kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Nimejifunza kitu hapa, SMO siyo VitaKwanza inabidi uelewe tofauti ya vita na SMO.Ukraine yuko vitani - ndo maana unaona kuna Marshall laws, Rais kaongezewa nguvu, wanaume wamepigwa marufuku kuondoka Ukraine, Mobilization (Forced mobilization)..civilian military groups, Hakuna cha uchaguzi, kila kitu ni vita tu.
Russia akitangaza vita:
1.Uchumi wote:Industrial production zitabadirika - war economy...viwanda vinavyotengeneza civilian products asilimia kubwa vitapaswa kuzalisha mahitaji ya kijeshi
2 Marshall Law: Mambo ya uchaguzi, maisha ya kawaida hakuna
3.Full country mobilization: watu karibia 30M watapaswa kwenda vitank
4.Kutoka nje ya nchi itakuwa ni ngumu ili watu wasitoroke.
5.Huyo Putin ataongezewa nguvu kikatiba ya kuweza kuhandle mambo moja kwa moja...
6.Bunge lingetangaziwa fully na kupitisha.
7.Military exercises hakuna: Wote ni real war.Sasa hivi Russia Navy wako pacific huko wanafanya mazoezi utafikiri hawajui kinachoendelea.
8.Unlimited use ya silaha.Silaa za maangamizi nzitonzito ungeziskia - hata zilizozuiliwa.Watu wangepigwa hadi chemical weapons, (Kasome alichokua anakifanya USA kwa Wa - Vietnam.)
9.Total unhiliation ya miji: Kiev, Odess,Kharkiv,l usingeziona zimesimama....
10.Watu wengi zaidi wangekufa sababu ingekuwa ni kurusha makombora kwa lengo la kuharibu..
11.Hayo majengo ya Bunge la Ukraine, Serikali yasingekuwa yamesimama.
Nenda kaone anachokifanya Israel Gaza ndo utaelewa utofauti.vitu vinashushwa popote tu.
Au nenda kaangalie Berlin ilivyokua 1945....pamoja na mija mingine ya Ulaya au Japan ndo utaelewa utofauti wa kinachoendelea Ukraine.
Kama hufuatilii Dunia inavyokwendana matukio yake busara kukaa kimyaKwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
Daah lini zimesha tumika kwenye field au bado ni story tu?Russia ana nuklea zenye uajabu wake ikktokea umerusha nuklea russia basi nuklea za russia zinajiwasha auto na kufuata ilikitokea nuklea hata bila kuongozwa ni mfumo imara ndiyo maana wanamfunzi maalum huko mashuleni kuhusu nuklea
kumbuka hakuna nchi yoyote yenye huo mfumo wa auto...ingekuwa rahisi kuivamiq russia basi nato zamani sana wangeingia ila kama tunataka kuleta ushabiki basi usa ni bora ila uhalisia russia ni mwanaume usa ni mwanamke
Mkuu unayoyaona hapa mengine jaribu tu kuyameza kama yalivyo., wengine wapo kwa ajili ya kutufurahisha tu Ili muda usogee, maisha yasonge!Daah lini zimesha tumika kwenye field au bado ni story tu?
''Urusi inapigana na NATO'' umetumia vigezo gani kusema hivyo? Mimi pia sikubaliani na nchi za magharibi kwa vitendo vyao dhidi ya urusi, lakini siwezi kupuuzia nguvu ya NATO kijeshi, NATO Bado haijaingia vitani na UrusiKumbe wewe ni mashabiki ndio maana unakalili mambo.
Sisis wengine ni washabiki wa haki.
Hivi nyinyi hua mnatoaaga wapi taarifa za muda?
Kwamba Kursk imeshafikwa mwezi,kwani nani aliekuambia wavamizi wataondolewa Kwa siku mbili?
Nitajie ni kiongozi Gani wa Urusi alitoa muda wa kuwaondoa wavamizi.
Doa lipi ndugu kwani Ukraine nao si Wana pigana?
