Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ! Mkuu mbona tunarudishana nyuma Tena ,si umesema ushaidi upo?.,au sio wewe huyuUliwahi kuwa na uhakika wa kitu ila ukakosa ushahidi!??
Au uliwahi kuhudhuria kesi yoyote mahakamani!?
Kama Hivyo Basi kwanini hawajaivamia Urusi maana wana mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Hivyo wangejipigia tu mbona sehemu zingine wamevamia na kuua watu Libya wameua..Iraq wameua sasa kwanini wasivamie Urusi???..Urusi sio Burundi mazee wakivamia wanajua kabisa na kwao moto unawaka ile Washngton na London zote zitakua Jivu..Je ndio mnachokitaka??Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu ElimuNATO WALISHAJIPANGA MIAKA MINGI SANA KUJILINDA DHIDI YA MAKOMBORA YA RUSSIA. NADHANI UNAKUMBUKA KITUO CHA KUZUIA MAKOMBORA KILICHOJENGWA POLAND NA KILIVYOZINDULIWA SERIKALI YA URUSI ILILALAMIKA SANA. Lakini pia lazima NATO imeshaweka Mikakati ya kuiwahi URUSI iwapo kweli vita vitatokea baina yao, hivyo pamoja na kuwa na makombora ya kupiga London au Marekani basi hatapata hiyo
Uliwahi kuwa na uhakika wa kitu ila ukakosa ushahidi!??
Au uliwahi kuhudhuria kesi yoyote mahakamani!?
Unafikir NATO waivamie urusi Kwa sababu ganiKama Hivyo Basi kwanini hawajivamia Urusi maana waja mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu
Askari wa nje asilia ya Canada,America na UK.
Urusi kama ameshapata ushaidi wa uhakika wa uwepo wa askari kutoka nchi za NATO kama Canada, UK.,na USA anasubir nini kuwashambulia NATO!Askari wa nje asilia ya Canada,America na UK.
Umesoma hata nilichoandika mkuu!??
Ndugu,tukitaka kujua kama Urusi anabweka TU au habweki naomba tuone aircraft carriers za USA UK na France na ndegevita za nchi z NATO kama zile zilizoenda Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia ziwekwe popote na kuanza kurusha makombora ya kudungua na kushambulia kwa lengo la kumsaidia Ukraine waziwazi.Kwahiyo kauli ya Urusi aliyoisema/anazosema hawo NATO wanaziogopa?
Mbona ipo mikwala mingi tu Urusi anatoa na hafanyi lolote.
Mkuu ushahidi haujitoshelezi.Urusi kama ameshapata ushaidi wa uhakika wa uwepo wa askari kutoka nchi za NATO kama Canada, UK.,na USA anasubir nini kuwashambulia NATO!
Na wanawakana Kila sikuHapo hakuna justification ya kuwashambulia.
Je kama NATO wakiwakana hao wanajeshi na kusema ni ex-millitaries!???
Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadamNdugu,tukitaka kujua kama Urusi anabweka TU au habweki naomba tuone aircraft carriers za USA UK na France na ndegevita za nchi z NATO kama zile zilizoenda Iraq,Libya, Afghanistan na Yugoslavia ziwekwe popote na kuanza kurusha makombora ya kudungua na kushambulia kwa lengo la kumsaidia Ukraine waziwazi.
Jamani hiyo Kitu Inaitwa Kinzhal isikie kwa mbali moto wake sio wa kitoto...Leo kipigo kimehamia Magharibi mwa Ukraine
===
The Russian armed forces launched a group strike, including Kinzhal hypersonic systems and UAVs on defense industry enterprises in Lvov, the targets were hit, the Russian Defense Ministry said.
“This morning, the Russian Armed Forces launched a group strike with long-range precision weapons, including Kinzhal hypersonic complexes and strike drones on Ukrainian defense industry enterprises located in the city of Lvov,” the Russian Defense Ministry said in a statement.
The ministry added that these enterprises produced and repaired electronic components of Ukrainian Armed Forces aircraft and missile weapons.
Wameishiwa sanaaa wameruka ruka sanaaHa ha haa,Hawa jamaa kumbe ni wajinga sana tofauti na tunavyowafikiriaga.
Hivi RT moja inaweza kuzishinda CNN,BBC, sky news,dw,fox news, Washington Post, Newsweek etc?.
Aisee inaonekana Hawa jamaa Sasa hivi wanatapatapa,aisee nimekubali Putin ni habari nyingine.
Hawamuwezi aisee kilichobaki ni kumuombea kifo tu.
Kwa nini mnaona NATO aingilie vita ya urusi na Ukraine.,kwani urusi na Ukraine ndio Wana vita tu Dunia hii!?..,kwa nini NATO wasiingilie huko Sudan.., kwa nini NATO wasiingilie huko Congo..,kwa nini NATO wasiingilie huko Myanmar..,kwa nini NATO wasiingilie huko Gaza.,kwa nini NATO hawakuingilia huko naghno kalabakh kati ya Armenia na arzerbaijan..kwa nini wasiingilie somalia kupambana na alshaababu..,kwa nini hawakuingilia huko Ethiopia wakati wazir mkuu Ahmed alituhumiwa kwa uvunjaji wa haki za binadam
Hajui msamehe bure🤣🤣Eti hatopata nafasi ,unaijua dead hand system na mutual assured destruction lakini
Other countries like Georgia will likely join NATO in near future!US Secretary of State Blinken says Ukraine will be NATO member
Stoltenberg hopes Ukraine will join NATO within 10 years