LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Uliwahi kuwa na uhakika wa kitu ila ukakosa ushahidi!??
Au uliwahi kuhudhuria kesi yoyote mahakamani!?
Duh ! Mkuu mbona tunarudishana nyuma Tena ,si umesema ushaidi upo?.,au sio wewe huyu
Screenshot_20240914-165049.png
 
NATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo
Kama Hivyo Basi kwanini hawajaivamia Urusi maana wana mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Hivyo wangejipigia tu mbona sehemu zingine wamevamia na kuua watu Libya wameua..Iraq wameua sasa kwanini wasivamie Urusi???..Urusi sio Burundi mazee wakivamia wanajua kabisa na kwao moto unawaka ile Washngton na London zote zitakua Jivu..Je ndio mnachokitaka??Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
 
Kama Hivyo Basi kwanini hawajivamia Urusi maana waja mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
Unafikir NATO waivamie urusi Kwa sababu gani
 
Askari wa nje asilia ya Canada,America na UK.
Umesoma hata nilichoandika mkuu!??
Urusi kama ameshapata ushaidi wa uhakika wa uwepo wa askari kutoka nchi za NATO kama Canada, UK.,na USA anasubir nini kuwashambulia NATO!
 
Kwahiyo kauli ya Urusi aliyoisema/anazosema hawo NATO wanaziogopa?

Mbona ipo mikwala mingi tu Urusi anatoa na hafanyi lolote.
Ndugu,tukitaka kujua kama Urusi anabweka TU au habweki naomba tuone aircraft carriers za USA UK na France na ndegevita za nchi z NATO kama zile zilizoenda Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia ziwekwe popote na kuanza kurusha makombora ya kudungua na kushambulia kwa lengo la kumsaidia Ukraine waziwazi.
Maana mazingira yanafanana kabisa maana (Serbia)yugolsavia alikua anawapiga Kosovo NATO wakaingiza majeshina,
Na Iraq aliivamia Kuwait kama Urusi anavyovamia Ukraine NATO wakaingia mazima,nae Ghadafi alikua anawapiga wapinzania NATO wakaingiza majeshi kamili.
Urusi anaipiga Ukraine NATO wanaingia Kwa kificho,shida Iko wapi.?
 
Ndugu,tukitaka kujua kama Urusi anabweka TU au habweki naomba tuone aircraft carriers za USA UK na France na ndegevita za nchi z NATO kama zile zilizoenda Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia ziwekwe popote na kuanza kurusha makombora ya kudungua na kushambulia kwa lengo la kumsaidia Ukraine waziwazi.
Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadam
 
Leo kipigo kimehamia Magharibi mwa Ukraine
===
The Russian armed forces launched a group strike, including Kinzhal hypersonic systems and UAVs on defense industry enterprises in Lvov, the targets were hit, the Russian Defense Ministry said.
“This morning, the Russian Armed Forces launched a group strike with long-range precision weapons, including Kinzhal hypersonic complexes and strike drones on Ukrainian defense industry enterprises located in the city of Lvov,” the Russian Defense Ministry said in a statement.
The ministry added that these enterprises produced and repaired electronic components of Ukrainian Armed Forces aircraft and missile weapons.
Jamani hiyo Kitu Inaitwa Kinzhal isikie kwa mbali moto wake sio wa kitoto...
 
Ha ha haa,Hawa jamaa kumbe ni wajinga sana tofauti na tunavyowafikiriaga.
Hivi RT moja inaweza kuzishinda CNN,BBC, sky news,dw,fox news, Washington Post, Newsweek etc?.
Aisee inaonekana Hawa jamaa Sasa hivi wanatapatapa,aisee nimekubali Putin ni habari nyingine.
Hawamuwezi aisee kilichobaki ni kumuombea kifo tu.
Wameishiwa sanaaa wameruka ruka sanaa
Mwanzoni mwa hii vita walikua wanasema mambo meengi yaani kila mmoja anatangaza Vikwazo sasa fikiria wanaacha kunua Gas au Mafuta halafu wananunua India ambayo inaagiza Urusi wajinga sana.
 
Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadam

1).US Secretary of State Blinken says Ukraine will be NATO member

2).Stoltenberg hopes Ukraine will join NATO within 10 years

3)................................…..…..................
 
Back
Top Bottom