Hii muhimu sana.Putin called Western sanctions a lesson for Russian business, noting that "there is nothing more reliable than investing in your country."
Galip SV Liwagu View attachment 2153035
Wao hawana?Kuna mizigo ya nyuklia watakutana nayo.
This is so truePutin signed a decree "On measures to ensure socio-economic stability and protection of the population in the Russian Federation" - Kremlin. Galip SV Liwagu View attachment 2153069
Habari kwa wasiojua kitu.Kyiv, with outside help, could create a nuclear weapon, the target of which would be Russia-Putin. Galip SV Liwagu View attachment 2153014
Ukimlaumu wewe inatosha ..tusipangiane sawa.Hivi tushangile mauaji haya ya Purtin eti kwa ushahidi kuwa America naye waliwahi kuivamia Iraq, nisawa kuwa na sisi watanzania aje Gaidi kama Purtin atuvamie then tukilia kuwa Taifa letu limevamiwa basi mataifa mengine waje washangiie kuwa iliwahi tokea na sehemu nyingine duniani
America waliwajibika kuvamia nchi za kiarabu kwa kujitetea baada ya magaidi kuishambulia marekekani na magaidi wakiwa wanahifadhiwa na hizo nchi
Purtin ni Gaidi muuaji na kibaya anataja hadharani kuwa atatumia nuclear, hivi hapa sasa binadamu anaemuunga mtu kama huyu anae ua watu mpaka anatishia Kuua watu na nuclear ni binadamu wa ajabu mwenye akili kama Purtin na hizi akili sio za mmarekani
Kila mtu humu amlaani huyu muuaji jangili Purtin
West’s global political and economic dominance ends – Putin
The Russian President says that the “myth of the Western welfare state, of the so-called golden billion is crumbling.”
Russia’s President, Vladimir Putin, has opined that the latest raft of unprecedented sanctions imposed on Russia by the US and its allies over the Kremlin’s military campaign in Ukraine, mark the end of an era. According to Putin, from now on the West will be losing its “global dominance” both politically and economically.
Unaruhusiwa tu nduguNaruhusiwa kuscreenshot hii comment?