Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
NATO siokwamba wanajaribu, nikwamba tayari wameshaisogelea Russia kwani hiyo Poland, Lithuania, Latvia si wapo NATO na ni jirani na Russia? Putin kachelewa ilitakiwa awavamie hawa wanachama wa NATO waliopo jirani yake ikabla hawajajiunga li iwe onyo kwa NATO kumsogelea,Acha ubishi hadi sasa NATO wanajaribu kila namna kumsogolea π·πΊ kama siyo Kumuhofia nini? π΅π± na π¬π§ wanahofia Ipo siku Russia yenye nguvu itarudi kuwameza majirani zake.
Jamaa ni mjuaji wapi? Hayo ndio yaliyosemwa kuwa malengo ya operation hiyo ya Ukraine Kule Kursk. Si kwasababu ni mjuaji Bali ni kwasababu imesemwa waziwazi kuhusu malengo hayo matatu ambavyo Kwa kiasi kikubwa yanaonekana kufeli vibaya.Nakuona kamanda mkuu wa Ukraine namna mlivyokuwa mkipanga huko Kiev kuvamia Russia!
Nyinyi wabongo ni watu wa hovyo na wajuaji sana
Hapa watamponza Ukraine=================
Hii vita inaendelea kuchukua sura mpya
Alishapewa Abrams tanks, Leopard na silaha nyinginezo alizowahi kuomba zilisaidia kipi kubadili upepo wa vita?=================
Hii vita inaendelea kuchukua sura mpya
Naomba kuyataja hayo mataifa Vietnam na AfghanistanHuko Russia ni mbali,kuna mataifa mkuu yakisema tunaingia vitani hao NATO wachumba tuu.
Sema ndio hivyo propaganda za West zimetuaminisha kuwa NATO ndio wenye nguvu duniani.
Ila kiuhalisia ukiiondoa Russia na China kuna mataifa yanaweza kusimama na mataifa ya NATO.
Eti zenye ufanisi. Tueleze huo ufanisi wa nuclear za mrusi uliuona wapi. Acheni porojo nyieUkiona mtu anahangaika na wewe jua anakuhofia.
USA na washirika wake WANAMUOGOPA SANA RUSSIA.
Ndio maana kila leo wanaunda sekeseke za kumpunguza nguvu.
Uvunjwaji wa USSR ulifadhiliwa na USA.
Na sasa vita ya Ukraine ilichochewa na hao USA na washirika wake.
Wakamuongezea na vikwazo vya kiuchumi wakitarajia uchumi ukidumaa atashindwa kuendesha vita,China akampa sapoti ya kiuchumi.
Hayo ya hilo bomu sijui ila kuhusu kuogopwa,Russia anaogopwa sana na hao jamaa.
Hata hiyo NATO iliundwa kwasababu yake Russia,licha ya Warsaw kuvunjwa ila NATO ikabaki.
Na kama upande wa nukes,Russia ndio nchi inayoongoza kuwa na silaha za nuke nyingi na zenye ufanisi.
Hata USA analijua hilo.
Tanzania umesoma weweSasa wewe na huyo uliesema ni mjuaji mna tofauti gani??? Mfumo wa elimu wa Tanzania unazalisha watu wa ajabu sana
Kawaambieni western millitary analyst ndio waongo sio sisi.Eti zenye ufanisi. Tueleze huo ufanisi wa nuclear za mrusi uliuona wapi. Acheni porojo nyie
Nimemletea makala asome athibitishe mwenyewe.Jamaa ni mjuaji wapi? Hayo ndio yaliyosemwa kuwa malengo ya operation hiyo ya Ukraine Kule Kursk. Si kwasababu ni mjuaji Bali ni kwasababu imesemwa waziwazi kuhusu malengo hayo matatu ambavyo Kwa kiasi kikubwa yanaonekana kufeli vibaya.
Nyie Pro zelensky wabishi sana.Story za SMO zilishaisha siku nyingi, hata Kremlin hawatumii tena hili neno.
Mkuu umesoma alicho kisema zele au ndio ili mradi tu.Zelensiky anazidi kumfungia vioo vya tinted supapawa View attachment 3094094
Nimefungua link yote nimesoma , Russia Kwa kuona kipondo anachotembezewa kinazidi kuwa kikali ,Sasa anajaribu kuwatumia marafik zake wachache kama Brazil na china Ili wamsaidie kumshawishi zelensiky wakae mezani wayamalize., bahati mbaya zelensiky anazidi tu kumfungia vioo Tena vya tinted!Mkuu umesoma alicho kisema zele au ndio ili mradi tu.
DUH....POLE NDUGU YANGU KWA ANDIKO LAKO HILI....INAELEKEA HUELEWI MAMBO MENGI. NI MAONI YANGU BINAFSIKwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
Uturuki kama Taifa maana moyo wa utawala wa Kiotoman au Athuman empire ulikuwa Uturuki.Uturuki kama taifa au kama watu wenye asili ya Uturuki?