Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwahiyo hamtaweza kutumia long range mpaka mpate ruhusa kutoka nchi nyingine?Hapana mkuu, lakini drones zinazozalishwa na Ukraine zinaleta kilio kikubwa kwa super power zaidi ya hizo long range missiles!
Russia rattles the nuclear sabre again, as Ukraine devastates its munitions
Ukraine may have destroyed three monthsβ worth of Russian ammunition in one night using its drones.www.aljazeera.com
Ila usisahau Kuna familia moja pale Uingereza inaongoza Toka enzi za ujima mpaka leo.Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!
Kwahyo mpaka Leo hujui kwanini Iraq na Libya zilivamiwa, kati yangu nawewe nani anaropoka? Wewe ndie uwe unakaa kimya kama huna cha kuandika*Iraq ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Syria ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Libya ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Venezuela ilikuaje kabla haijaingiliwa kisiasa?
Mkuu muda mwingine ACHA KUROPOKA kama hauna mantiki nyamaza.
Saudia bahrain kuna democrasia gani ..hebu tunazie hapoHuo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Manga mangeni aliachie dude hata wao wanajua madude ya moto yapo...EUβs Position on Ukraine Unchanged Despite Putinβs Nuclear Threats β BBC Cites EU Representative Peter Stano
The European Unionβs stance on Ukraine will not change in response to Putinβs nuclear threats, according to Peter Stano, a spokesperson for the EUβs foreign policy service.
When asked how the EU would respond to Russiaβs recent lowering of the threshold for using nuclear weapons against non-nuclear states, Stano stated:
βThis is just a continuation of Putinβs highly irresponsible and unacceptable behavior, which reveals his true nature to the world, especially during the high-level week at the UN General Assembly. We categorically reject these threats. The European Unionβs position on Ukraine remains unchanged.β
Nadhani zimeisha zote kwishaaaa sengee lee nyuma yamerudi kushangaa chezea piga kibiriti zoteeeNaona F-16 zinayeyushwa kabla hazijafanya game charger kwenye field
Kinzhal Mnyama mkaliiii
πππππππAiseee.Kwahyo mpaka Leo hujui kwanini Iraq na Libya zilivamiwa, kati yangu nawewe nani anaropoka? Wewe ndie uwe unakaa kimya kama huna cha kuandika
Hakuna wakati wanajeshi wa USA wamepigana vita Kwa uoga na kificho kama vita hii ya Ukraine.
Aisee nyie pro Russia mna Facts sana aloo,ila sema hao mnaowaelewesha wamekalili Hollywood movies.πππππππAiseee.
*Tueleze wewe sababu gani Iraq na Libya zilivamiwa?
*Kipindi Iraq na Libya hazijavamiwa zilikua na hali gani kiuchumi!?
-Hivi unajua kwamba Libya ilikua taifa miongoni mwa mataifa yasiyo na deni la taifa hata kidogo!??
Uliza sasa hivi wana hali gani.
-Iraq walidai kuna silaha za maangamizi/sumu,hadi leo hawajatuonesha.
Unamjua Julian Assange!??
Nenda kamtizame nakala zake alitoa ushahidi wa USA WAR CRIMES ndani ya IRAQ.
Kila mtu aliuona unyama alioufanya USA pale Iraq mbaka wakampa kesi Assange.
Mkuu ukae tu kimya kama hujui kitu.
Aisee wacha tu nicheke.Aisee nyie pro Russia mna Facts sana aloo,ila sema hao mnaowaelewesha wamekalili Hollywood movies.
Hili jukwaa unalitendea haki sana. Mara nyingi umekuwa ukileta taarifa za uwanza wa vita.
Asiumize kichwa na MTU design hiyoHuwa unapenda kuponda sana elimu za watu humu na kujiona msomi ulieelimika, hiyo haitakusaidia zaidi ya kuleta chuki kwa watu, yani michango Yako humu huwezi kujadili bila kuponda elimu za watu.