaha ambazo anazosema zisiwekwe karibu naye. Kwa hoja Ukraine ndiye alipaswa kuishambulia Urusi kutokana na silaha za Urusi kuhatarisha usalama wake.
Ndugu mpendwa, ukiwa mtaalamu hapa:Umeandika ki pro west kama unavyosikia hapo DW
Huu ndio ulaghai wa Urusi, Ukraine na nchi nyingine zilizo karibu na crazy neighbors zinapaswa kujifunza kutokea hapa. Ukraine avumilie na ikiwezekana achanganye na ulaghai, ili hii vita ikiisha, aache mambo mengine atengeneze nukes za kutosha. Ujinga huu wa kuvamiwa kienyeji utakuwa umekoma.Endapo ukraine ingeukwepa mkutano wa mwaka 1994 isingechezewa namna hii urusi iliilangai
View attachment 2152631