Dah Leo Wamechezea Kichapo sio cha kawaida hivi Hawa jamaa hamna mwenye akili awambie hii nchi wataijengaje??? Leo miji yoote iko gizani kichapo kimetembea sio mchezo.Muda huu ukraine itateketea kuna ndege angani nyingi
Kule baharini kuna manuari nyingi zinataka peleka kilio
Bila kusahau na drone zinataka peleka mauaji
Ukraine ichapwe tuuuu
Tulienii tulieeeni leo mmechezea kichapo hakijawahi kuonekana barani Afrika msanii kajificha PolandTuhurumie Putin leo kweli umeamua, ila tunakulipa
Leteni updates wapendwa. sisi wengine tunawania tuzo ya usomaji bora.
Aione Mapaya Kwenye Failiii...Kuna ile unakua na uwezo wa kufanya kitu lakini hutaki kufanya, asio na akili anakuona kama mdhaifu hivi. Anapata kiburi na hamasa ya kukuchokoza zaidi...
Mda ukiamua kusema sasa yatosha anaanza kulalamika unamuonea.
Sidhani hata kama masaa manne yamefika ila Ukraine nzima imedunguliwa. Kiev, Odessa, Nikolaev, Zaporozhye, Zhitomir - no electricity at all.
Chini hapo ni raman ya maeneo yaliyopigwa.
View attachment 3079558
Hakuna Air defence inafanya kazi Ukraine, imetokea mara chache tu upande wa mikoa ya Vinnystia na Kiev mara chache kwasabab Air force yote imepelekwa mpakani karibu na Kursk.
Taratibu wanaanza kuelewa kwanini Mrusi aliwaacha wajazane huko Kursk.
Vita ni sanaa, ila wengi washabiki wa nje tunaendeshwa na mihemko hapa. Kelele mingiiiii haya sasa kumekucha huko.
Kwa kuitaja, mikoa iliyogusa joto la asbh ni hiyo hapo.
βͺοΈKirovograd
βͺοΈKremenchuk
βͺοΈVinnytsia region
βͺοΈKharkov
βͺοΈKiev
βͺοΈMirgorod (Poltava region)
βͺοΈTernopil region
βͺοΈPoltava region
βͺοΈLvov region
βͺοΈZhytomyr region
βͺοΈVinnytsia region
βͺοΈIvano-Frankivsk region
βͺοΈKhmelnytskyi region
βͺοΈOdessa region
βͺοΈChernigov region
βͺοΈKharkov region
βͺοΈZaporozhya region
βͺοΈRivne region
Assume hii mikoa ingekua ya Russia, na Kursk ndio Ukraine. Kisha imagine reactions ya team flan hapa jukwaani namna ambavyo ingekua.
For Russia, the more time that passes, it will only get worse. A new package of sanctions against Russia from the European Union is almost ready and will be released in the next few weeks after approval of the 27.Leteni updates wapendwa. sisi wengine tunawania tuzo ya usomaji bora.
Hii ni kweli kabisa, Ukraine wastaarabu sana!Nilitaka TU kukujulisha ustaarabu wa Ukraine sio uoga ama udhaifu.
Hizi ndege zikisha piga zinatoa Moshi ambao rada haioni ilpo ni flames FulaniKwan hakuna eya difensi za nyeto huko nyukireini mpaka wanapelekewa moto hivi
Waliambiwa zitachomwa moto zote wanazificha kama Maiti haya sasa...Kula kitu hicho...CC mapanyaF-16s may have been hit in Russian strike on hangar in Ivano-Frankovsk β resistance
According to the report, fuel tanks were also hit in the strike
MOSCOW, August 26. /TASS/. F-16 fighters might have been hit as a hangar containing freshly provided Western aircraft was struck in Ivano-Frankovsk, Sergey Lebedev from the pro-Russian underground resistance said via Telegram.
"Not only power facilities come under attack, as a hangar with recently supplied aircraft has been hit in Ivano-Frankovsk. Two F-16s were hidden there, according to underground resistance," he wrote.
Also, fuel tanks were hit in the strike, Lebedev added. Lots of ambulances are being seen on the streets of the Ukrainian city as the military has cordoned off some of its sectors, he said.
Sio mtaalam wa picture analysis ila hii picha ya ni ya kuunga unga. Haiwezekani ndege imeanguka na imo kwenye mlipuko wa namna hiyo halafu nyasi za zibaki kuwa intact na kijani namna hiyo. Yaani hapa mlichora moshi peke yake, mkachora vioande vya ndege peke take mkamalizia na nyasi then mkatengeneza collage mkatuletea hapa.Russian Orcs complain that the Tu-95 plane disappeared from radar when flying towards Ukraineππ. He picked up a gift along the way and fell. ππππππππππView attachment 3079867View attachment 3079868
Jamaa sijui kaelewaje. Mshikaji anaonekana ni mbumbumbuHakuna mjadala Tena kwa kifupi urusi hataki mapatano na Ukraine.
Hakuna jipya kwa rusia kuishambulia ukraine ni mwaka karibu wa tatu huu. Kwahiyo hakuna la kushangaa.Baada ya kichapo cha leo: Naombeni mnisaidie! Vipi hazifanyi kazi yake?? Au zimeisha??
Zelenskyy pleads with allies for help after deadly Russian strikes
He says more than 100 missiles have been used, and around 100 drones, and has called upon Western allies to provide air defence resources.
Ukraine war latest: Crashed plane pilot 'chose to fly to Kazakhstan' after dense fog, Russian watchdog claims
Russian media reports the country's aviation watchdog claims the pilot of the crashed Azerbaijan Airlines plane chose to fly to Kazakhstan after dense fog at its original destination. Several sources have said Russia's air defences caused the plane to crash.news.sky.com
KipichaF 16 zimekula kiberiti na marubani wake mmoja yule waliemlilia sana UK wanaswma alikua anatokea Reuters washenzi wameliwa Vichwa waliambiwa njooni lakini hamtatoka...Wanakuja tunamaliza wanaenda kuzikwa Miguu pekeee mbaafuuu
Kwakweli hii Hali inafikirisha sana. Adui anaonwa akikuijia, kisha waambiwa asishambuliwe mpaka akufikie!Vipi marekani kashawaruhusu au Bado mnasubiri maamuzi kutoka Washington?
Vichwa zaidi ya 6,200+ vya Ukraine na NATO soldiers vimeshakatwa.Leteni updates wapendwa. sisi wengine tunawania tuzo ya usomaji bora.