Mbona nyie mnajifanya vipofu na viziwi hamtaki kukubali kua Sasa hivi NATO inapigana na Urusi kwa kiwatumia kivuli Cha Ukraine,au hujui pia uwezo wa NATO.
Hivi unajua kua Ukraine imeenda USA kuomba ruhusa kutumia makombora ya NATO kupiga ndani ya Urusi ,je unadhani ni Kwa Nini Ukraine inayopigwa na Urusi ikaombe ruhusa kwa NATO kuipiga Urusi ?
Hebu muwe mnajiuliza maswali magumu siku moja moja ili kupanua ubongo.
NATO haipogani na Urusi zaidi ya kutoa silaha,hapa umenipiga kamba,Kumbe wewe ni mashabiki ndio maana unakalili mambo.
Sisis wengine ni washabiki wa haki.
Hivi nyinyi hua mnatoaaga wapi taarifa za muda?
Kwamba Kursk imeshafikwa mwezi,kwani nani aliekuambia wavamizi wataondolewa Kwa siku mbili?
Nitajie ni kiongozi Gani wa Urusi alitoa muda wa kuwaondoa wavamizi.
Doa lipi ndugu kwani Ukraine nao si Wana pigana?
Mbona nyie mnajifanya vipofu na viziwi hamtaki kukubali kua Sasa hivi NATO inapigana na Urusi kwa kiwatumia kivuli Cha Ukraine,au hujui pia uwezo wa NATO.
Hivi unajua kua Ukraine imeenda USA kuomba ruhusa kutumia makombora ya NATO kupiga ndani ya Urusi ,je unadhani ni Kwa Nini Ukraine inayopigwa na Urusi ikaombe ruhusa kwa NATO kuipiga Urusi ?
Hebu muwe mnajiuliza maswali magumu siku moja moja ili kupanua ubongo.
US anatamani sana 🇪🇺 waingie vitani na 🇷🇺 sema ni hivyo inakuwa ngumu kuwashawishi waingie moja kwa moja kwani hadi sasa 🇪🇺 toka SMO ianze wao ndio wahanga wakubwa wa huu mgogoro.Russia akiamua vita na USA hakuna rangi USA ataacha kuiona.
Usitake kutujaza hapa.
Wewe unadhani huu mgogoro ukiisha na 🇺🇦 kuibuka mshindi, sifa atapewa atapewa 🇪🇺 , 🇺🇸 (NATO) na wengine wote waliotoa mchango kwa namna moja au nyingine.NATO haipogani na Urusi zaidi ya kutoa silaha,hapa umenipiga kamba,
Hiyo system inaitwa black hand ilibuniwa na wasovietRussia ana nuklea zenye uajabu wake ikktokea umerusha nuklea russia basi nuklea za russia zinajiwasha auto na kufuata ilikitokea nuklea hata bila kuongozwa ni mfumo imara ndiyo maana wanamfunzi maalum huko mashuleni kuhusu nuklea
kumbuka hakuna nchi yoyote yenye huo mfumo wa auto...ingekuwa rahisi kuivamiq russia basi nato zamani sana wangeingia ila kama tunataka kuleta ushabiki basi usa ni bora ila uhalisia russia ni mwanaume usa ni mwanamke
Wewe jamaa ni muongo sana, NATO iliundwa kukabiliana na vitisho vya USSR na sio Russia,( Russia ilikuwa miongoni mwa nchi 14 washirika wa USSR) usiipaishe sana Russia hatakama unaihusudu,Ukiona mtu anahangaika na wewe jua anakuhofia.
USA na washirika wake WANAMUOGOPA SANA RUSSIA.
Ndio maana kila leo wanaunda sekeseke za kumpunguza nguvu.
Uvunjwaji wa USSR ulifadhiliwa na USA.
Na sasa vita ya Ukraine ilichochewa na hao USA na washirika wake.
Wakamuongezea na vikwazo vya kiuchumi wakitarajia uchumi ukidumaa atashindwa kuendesha vita,China akampa sapoti ya kiuchumi.
