LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwahiyo hao anaowatishia wao hawana hizo nyuklia? Kwanza hata Rais wa China Xi Jiping kamshangaa kweli kwa kutishia nyuklia. Maana yake, "he has no other options". Ahahahahaha! Na nakuhakikishia, zikitumika nyuklia sio tu itakuwa mwisho wa Putin, bali na Russia herself! Let's wait. The cards are on the table!
Embu kuwa reasonable bro.
Putin hapo anapambana peke yake na hajaanza kutafutwa leo,toka miaka ya 1970s huko wanamtafuta.
Na kumbaka hapo kuna mataifa yenye nguvu pia.
Kama hatotumia vitisho ataendelea kuchezewa kila leo.
Hapo ujue ni Russia vs NATO and EU.
Usichukulie mambo kiwepesi aisee.
Rais yeyote sio tu Putin bali yeyote angetumia vitisho kama vya Putin tu kulinda maslahi ya nchi yake.
 
Screenshot_20240926-160132.png
.
 
Urusi imemalizia ndege za F16 alizopewa ukren baada ya kuzipiga nyingine tano

⚡⚡ A message appeared on one of the social networks about the death of a US Air Force serviceman as a result of a Russian strike on a military airfield in Starokostiantyniv, Khmelnytskyi Oblast, as well as the destruction of five F-16 fighters

After today's strike on this facility, information about FOUR F-16s destroyed on the ground began to circulate in the Ukrainian segment of Telegram, reports Military Observer.

IMG_20240926_161417_665.jpg
 
Kwahiyo hao anaowatishia wao hawana hizo nyuklia? Kwanza hata Rais wa China Xi Jiping kamshangaa kweli kwa kutishia nyuklia. Maana yake, "he has no other options". Ahahahahaha! Na nakuhakikishia, zikitumika nyuklia sio tu itakuwa mwisho wa Putin, bali na Russia herself! Let's wait. The cards are on the table!
Mtoto wa shule,tucheke vicheko vya mwisho mwisho maana ikifikia vita vya nuklia baina ya Russia na USA basi ni armagedon imefika kwetu sote hata sisi wa huku buza.Hizi nchi mbili zina manuklia ya kuimaliza Dunia nzima kwa kufumba na kufumbua.Pengine wote tulikuwa hatujazaliwa au wadogo wakati wa CUBAN missile crisis mnamo miaka ya 60 wakati pekee ilipobakia kidogo mno tuingie kwenye maangamizi ya dunia yetu.Kipindi hicho aliyesema atatumia nuklia tukose sote ni USA baada ya kuona kuna USSR missile pale CUBA.
Kitendo cha kumwingiza Ukraine kwenye NATO ili uweke silaha mpakani na Russia hakikubaliki kabisa kwa Urusi.Mwanzoni NATO walichukulia subra ya PUTIN kama uoga ndio wakafikiria kupiga makombora ndani ya Russia,lakini walipoona Putin kabadilika kawa hataki masihara na kachukua msimamo ule ule wa John F kennedy,kwamba tuwe salama sote au tupotee sote imewafanya wamebadili mitazamo yao.Mazoezi ya juzi ya OCEAN 2024 ambayo yamehusika nyambizi zenye manuklia kwenye bahari zote imeonesha ya kwamba RUSSIA anauwezo wa kujibu mashambulizi kwa nchi yeyote popote ilipo duniani.Sasa hivi kila mmoja amekumbushwa ya kwamba Mutual Assured Destruction(MAD) inaweza kutokea wakati wowote tusipokuwa makini.
 
Embu kuwa reasonable bro.
Putin hapo anapambana peke yake na hajaanza kutafutwa leo,toka miaka ya 1970s huko wanamtafuta.
Na kumbaka hapo kuna mataifa yenye nguvu pia.
Kama hatotumia vitisho ataendelea kuchezewa kila leo.
Hapo ujue ni Russia vs NATO and EU.
Usichukulie mambo kiwepesi aisee.
Rais yeyote sio tu Putin bali yeyote angetumia vitisho kama vya Putin tu kulinda maslahi ya nchi yake.
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
 
Tuanze na kauli ya mataifa ya kistaarabu.
Duniani hakuna taifa KATILI NA KISHENZI kama USA na washirika wake.
*Hivi unajua kama USA anafanya testing ya biological weapons Marshall Islands!?
*Hivi unajua kama USA, France,UK,Israel ni wafadhili wa blood minerals hapa Afrika!?
*Hivi unajua migogoro ya mataifa kama Iraa, Venezuela,Cuba, Zimbabwe USA ndio wamehusika??
*Hivi unajua USA na washirika wake ndio wanaolazimisha mataifa yatambue ushoga na uasherati kwa mwamvuli wa haki za binaadamu na misaada!??
Funguka akili hiyo bro.

