LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kama Hivyo Basi kwanini hawajaivamia Urusi maana wana mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Hivyo wangejipigia tu mbona sehemu zingine wamevamia na kuua watu Libya wameua..Iraq wameua sasa kwanini wasivamie Urusi???..Urusi sio Burundi mazee wakivamia wanajua kabisa na kwao moto unawaka ile Washngton na London zote zitakua Jivu..Je ndio mnachokitaka??Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
 
Kama Hivyo Basi kwanini hawajivamia Urusi maana waja mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
Unafikir NATO waivamie urusi Kwa sababu gani
 
Askari wa nje asilia ya Canada,America na UK.
Umesoma hata nilichoandika mkuu!??
Urusi kama ameshapata ushaidi wa uhakika wa uwepo wa askari kutoka nchi za NATO kama Canada, UK.,na USA anasubir nini kuwashambulia NATO!
 
Kwahiyo kauli ya Urusi aliyoisema/anazosema hawo NATO wanaziogopa?

Mbona ipo mikwala mingi tu Urusi anatoa na hafanyi lolote.
Ndugu,tukitaka kujua kama Urusi anabweka TU au habweki naomba tuone aircraft carriers za USA UK na France na ndegevita za nchi z NATO kama zile zilizoenda Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia ziwekwe popote na kuanza kurusha makombora ya kudungua na kushambulia kwa lengo la kumsaidia Ukraine waziwazi.
Maana mazingira yanafanana kabisa maana (Serbia)yugolsavia alikua anawapiga Kosovo NATO wakaingiza majeshina,
Na Iraq aliivamia Kuwait kama Urusi anavyovamia Ukraine NATO wakaingia mazima,nae Ghadafi alikua anawapiga wapinzania NATO wakaingiza majeshi kamili.
Urusi anaipiga Ukraine NATO wanaingia Kwa kificho,shida Iko wapi.?
 
Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadam
 
Jamani hiyo Kitu Inaitwa Kinzhal isikie kwa mbali moto wake sio wa kitoto...
 
Wameishiwa sanaaa wameruka ruka sanaa
Mwanzoni mwa hii vita walikua wanasema mambo meengi yaani kila mmoja anatangaza Vikwazo sasa fikiria wanaacha kunua Gas au Mafuta halafu wananunua India ambayo inaagiza Urusi wajinga sana.
 

1).US Secretary of State Blinken says Ukraine will be NATO member

2).Stoltenberg hopes Ukraine will join NATO within 10 years

3)................................…..…..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…