Hayo ya hilo bomu sijui ila kuhusu kuogopwa,Russia anaogopwa sana na hao jamaa.
Hata hiyo NATO iliundwa kwasababu yake Russia,licha ya Warsaw kuvunjwa ila NATO ikabaki.
Na kama upande wa nukes,Russia ndio nchi inayoongoza kuwa na silaha za nuke nyingi na zenye ufanisi.
Hata USA analijua hilo.
Hayo makombora hayatasaidia chochote▎Makombora ya Storm Shadow: Je, Ni Muhimu kwa Ukraine?
Makombora ya Storm Shadow ni makombora ya masafa marefu yanayotengenezwa na Uingereza na Ufaransa yenye uwezo wa kufikia umbali wa kilomita 250 (maili 155). Yameundwa kuharibu malengo magumu kama vile mabanda ya siri na maghala ya risasi, na hivyo yanafaa sana kwa kulenga miundombinu ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine.
Kwa nini ni muhimu kwa Ukraine?
• Kulengwa kwa mistari ya usambazaji na viwanja vya ndege vya Urusi: Ukraine inaamini kwamba uwezo wa kushambulia viwanja vya ndege na besi za Urusi zinazozindua mashambulizi ndani ya Urusi ni muhimu kukabiliana na mashambulizi ya mara kwa mara ya miji na mstari wa mbele wa Ukraine. Hivi sasa, wamezuiliwa kutumia silaha hizo ndani ya mipaka ya Ukraine.
• Kupambana na mashambulizi ya anga ya Urusi: Makombora na mabomu mengi yanayoharibu miji na nafasi za kijeshi za Ukraine yanazinduliwa kutoka eneo la Urusi. Ukraine inasema kwamba bila uwezo wa kulipiza kisasi katika maeneo hayo ya uzinduzi, wanapigana kwa mkono mmoja umefungwa mgongoni.
• Kuboresha ufanisi wa ulinzi wa Ukraine: Ingawa Ukraine ina mpango wake wa ndege zisizo na rubani, zina uwezo mdogo wa kufikia umbali mrefu na kubeba mzigo mdogo. Makombora ya Storm Shadow, pamoja na mifumo mingine ya masafa marefu kama vile ATACMS ya Marekani, yangeboresha sana uwezo wa Ukraine kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ya Urusi.
• Inaweza kubadili usawa wa nguvu: Kwa kulenga miundombinu muhimu ya Urusi, makombora ya Storm Shadow yanaweza kuingilia usambazaji na shughuli za kijeshi za Urusi, na hivyo kumpa Ukraine faida ya kimkakati katika uwanja wa vita.
Kwa nini Magharibi yamekuwa yakisita kuruhusu Ukraine kuyatumia dhidi ya malengo nchini Urusi?
Hofu kuu ni kuongezeka kwa mzozo. Magharibi inaogopa kwamba kuruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kunaweza kusababisha majibu makali kutoka Urusi, ambayo yanaweza kusababisha:
• Migongano ya moja kwa moja na NATO: Urusi inaweza kulipiza kisasi dhidi ya nchi zinazosambaza makombora, kama vile Poland, na hivyo kuongeza mzozo zaidi ya Ukraine.
• Uchokozi zaidi wa Urusi: Watu wenye msimamo mkali ndani ya Kremlin wanaweza kusukuma majibu makali zaidi kutokana na kuingiliwa kwa Magharibi.
• Kuongezeka zaidi kwa vita: Mgogoro unaweza kupanuka kijiografia na kuongezeka, na kusababisha vita vikubwa zaidi.
Kwa kifupi, makombora ya Storm Shadow yanawakilisha mabadiliko makubwa yanayoweza kutokea kwa Ukraine, kutoa uwezo unaohitajika sana wa kulipiza kisasi dhidi ya vikosi vya Urusi vinavyozindua mashambulizi kutoka ndani ya Urusi. Hata hivyo, Magharibi yanasita kutokana na hatari kubwa ya kuongezeka kwa mzozo na mzozo mpana zaidi.
