LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
"WHY DO WE NEED WORLD WITHOUT RUSSIA"
Kichapo kimeshaanza kutembeaπŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦


Ukraine fired missiles at Russia for the first time with Biden's permission. "Today, for the first time in history, the AFU struck a military facility on Russian territory with US ATACMS missiles."

 
Ni kweli ATACMS 6 zimetumika kushambulia ndani ya Russia. Hata hivyo, zote zimetunguliwa kabla ya kuleta madhara.
 
Putin ameshaanza kuonja moto wa atacims πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ”₯

The Ukrainian Armed Forces have struck an ammunition depot arsenal in the Bryansk region, Russia. 12 explosions and a detonation were recorded
 
Bila shaka Russia atalipiza mapigo, Ukrainian citizens jiandaeni na majibu mazito
 
Putin anafeli sana!

Utaendelea kuwaachia watu mpaka lini wakujaribu?

Si kila jambo la kuchukulia hekima! Akumbuke kuna watu wanakufa wanajeshi wake aache kujifanya mastermind sana!

Apunguze maneno mengi afanye kweli! Lugha pekee US anayoielewa ni kama Iran anavyofanya kwa Israel, akiweka ugoko wewe unaweka chuma.

Kuna kipindi magaidi wa Msumbiji walikuwa wanapiga ndani ya Tanzania halafu wanakimbilia Msumbiji.

Tanzania ikaona liwalo na liwe! Wakapiga mizinga kutoka huku huku Tanzania ikaenda kupiga Msumbiji huko huko kwa hao magaidi.

Msumbiji akajifanya kuja juu akaambiwa wadhibiti waasi wako! Wakipiga na sisi tunapiga.
 
Bora wewe umetoka na kutoa ya moyoni kuliko wenzako hambao wanajifanya hawaoni kwamba bwana mkubwa anadhalilishwa!
 
Bora wewe umetoka na kutoa ya moyoni kuliko wenzako hambao wanajifanya hawaoni kwamba bwana mkubwa anadhalilishwa!
Russia inazidi kuchukua maeneo!

Lakini haikwepeki kwamba kuna hasara anazipata!

Lazima atapoteza wanajeshi, vifaa vya kijeshi, raia wake kudhurika kama hao wanaoishi mipakani na wengine kupoteza maisha kabisa!

Aache kujifanya master mind sanaaa! Inabidi afanye kweli ili kuweka mfano kwa wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…