*Kuvunjika kwa USSR ni jambo jepesi kuliko kuivunja Russia.
USSR ilikua ina autonomous nyingi ambazo zingine zilikua hazimkubali,jamhuri kuu ikiwa ni Russia.Hivyo ilikua rahisi kuivunja kwa kushirikiana na zile autonomous ambazo hazipendi hiyo USSR kama Afghanistan na wengine.
*Russia ni moja na ina mshikamano na inaongea kauli moja TU.Hivyo usidhani ni rahisi kama udhaniavyo.
Pia kipindi kile aliweza kufanikiwa kwasababu hakukuwa na balance of power,taifa lenye nguvu lilikua USA peke yake kiuchumi.Maana uchumi ndio kila kitu.
Sasa hivi kuna balance of power kuna China mtu ambaye ameweza kuleta uwiano wa nguvu kiuchumi na kijeshi.
USA ilijaribu 2008 kuiangusha Russia kupitia Georgia wakafeli.Wakajaribu 2014 na 2018 Crimea wakafeli.
Sasa hivi wameona wamuangushe kwanza kiuchumi kwa kumuwekea vikwazo vya kiuchumi na kukamata mali zake,CHINA kaja kumpa nguvu ya kiuchumi Russia,mwisho wa siku hivyo vikwazo vya kiuchumi vimewarudia EU hasa hasa Germany.
USA yenyewe inapoteza global influence siku hadi siku.
Usifananishe mwaka 47 na miaka hii aisee.
 
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Kuhusu mipango ya muda mrefu ya USA/NATO ninakubaliana na wewe ni kweli hawa jamaa ni watu wa mikakati na hamefanikiwa sana, umetolea mfano wa mkakati wa kuisambaratisha iliyokuwa USSR ni kweli Marekani alifanikiwa na hatimaye mwaka 1990 USSR ikaanguka. Na hata huu mgogoro wa Ukraine ni kweli NATO hasa USA ni mpango wa muda mrefu wa kuiangusha Urusi.
Ila sikubaliani na wewe kwa jambo moja tu pale ulepotumia neno " DHALIMU".
 
Mtoto wa shule,tucheke vicheko vya mwisho mwisho maana ikifikia vita vya nuklia baina ya Russia na USA basi ni armagedon imefika kwetu sote hata sisi wa huku buza.Hizi nchi mbili zina manuklia ya kuimaliza Dunia nzima kwa kufumba na kufumbua.Pengine wote tulikuwa hatujazaliwa au wadogo wakati wa CUBAN missile crisis mnamo miaka ya 60 wakati pekee ilipobakia kidogo mno tuingie kwenye maangamizi ya dunia yetu.Kipindi hicho aliyesema atatumia nuklia tukose sote ni USA baada ya kuona kuna USSR missile pale CUBA.
Kitendo cha kumwingiza Ukraine kwenye NATO ili uweke silaha mpakani na Russia hakikubaliki kabisa kwa Urusi.Mwanzoni NATO walichukulia subra ya PUTIN kama uoga ndio wakafikiria kupiga makombora ndani ya Russia,lakini walipoona Putin kabadilika kawa hataki masihara na kachukua msimamo ule ule wa John F kennedy,kwamba tuwe salama sote au tupotee sote imewafanya wamebadili mitazamo yao.Mazoezi ya juzi ya OCEAN 2024 ambayo yamehusika nyambizi zenye manuklia kwenye bahari zote imeonesha ya kwamba RUSSIA anauwezo wa kujibu mashambulizi kwa nchi yeyote popote ilipo duniani.Sasa hivi kila mmoja amekumbushwa ya kwamba Mutual Assured Destruction(MAD) inaweza kutokea wakati wowote tusipokuwa makini.

View: https://youtu.be/Sn3A4CxrGKQ?si=DnTSF47EXNp2fQys
 
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Dunia ya wastaaraabu? Ni ustaarabu upi huo?
 
Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
NATO sio wadhalimu?
 
Kuwa na dikteta na kuwa na muharibifu wa dunia(NATO) bora kipi!??
Usisahau hao unaowashabikia ndio wafadhili wa mapinduzi ya serikali katika mataifa mengi na wafadhili wa blood minerals Afrika ikiwemo Congo DR.
Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
 
Back
Top Bottom