LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kama NATO wameshaingia urusi anasubir nini kuchukua hatua!
Sisi tunasubiri watupie Hilo Bomu kwenye kambi ya jeshi moja pale Urusi ili ianze vita kuu ya Dunia....

Urusi ina silaha imelenga London kama umewahi kufika London manake ile London inaweza kuwa Jivu yote kama unavyoiona kwa dakika chache sana ogopa kitu kinaitwa Satan 2 ni balaa.
 
NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
 

🤣🤣Eti hatopata nafasi ,unaijua dead hand system na mutual assured destruction lakini
 
Kwa hiyo Kwa Sasa NATO hawajaingia uwanjani kupigana na urusi na kutupia mabom kwenye makambi ya urusi,sio?!
 
Unasifia silaha ambayo haijawahi kutumika, hata hizo F-22, f35 zinasifiwa tu kwenye media lakini Bado hazijaingia vitani tuone uboro wake, propaganda ni nyingi sana kwa kila upande, kikubwa tuombe vita isifike mbali zaidi japo humu kuna watu wanashabikia kuwa vita viendelee tuu jambo ambalo kibinadamu haifai.
 
Wapo unofficially wakivaa kama mercenaries ila sio officially wakiwa na bendera ya NATO.
Kama wanadiplomasia ni kipi unaweza kufanya hapo??
Ukishaanzisha vita unakuwa umeweka pembeni mambo ya diplomasia
 
Mbona unageuza maneno mzee!?
Ni wapi Urusi amesaidiwa?
Sisi tunataka NATO apeleke jeshi Ukraine.
Kama msaada wa silaha na fedha hilo ni jambo la kawaida.
Sisi tunataka tuone askari wa NATO wametua officially na magwanda pale Ukraine.
Kama umeona nimegeuza maneno, msiseme NATO wanateketea Ukraine.
 
Hapo hakuna justification ya kuwashambulia.
Je kama NATO wakiwakana hao wanajeshi na kusema ni ex-millitaries!???
Kama urusi mwenyewe haoni justification ya kuwashambulia NATO sioni neno lolote zaidi,
Mimi na wewe hatuwez kumlaumu NATO maadam urusi aliyeko battlefield Hana uhakika
Tusubir mpaka pale urusi atapoona justification ya kuwashambulia !
 
Kama urusi mwenyewe haoni justification ya kuwashambulia NATO sioni neno lolote zaidi,
Mimi na wewe hatuwez kumlaumu NATO maadam urusi aliyeko battlefield Hana uhakika
Tusubir mpaka pale urusi atapoona justification ya kuwashambulia !
Uliwahi kuwa na uhakika wa kitu ila ukakosa ushahidi!??
Au uliwahi kuhudhuria kesi yoyote mahakamani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…