Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Spanish Transport companies call like Italy for Fuel protests for Monday

Informative Note of the call for a National Stop "INDEFINITE" of all types of transport and all kinds of scope, starting next March 14th AT 00:00 AM.“



Kampuni za Usafiri za Uhispania zinaita kama Italia kwa maandamano ya Mafuta Jumatatu

So leo ni siku ya 3 [emoji849]

 
Achana na hizi habari za uzushi hazisaidii, sio kila kitu unajua.
Mbona yuko sawa, video zake zipo, na hana shida yoyote? Hizi taarifa kutoka CNN, BBC, SKYNEWS zisikutoe ufahamu kwa kiwango hiki. We bakia kwenye kuchambua vita na zaidi ukibase USA, NATO na UKRAINE.
 
We mzee ni dhaifu sana... Nakuuliza tena kwa mara nyingine uliisoma ile tweet na kuielewa? Mbona unakurupuka kiasi hiki...

Mwanzo kabisa walikataa hakuna Nazi Ukraine... Wakaja wakasema wapo lakini wachache... Wakatoka apo wakadai kua ndio wapo wengi lakini hawana itikadi ka za Nazis waliotangulia...

Issue ya Labs hivo hivo... Ikaanza kua hakuna Labs Funded by US in ukraine, zilivopatikana yule Nuland Under Secretary wa US akakiri uwepo wa hizo Bio Labs ila akadai sio za kutengenezea bio weapon bali ni tafiti tu...

Sasa kwe hii post kilichoandikwa ni dai kua Putin anaeza tumia Bioweapon zilzo kwenye maabara zilizotekwa na Russia Army apo Ukraine...



Sasa kama hazikuwa BioWeapon Labs wanachohofia ni kitu gani? Au kama hazina BioWeapon hizo wanazozungumzia atazitumia zinatoka wapi ndani ya hizo maabara walizozikamata????

Husomi apo unaanza kuniletea ngojera zako hakuna labs oooh hakuna maabara em pita kule... Eishiii [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Video ya leo ikionesha askari wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia wakiwa wanalala pazuri, wanacheka kwa furaha, wanazungumza na wapendwa wao kwenye simu utadhani wapo kwenye mapumziko fukweni.



View attachment 2153426
Yah af huyo ni Pilot walimdungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Kisha wanamtibu [emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mtalaamu mbobevu wa Mambo ya kivita Toka Marekani amechambua vita vya Urusi na Ukraine na kubaini kuwa Hadi Sasa tayari sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine limeshashindwa na waliibaki wamezingirwa na hawana madhara makubwa. Hata ukiingiza silaha Ukraine hakuna namna ya kuzifikisha kwa askari waliozingirwa! Jisomee mwenyewe hapa:

American military expert explains ‘slow’ Russian advance in Ukraine.
Propaganda in the West has created false expectations of Ukrainian success, retired US officer says. American military expert explains ‘slow’ Russian advance in Ukraine.

Western military equipment captured by Russian troops during the military operation in Ukraine, near the village of Huta-Mezhyhirska, north of Kiev. © Sputnik / Russian Defence Ministry.

Russia has largely achieved its objective of neutralizing the Ukrainian military, but Western governments mistakenly believe the deliberate progress designed to avoid civilian casualties reflects weakness and are funneling weapons to prolong the fighting, a former top Pentagon adviser has said.

Russian President Vladimir Putin has given strict orders from the outset to avoid civilian casualties and extensive property damage, retired US Army Colonel Douglas Macgregor told the Grayzone in an extensive interview on Tuesday.

This has slowed the Russians’ advance “to the point where it has given false hope both to the Ukrainians … but seized on by people in the West, to try and convince the world that a defeat is in progress, when in fact the opposite is the case,” Macgregor said.

“The war, for all intents and purposes, has been decided,” the retired colonel said. “The entire operation from day one was focused on the destruction of Ukrainian forces. That’s largely complete.”

The Ukrainian units still active “are completely surrounded, cut off and isolated in various towns and cities,” said Macgregor, including as many as 60,000 on the border with Donetsk, whose supplies are likely running out by now.

Media coverage of the fighting, however, ignores this reality and paints a picture of the Russian military being “inept” – in the words of some US senators – because it didn’t defeat Kiev in mere days. This is then used as an argument by advocates of NATO intervention and a “no-fly zone,” but also those who wish to send more weapons to Kiev.

Zelensky renews push for no-fly zone in address to US CongressREAD MORE Zelensky renews push for no-fly zone in address to US Congress
“It’s very obvious Washington wants this to continue as long as possible, in hopes Russia would be desperately harmed. I just don’t see that happening,” Macgregor told Grayzone on Tuesday.

