LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ameshaanza kukungutwa
The Russian military is accelerating its gains along the front line in Ukraine at a crucial time for the conflict.

Data from the Institute for the Study of War (ISW) shows that Russia has gained almost six times as much territory in 2024 as it did in 2023, and is advancing towards key Ukrainian logistical hubs in the eastern Donbas region.

Meanwhile, Ukraine's surprise incursion into Russia's Kursk region is faltering. Russian troops have pushed Kyiv's offensive backwards. Experts have questioned the success of the offensive, with one calling it a "strategic catastrophe" given manpower shortages faced by Ukraine.

These developments come at a time of heightened uncertainty with a second Donald Trump administration looming. The US president-elect has vowed to bring the war to a close when he takes office in January, with some fearing he could cut future military aid to Ukraine.

===
Nadhani huna mashaka na chanzo cha habari.
 
kufanya extra ordinary thing.
Ni asymmetrical retaliation....!!! Anataka EU au NATO wavurugane....!!! Hivi unadhani shake up ya uongozi ndani ya serikali za EU ni kazi ndogo, viwanda kufungwa huko Ujerumani ni masihara? Ili adui apigwe vizuri, ni kwanza kuua morali ya askari na raia!! Ili iwe rahisi kupata mamluki!!!
 
Russia is disappointing all of us unless it has a new battle plan before January or waiting for Trump war proposal. Failure to these, will be likened as a toothless dog.
Jawabu ni rahisi, Putin ni dhaifu na West kwa sasa wameshaligundua hili!

Na ndiyo maana wanazidi kuvuka mipaka kila kukicha.

Sidhani kama angelikuwa Dmitry Anatolyevich Medvedev au Ramdan Kadyrov West wangelikuwa wanaendelea na hilo zao za kuidhuru Russia.

Russia haina hata uthubutu anaouonyesha Iran kwa kuipiga Israel na kambi za US nchini Iraq. Russia ya Putin huo uthubutu hana!
 
Putin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.

Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Hivi bado hamjagundua kuwa Putin na Russia yake hawana uwezo mkubwa zaidi ya mikwala na vitisho tu. Na tayari US/NATO wameshajua kuwa Russia anapigika kirahisi sana na ni joka lisilo na sumu. Na kuna uwezekano tayari NATO wanazo targets zote muhimu zilizopo Russia KINACHOSUBIRIWA NI MUDA MUAFAKA TU UFIKE.

Binafsi ningependa sana dunia iwe na balanced power au two Blocks hasa kwa faida yetu sisi vi nchi maskini kuliko kuwa na Mbabe mmoja tu duniani ambaye atatuendesha anavyotaka yeye. Ningependa sana Russia ashinde LAKINI KWA MOVE INAVYOENDELEA NI DHAHIRI RUSSIA INAKWENDA KUPIGWA NA KUANGUKA VIBAYA TENA ANGUKO KUBWA KULIKO LILE LA UJERUMANI YA HITLER.
 
Kilichoifanya Russia ihofiwe na Nato ni kuwa na maamuzi magumu. Hiyo nidhamu ndiyo imeifanya Russia izingatiwe na West kuwafanya wafikiri kabla ya kufanya jambo lolote kuhusiana na Russia.

Hii nidhamu iliyojengwa Putin ameshaivunja. Huwezi kusimamia Plan ambayo inashusha hadhi ya nchi yako.
 
Putin awaachie japo kwa wiki moja viongozi wa state DUMA waendeshe hii operesheni.

Putin amekuwa mlaini laini utadhani ana ndugu huko UKRAINE
Nakubali kabisa Putin anatuangusha
State Duma isimamie hili suala kulinda pia heshima na Hadhi ya Russia!! Maneno yametosha

Yeye alisema Siku wakitupa hizo kombora watakiona sasa anatuambia Story za kutungua sisi hatutaki story achia dude kwanza!! Baadae tujadiliane kwamba nani kapata nani kakosa na hapo Dude lielekeze USA Ndio boss wao.
 
Biden kacharuka 😍 🀩 😍 🀩 😍 🀩 😍 🀩 😍
 
Deep down unajua hayo Ni maneno ya kujifariji tu.Putin anazingua
 
Deep down unajua hayo Ni maneno ya kujifariji tu.Putin anazingua
Russia ya Nikita Khrushchev au ya Stalin Putin kwa mwenendo wake unadhani angeiweza? Asingeiweza.

Nikita Khrushchev kipindi cha cold War alitungua ndege ya kivita ya US na US wakaufyata.

Baada ya Marekani kuizunguka Cuba na meli za kijeshi Nikita aliamuru meli ya kijeshi ya Russia ipite hivyo hivyo mpaka Marekani alikuwa aniajiuliza tufanyaje sasa?!

Heshima ambayo wenzake wameijinga dhidi ya Russia yeye anaibomoa kizembe sana! Si ajabu kesho kwa mikwara yake atawaambia kitengo cha nuclear kifanye mazoezi ya kujiandaa kwa vita.

Baada ya hapo atabadilisha doctrine yao kuhusu mambo ya nuclear atasaini nyengine. Baada ya hapo ndiyo kashamaliza.

Nilichogundua, Putin si kwamba ana huruma, bali Putin ni dhaifu.

Makamanda wake wengi wa kijeshi walitaka wamalize hii SMO mapema tu ila yeye anajifanya master mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…