Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji629]Germany reacted sharply to the idea of Polish Deputy Prime Minister Kaczynski to send an armed NATO peacekeeping mission to Ukraine.

The German government is against sending any NATO military to Ukraine. For Berlin, this is a “red line.
 
Video ya leo ikionesha drone ya Russia ikishambulia na kuangamiza targets ndani ya Ukraine. Watu 23,000 wame-like video hii.
Raia wa Vietnam awapa kongole waRussia, asema waendelee kumtwanga adui, wasihofie vikwazo, Vietnam imekuwa vitani kwa miaka 100, na kuwekewa vikwazo na mabeberu kwa miaka 20, lakini wame-survive hadi leo, itakuwa Russia!


 
Jamani nyie kina ZZZedi mbona mmepoa sana?kwani kunahabari gani humu? green rajab Galip SV CARDLESS kisiju pwani mbona kama mmenyongea sana! vipi hamjamaliza Zoezi la kuchukua miji ?Au njaa zimechachamaa morale imepungua?Xi Jinping kazingua au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zilizopo ni kua Putin amekamatwa na Zelensky hivi sasa yupo kwenye chumba cha mahujiano anahojiwa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] nyingine ni kua Wa Ukraine wamewakimbiza majeshi yote ya Russia mpaka Moscow so vita imeisha huku Ukraine ikijipanga kuipiga "Nukes" Russia yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani Kama wameachwa waondoke hivihivi wamededishwa hao.. kijeshi adui lazima afe hats akisalim amri
 
[emoji1258][emoji1255][emoji779]The United States and NATO are sending several anti-aircraft missile systems to Ukraine. A senior US official said the systems include the SA-8, SA-10, SA-12 and SA-14 mobile air defense systems, which have a longer range than the Stingers, allowing them to hit cruise missiles - CNN.



Mwandishi anasema "its not clear" how hivo vifaa vitaingizwa Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukraine ilitaka kujiunga na NMATO tangu muda mrefu, lakini haikupokelewa. Ndani ya Ukraine ilikuwa chaguo la wananchi, lakini NATO imewakataa,
Kulikuwa na ushirikiano kuwapa jeshi la Ukraine uzoefu katika silaha za kujitetea.
Si silaha za kushambulia.
Washauri kutoka nchi za NATO ziko nchi nyingi, hata Tanzania. Mimi nakumbuka sasa Marekani na Ujerumani. Wanafanya mazoezi na wanajeshi wa Tanzania na kuwafundisha.

Hii ya Biolabs ni propaganda tupu. Karibu kila nchi kuna "biolabs"; mfano kwa uchunguzi wa magonjwa. Dar es Salaam biolabs ziko. Hakuna maabara ya Marekani Ukraine.
Marekani ilifanya mapatano na Ukraine na nchi nyingine kama Georgia kuwasaidia kudhibti silaha za kibiolojia zilizokuwa zilibaki baada ya mwisho wa USSR.
ambayo ni jambo jema sana.
 
Mkuu wewe ulitaka hizo Nchi zikubali kwa njia ya mdomo tu au ??,kwani hujui kwamba Historian inaonesha Himaya za Nchi kama USA,USSRA na Nchi zingine nyingi zilifanikiwa Ku expand maeneo kwa njia ya vita??
Ndiyo nafahami. Lakini huyu nilemjibu alidai urusi haikuwahi kugusa nchi nyingine.
Tuko pamoja hapa.
 
Kwa hiyo wewe unafaham kuliko "The mirror" au?????



We sijui ni mzee sijui ni kijana bora ata ungekaa kimya tu kwenye mambo mengine unajidhalilisha na mahaba yako....

 
Hii international criminal court na international court of justice Zina tofauti?
Kabisa. Ya kwanza ni mahakama ya Umoja wa Mataifa. Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ni mahakama ya nchi zinazoshiriki katika mkataba wa pekee ju yake, si UN.
 
Ndiyo. Mirror ya Uingereza si gazeti unaloweza kutegema kwa namna yoyote.
Mahaba yako kwa Western ungempa mkeo nazan angejihisi ni yeye tu kwenye ulimwengu.... Naaaa nazan mngedumisha sana Ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yan bro una mahaba na Magharibi kiasi uko radhi kubadil Nyeupe kuwa nyeusi na Nyeusi kua njano kwa ajil yao...

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
waende tu watapata wanachokitafuta Nguruwe hawa[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ukraine ikipewa mifumo ya Ulinzi na ikafanikiwa kuzidhiti ndege za Urusi nadhani Urusi itaanza kutumia makombora zaidi yatakayo fanya uharibifu mkubwa sana kuliko hata hizo ndege.

Mimi nadhani waongee kila upande ujaribu kulegeza mashariti yake ili vita hii hiishe ndio jia pekee ya kuinusuru Ukraine mengine ni kujifariji tu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Ile meli walosema imelipuliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo apo wazee

Your browser is not able to display this video.


[emoji635][emoji1255] "Destroyed and sunk" by Ukrainian propaganda, the patrol ship "Vasily Bykov" of project 22160 of the Black Sea Fleet of the Russian Navy entered Sevastopol today after completing tasks at sea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…