Wameshaingia kinyemela ndo majeneza yao yamekuwa mengi wengine wanazikwa uko kursk.Kwa hiyo NATO bado hawajaingia uwanjani kupigana na urusi Kwa Sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshaingia kinyemela ndo majeneza yao yamekuwa mengi wengine wanazikwa uko kursk.Kwa hiyo NATO bado hawajaingia uwanjani kupigana na urusi Kwa Sasa!
Kama NATO wameshaingia urusi anasubir nini kuchukua hatua!Wameshaingia kinyemela ndo majeneza yao yamekuwa mengi wengine wanazikwa uko kursk.
Sisi tunasubiri watupie Hilo Bomu kwenye kambi ya jeshi moja pale Urusi ili ianze vita kuu ya Dunia....Kama NATO wameshaingia urusi anasubir nini kuchukua hatua!
NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.Sisi tunasubiri watupie Hilo Bomu kwenye kambi ya jeshi moja pale Urusi ili ianze vita kuu ya Dunia....
Urusi ina silaha imelenga London kama umewahi kufika London manake ile London inaweza kuwa Jivu yote kama unavyoiona kwa dakika chache sana ogopa kitu kinaitwa Satan 2 ni balaa.
NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi
🤣🤣Eti hatopata nafasi ,unaijua dead hand system na mutual assured destruction lakiniNATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo nafasi.
Kwa hiyo Kwa Sasa NATO hawajaingia uwanjani kupigana na urusi na kutupia mabom kwenye makambi ya urusi,sio?!Sisi tunasubiri watupie Hilo Bomu kwenye kambi ya jeshi moja pale Urusi ili ianze vita kuu ya Dunia....
Urusi ina silaha imelenga London kama umewahi kufika London manake ile London inaweza kuwa Jivu yote kama unavyoiona kwa dakika chache sana ogopa kitu kinaitwa Satan 2 ni balaa.
Wapo unofficially wakivaa kama mercenaries ila sio officially wakiwa na bendera ya NATO.Kwa hiyo NATO bado hawajaingia uwanjani kupigana na urusi Kwa Sasa!
Umeshaambiwa kinyemela unathibitishaje??Kama NATO wameshaingia urusi anasubir nini kuchukua hatua!
Unasifia silaha ambayo haijawahi kutumika, hata hizo F-22, f35 zinasifiwa tu kwenye media lakini Bado hazijaingia vitani tuone uboro wake, propaganda ni nyingi sana kwa kila upande, kikubwa tuombe vita isifike mbali zaidi japo humu kuna watu wanashabikia kuwa vita viendelee tuu jambo ambalo kibinadamu haifai.Sisi tunasubiri watupie Hilo Bomu kwenye kambi ya jeshi moja pale Urusi ili ianze vita kuu ya Dunia....
Urusi ina silaha imelenga London kama umewahi kufika London manake ile London inaweza kuwa Jivu yote kama unavyoiona kwa dakika chache sana ogopa kitu kinaitwa Satan 2 ni balaa.
Ukishaanzisha vita unakuwa umeweka pembeni mambo ya diplomasiaWapo unofficially wakivaa kama mercenaries ila sio officially wakiwa na bendera ya NATO.
Kama wanadiplomasia ni kipi unaweza kufanya hapo??
Kama umeona nimegeuza maneno, msiseme NATO wanateketea Ukraine.Mbona unageuza maneno mzee!?
Ni wapi Urusi amesaidiwa?
Sisi tunataka NATO apeleke jeshi Ukraine.
Kama msaada wa silaha na fedha hilo ni jambo la kawaida.
Sisi tunataka tuone askari wa NATO wametua officially na magwanda pale Ukraine.
Hapo hakuna justification ya kuwashambulia.Ukishaanzisha vita unakuwa umeweka pembeni mambo ya diplomasia
Kwa hiyo urusi hana uthibitisho kama NATO wameshaingia au lah!Umeshaambiwa kinyemela unathibitishaje??
Kuna ushahidi kibao humu uliletwa wa askari wa nje kuuawa.Kama umeona nimegeuza maneno, msiseme NATO wanateketea Ukraine.
Hebu msome huyo pro urusi mwenzako maelezo yake aliyoniandikia baada ya kukoti niliyomwandikia.Kuna ushahidi kibao humu uliletwa wa askari wa nje kuuawa.
Kama urusi mwenyewe haoni justification ya kuwashambulia NATO sioni neno lolote zaidi,Hapo hakuna justification ya kuwashambulia.
Je kama NATO wakiwakana hao wanajeshi na kusema ni ex-millitaries!???
Uliwahi kuwa na uhakika wa kitu ila ukakosa ushahidi!??Kama urusi mwenyewe haoni justification ya kuwashambulia NATO sioni neno lolote zaidi,
Mimi na wewe hatuwez kumlaumu NATO maadam urusi aliyeko battlefield Hana uhakika
Tusubir mpaka pale urusi atapoona justification ya kuwashambulia !
Huo ushaidi kama ni wa uhakika kwa nini urusi asiutumie kama justification ya kuwashambulia NATO!Kuna ushahidi kibao humu uliletwa wa askari wa nje kuuawa.