Ni muhimu kukumbuka kuwa hali inabadilika kila mara, na uamuzi wa kuondoa vikwazo vya matumizi ya makombora ya Storm Shadow dhidi ya malengo nchini Urusi bado unazingatiwa na Marekani na Uingereza.
Kwa mujibu wa What are Storm Shadow missiles and why are they crucial for Ukraine? - BBC News
Bro mbona maneno mengi halafu point sifuri!??Wewe jamaa ni muongo sana, NATO iliundwa kukabiliana na vitisho vya USSR na sio Russia,( Russia ilikuwa miongoni mwa nchi 14 washirika wa USSR) usiipaishe sana Russia hatakama unaihusudu,
2) Russia kuwa na mabomu mengi ya nuclear haimaanishi kuwa USA au nchi za magharibi haziwezi kuongeza huo uzalishaji, nivile sheria za kimataifa zinafuatwa, alafu haiitaji mabomu mengi ya nuclear kumaliza vita, hiyo ni namba tu kiufupi ukipiga bomu Moja la nuclear pale New York madhara yake ni makubwa mnoo.
3, unavyosema NATO wanaiogopa Russia sio kweli, NATO wameshavuka mstari mwekundu uliowekwa na Russia na Putin hajafanya lolote, kama unajua Simba ni mkali yanini uanze kumchokonoa? Kila mara NATO wanaichokoza urusi na hatuoni lolote linalofanywa na Putin, angesambaratisha basi hizo kambi za USA kule ulaya, tusiongee ushabiki muda mwingine
Acha ubishi hadi sasa NATO wanajaribu kila namna kumsogolea 🇷🇺 kama siyo Kumuhofia nini? 🇵🇱 na 🇬🇧 wanahofia Ipo siku Russia yenye nguvu itarudi kuwameza majirani zake.Wewe jamaa ni muongo sana, NATO iliundwa kukabiliana na vitisho vya USSR na sio Russia,( Russia ilikuwa miongoni mwa nchi 14 washirika wa USSR) usiipaishe sana Russia hatakama unaihusudu,
2) Russia kuwa na mabomu mengi ya nuclear haimaanishi kuwa USA au nchi za magharibi haziwezi kuongeza huo uzalishaji, nivile sheria za kimataifa zinafuatwa, alafu haiitaji mabomu mengi ya nuclear kumaliza vita, hiyo ni namba tu kiufupi ukipiga bomu Moja la nuclear pale New York madhara yake ni makubwa mnoo.
3, unavyosema NATO wanaiogopa Russia sio kweli, NATO wameshavuka mstari mwekundu uliowekwa na Russia na Putin hajafanya lolote, kama unajua Simba ni mkali yanini uanze kumchokonoa? Kila mara NATO wanaichokoza urusi na hatuoni lolote linalofanywa na Putin, angesambaratisha basi hizo kambi za USA kule ulaya, tusiongee ushabiki muda mwingine
Anatakiwa kujua kama si kiherehere cha Poland na 🇬🇧 huu mgogoro usingefika huku wao ndiyo waliwasha moto.. DOLA la Uingereza lina chuki kuu sana na 🇷🇺 kama ilivyo kwa Poland naye ni kama kachawa tu wanataka kuishi kama Wamarekani.Bro mbona maneno mengi halafu point sifuri!??
USSR taifa kuu lilikua Russia.
Russia ndio ilikua USSR yenyewe na supreme power ilikua ikitoka Russia.
Na hata ukitizama ramani sehemu kubwa ya USSR ilikua ni Russia.
Katizame kuhusu Warsaw pact halafu uje hapa uone kama USA anaihofia Russia ama laaah!?
Muda mwingine usiongee tu bro kwa kukurupuka.
Hata kama USA amemchokoza Russia ukiona Russia haja react jua bado red line haijaguswa.
Na kila uchokozi aloufanya USA basi Russia ameulipiza.
Kama unabisha sema tuchambue tukio moja moja hapa.
?Bro mbona maneno mengi halafu point sifuri!??