The biggest problem right now is that “in the West, there is no truth. There is wishful thinking and there is this impression of success by the Ukrainians that doesn’t stack up,” the colonel added. “The biggest lie I’ve heard repeated on television is, Russian troops have been told to deliberately murder Ukrainian civilians. That’s absurd, it’s nonsense.”

Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the US Congress on Wednesday to send fighter jets, air defense missiles and other weapons to Kiev, as well as establish a no-fly zone over Ukraine, so his army could defeat Russia. He made the same argument to Canadian lawmakers on Tuesday.

Macgregor, however, believes that such shipments will have no effect and that Zelensky’s refusal to negotiate an armistice is only going to get more Ukrainians killed.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huo mkono wa putin sio jana wala leo na zaidi hauusiani na ugonjwa bali ni ile ni Weapons training ya KGB alipokuwa kabla hajaingia kua Raisi... Mkono wake wa kulia umetulia uku wa kushoto ndo ukiwa free to move...

Such all over the internet akikutana na ugonjwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aje tumpee zawadi...

Na kingine cha ajab during his inauguration ceremony alikuwa hivo... Now n more than 22 yrs... Je huo ugonjwa bado tu? Ukiongeza na miaka ya nyuma kabla ya Uraisi?

Huyu jamaa sijuw huwa anatuchukiliaje humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi ata staki kum'qoute namuacha na pumba zake tu.
 
jamaa namshangaa kawa waajabu sana asee.

nlianza kumuona waajabu alipoanza kucomplain kuhusiana na ule msafara wa RUSSIA alosema eti umeenda bila ulinzi wa anga
kwamba yeye anaijua vyema UKRAINE kuliko wanavyoijua RUSSIA.

hatimae msafara nasikia umesonga hakuna hata kijiwe ulorushiwa
 
Wewe jiulize, Kama Ukraine inaelekea kushindwa mbona rsis Zelensky Kila siku anazililia Nchi za Nato na Marekani waweke no fly zone! Ikumbukwe pia kuwa kabla ya vita kuànza Ukraine ilikuwa imepewa silaha lukuki za Kila namna na Nato na Marekani.

Mbona Sasa Kila kukicha analilia silaha Toka Nchi za magharibi? Alizokuwa nazo zeenda wapi? Ukweli ni kuwa karibu zote zishateketezwa! Walizoingiza hivi karibuni ziliteketezwa kabla ya kuwafikia walengwa. Ziliteketezwa pale Kambi ya jeshi karibu na mpaka wa Poland iliposhambuliwa!

Ndio maana kwa Sasa Nchi za magharibi zinahaha kupeleka téna silaha hata kwa mbinu ya kudsnganya kuwa ni misaada ya kibinadamu iliyosheheni madawa na vyakula. Hiyo mbinu pia imegonga mwamba hata kabla silaha hizo kuffikishwa Ukraine!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kbs, tena leo nimeamini wala Putin mwenyewe hamfaham vizuri.


Anakwambia ugonjwa alonao Putin angekuwa marekan angejiuzuru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajisahaulisha kibabu Biden kimeshaanza kupoteza kumbukumbu kias cha kuanza kumwita First Lady Makam wake wa Raisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado kipo madarakani.

 
Putin noted that Russia does not intend to occupy Ukraine, and that its troops are doing “everything in their power to avoid losses among the civilian population of Ukrainian cities.”

Hiyo mbinu ya kukwepa mauaji makubwa ya raia ndio imesababisha kuendesha vita taratibu kwa mbinu ya kuzingira miji na kuwanyima nafasi ya askari Toka sehemu moja kwenda kutia nguvu sehemu nyingine na taratibu watanyosha mikono.

Kwa Sasa Japo wanajifaragua lakini Ukraine ameshalazimika kukubali sharti la kuwa "neutral" yaani kamwe asijiunge na Nato!! Jiulize kitu gani kimemfanya akubali! Ni mziki wa kijeshi unaoendelea umemlainisha!!
 
Mkuu siraha hazizuii uonevu,
Siraha haipigani vita ila watu ndo wanapigana vita na watu ndo wakuzuia uonevu....
Teh teh teh eti NATO aingilie sehemu ambayo hawana Mkataba nao,kwanza huu msaada wanaoutoa unatosha kabisa maana Mrusi cha moto anakiona. Na unaposema kuwa Urusi akishinda Marekani hatakuwa Super Power tena,upo serious kabisa?
 
[emoji779]️Operation End? Russia and Ukraine are prepping a plan to include a ceasefire & withdrawal of troops - Kremlin spox neither confirms nor denies...
Teh teh eti Ukraine apunguze jeshi lake. Kweli nimeamini Urusi kapigika haswa ndio maana kaleta dai jipya la Ukraine kupunguza idadi ya Wanajeshi wake.
 
Mbona sehemu za kupitisha zipo kibao tu jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…