Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Tuanze na kauli ya mataifa ya kistaarabu.
Duniani hakuna taifa KATILI NA KISHENZI kama USA na washirika wake.
*Hivi unajua kama USA anafanya testing ya biological weapons Marshall Islands!?
*Hivi unajua kama USA, France,UK,Israel ni wafadhili wa blood minerals hapa Afrika!?
*Hivi unajua migogoro ya mataifa kama Iraa, Venezuela,Cuba, Zimbabwe USA ndio wamehusika??
*Hivi unajua USA na washirika wake ndio wanaolazimisha mataifa yatambue ushoga na uasherati kwa mwamvuli wa haki za binaadamu na misaada!??
Funguka akili hiyo bro.
*Kuvunjika kwa USSR ni jambo jepesi kuliko kuivunja Russia.
USSR ilikua ina autonomous nyingi ambazo zingine zilikua hazimkubali,jamhuri kuu ikiwa ni Russia.Hivyo ilikua rahisi kuivunja kwa kushirikiana na zile autonomous ambazo hazipendi hiyo USSR kama Afghanistan na wengine.
*Russia ni moja na ina mshikamano na inaongea kauli moja TU.Hivyo usidhani ni rahisi kama udhaniavyo.
Pia kipindi kile aliweza kufanikiwa kwasababu hakukuwa na balance of power,taifa lenye nguvu lilikua USA peke yake kiuchumi.Maana uchumi ndio kila kitu.
Sasa hivi kuna balance of power kuna China mtu ambaye ameweza kuleta uwiano wa nguvu kiuchumi na kijeshi.
USA ilijaribu 2008 kuiangusha Russia kupitia Georgia wakafeli.Wakajaribu 2014 na 2018 Crimea wakafeli.
Sasa hivi wameona wamuangushe kwanza kiuchumi kwa kumuwekea vikwazo vya kiuchumi na kukamata mali zake,CHINA kaja kumpa nguvu ya kiuchumi Russia,mwisho wa siku hivyo vikwazo vya kiuchumi vimewarudia EU hasa hasa Germany.
USA yenyewe inapoteza global influence siku hadi siku.
Usifananishe mwaka 47 na miaka hii aisee.