The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Demokrasia ni nini?Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Inategemea na mtazamo wako. Ukiwaona Putin na Kiduku na nchi zao ni wastaarabu sawa. Ukiwaona USA na wapambe wake wa Ulaya Magharibi ni wastaarabu nayo sawa. By the way, kwanini wahamiaji ni wengi zaidi Marekani na Ulaya Magharibi na sio Russia, Korea Kaskazini na China? Ukinijibu hapo ndio utajua maana ya ustaarabu ninaouzungumzia! Ahahahahaha!!!!Dunia ya wastaaraabu? Ni ustaarabu upi huo?
Kama ni wadhalimu ni mtazamo wako na nauheshimu. Ila hiyo haiondoi ukweli wangu na NATo kuwa Russia, China, North Korea na Iran ni mataifa dhalimu.NATO sio wadhalimu?
Huwa unapenda kuponda sana elimu za watu humu na kujiona msomi ulieelimika, hiyo haitakusaidia zaidi ya kuleta chuki kwa watu, yani michango Yako humu huwezi kujadili bila kuponda elimu za watu.Nina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.
Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.
Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.
NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.
DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.
MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE
usichoelewa hizo long-range tayari anazo shida ni kupiga ndani ya russia,unadai zitakua guided na US-satelite kwan alivyopiga crimea zilikua guided na satelite za wapZelensky ana option tatu:
1: Surrender and be killed by CIA or NATO member
2: Keep fighting till the last Ukrainian
3: Surrender and seek asylum to none NATO members
Akitumua long range missile ambazo zinakuwa guided na USA satellite hiyo itakuwa vita ya tatu ya Dunia, maana USA atakuwa ameingia kwenye vita.
Dicteta lazima aangu
Kama kuna madhalimu basi ni NATO.Hao jamaa wanaongozwa na ibilisi.Ni mkono wa kuume wa Ibilisi kabisa.Uwepo wa wakomunist unasaidia sana kuchelewesha mipango yao miovu.Russia atapambana saanaaa,bt mwisho ataangushwa tu,iwe Kwa muda mfupi au mrefu.Atakapoangushwa Russia,ndipo dunia itaanza kuona rangi halisi ya NATO.Mark my wordNATO sio wadhalimu?
umetumia kinywaji gani mkuuUnajidanganya urussi inaweza kutumia nuclear duniani kuliko nchi yoyote tena siyo ukrain tu hata kuipiga usa 🇺🇸 pia jeshi la marekani halina uwezo hata kidogo wa kupigana na urussi kwenye vita kamili...ndiyo maana marekani amekuwa akitumia mbinu ya kuwa tengenezea maadui adui zake ili wapigane wao kwa wao ..china katengenezewa taiwani na japani .. ..urussi katengenezewa mataifa mengi sana ukrain poland nk N korea katengenezewa S korea
uwe unaheshimu mawazo ya wengine huwezi jibu kama umekosa busara ,toa hoja kistaarabuNina mashaka na kiwango cha elimu yako, pia kiwango cha uelewa wako. Ina maana hujui kuwa Marekani anatumia silaha ya Demokrasia kwaajili ya Maslahi yake.
Hivi unafikiri ana huruma na nchi zinazoongozwa kimabavu.
Ni rahisi sana Marekani kuharibu amani nchini kwako, ni rahisi sana kukuwekea watawala vibaraka wake, ni rahisi sana kukuanzishia migogoro.
Nchi ambazo hazifuati mifumo ya kidemokrasia ya Magharibi ni ngumu sana kuingiliwa na Marekani, ni ngumu sana kuwekewa viongozi puppet, NI NGUMU SANA KUDHULUMIWA NA KUIBIWA RASILIMALI.
NA ILI ULIJUE HILO NI VEMA UKAJIULIZA NI KWANINI KUNA NCHI ZINAENDESHWA KIMABAVU NA KIDIKTETA LAKINI HAZIPIGIWI KELELE NA MAREKANI? JIBU NI KWAMBA MASLAHI YAKE YANAENDELEZWA NA NCHI HIZO.
DEMOKRASIA NI NZURI SANA LAKINI NI VEMA KILA NCHI IKAWA NA DEMOKRASIA YAKE KULINGANA NA JAMII YAKE NA UMRI WA NCHI HUSIKA, NA SIO LAZIMA KILA NCHI IFUATE DEMOKRASIA ZA MAGHARIBI.
MTU ANAKULAZIMISHA UWE SHOGA HALAFU BADO UNAMSHABIKIA.
MIAFRIKA MINGI NI MIJINGA SANA NA HAIJIELEWE
Mkuu nimeuliza,wewe nielimishe mielewe kuwa si wadhalimu,na uweke mifano;Kama ni wadhalimu ni mtazamo wako na nauheshimu. Ila hiyo haiondoi ukweli wangu na NATo kuwa Russia, China, North Korea na Iran ni mataifa dhalimu.
Mkuu kachukue Pepsi ya baridi pale kwa Mangi upoze koo, nakuja kulipa.KAma
Kama kuna madhalimu basi ni NATO.Hao jamaa wanaongozwa na ibilisi.Ni mkono wa kuume wa Ibilisi kabisa.Uwepo wa wakomunist unasaidia sana kuchelewesha mipango yao miovu.Russia atapambana saanaaa,bt mwisho ataangushwa tu,iwe Kwa muda mfupi au mrefu.Atakapoangushwa Russia,ndipo dunia itaanza kuona rangi halisi ya NATO.Mark my word
Samahani wewe ndie admin wa humu au. Naona unanionya na kunipa amriuwe unaheshimu mawazo ya wengine huwezi jibu kama umekosa busara ,toa hoja kistaarabu
Profile picture hapo umeweka bendera ya Marekani na Israel. Sio dhambi kuweka na haukatazwi ila huo ndio ubora wa akili yako na unajivunia zaidi mataifa hayo kuliko taifa lako. SITAACHA KUWAAMBIA KUWA HAMNA ELIMU vichwani NA PIA MNA INFERIOR MIND.Huwa unapenda kuponda sana elimu za watu humu na kujiona msomi ulieelimika, hiyo haitakusaidia zaidi ya kuleta chuki kwa watu, yani michango Yako humu huwezi kujadili bila kuponda elimu za watu.
Halafu profile picture yako inaonyesha mavazi ya Chama cha Mapinduzi . Sina tatizo na chama LAKINI HEBU USIJISAHAU SANA NAONA UNATOA MAKALIPIO .uwe unaheshimu mawazo ya wengine huwezi jibu kama umekosa busara ,toa hoja kistaarabu
Tatizo lako unachukulia poa nchi ya urusiumetumia kinywaji gani mkuu