LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Good analysis
 
Urusi ameshatoa majibu tayari 😍 🤩 😍 🤩
 
Bado ujachema
 
Ukweli mchungu huu ila ngoja tuone ila saiv jukwaan anaetamba ni kipanya tu
 
Nonsense mtu dhaifu hawezi kuongoza urusi kwa zaidi ya miaka 20.
 
Putin anasubiriwa afanye kama anajikuna Ili wamgonbanie kama mpira wa kona
Unaongea kama umekunywa mataputapu.
Hapa Putin ameonesha kua ni kiongozi Bora kabisa katika sayari hii.
Putin ana silaha za kupiga Kila nchi ya NATO Kwa mara moja,hata kama wakijibu lkn watakua wote wamesha poteza Sasa watamgombania vipi.
Hapa hakuna atakae kaa baadae na kusema tulimshinda Putin.
Hebu fuatilia huko USA watu walivyokerwa na ujinga huu ambao wewe unaona na ujanaja.
Huwezi ukaitisha nyukilia power kama Urusi.
 
Nonsense mtu dhaifu hawezi kuongoza urusi kwa zaidi ya miaka 20.
Kwani Russia hii ndiyo mara yake ya kwanza kufanya kosa na baadaye kujutia?

Nenda kasome history alivyofanya kosa la kususia kikao baraza la usalama umoja wa mataifa halafu nini kilitokea!
 
Nakuelewa vizuri sana Mkuu wangu Comrade Hammaz.
Wewe pamoja na Pro Russia wengine natambua hisia zenu,najua hasira zenu na najua maumivi yenu,lkn natofautiana na nyinyi pakubwa kwa nyinyi kutaka Putin ajibu kama mnavyotaka.
Hali mliyonayo nyinyi Iko hata Urusi kwenyewe,Kuna watu wenye hasira Kali wanamuona Putin anawalea sana Ukraine,lkn Amin nawaambia hii vita Viongozi wa USA na NATO wameshakosea hivyo wanataka kumharibia Trump ambae tokea mwanzo alikua anaipinga.
Sasa kwa akili ya kawaida TU Putin kajua dhamira Yao,hivyo hapa inatakiwa busara ya Hali ya juu mno kuihandle Hali hii na ndio Putin anachokifanya.
Hivi si tunaamini kua Urusi ana silaha za nyukilia nyingi kushinda nyukilia zote za NATO kwa pamoja?
Sasa unafikiri anashindwa Nini kuipiga Ukraine?
Anaogopa Nini Sasa,maana anauwezo wa kuipiga nchi yoyote itakayoingilia kuisaidia Ukraine?
Haijalishi hata kama NATO wataingia,lkn anao uwezo wa kurusha makombora ya nyukilia kwa Kila nchi za NATO lkn je unafikiri kwa Nini hataki kujifanyia hivyo Ukraine?
Jibu ni moja TU hekima na busara za kujiingiza Dunia katika janga kubwa kama hili kijinga TU.
Lakini pamoja na busara na hekima hizo uvumilivu hua una mwisho.
Hata Sasa Dunia nzima imeona ujinga huu wa akina Biden kwa chuki zao TU dhidi ya Trump ambae walijaribu kumfanyia Kila figisu ili asiwe Rais ama hata afungwe kabisa njama hizi ziliposhindwa Sasa wanataka wamuachie jumba bovu.
Ujinga huu wa akina Biden umepokelewa kwa hasira Kali sana huko USA na UK ,nimekuja nikiangalia kwa social media baadhi ya raia wamekereka na kuingiwa na hofu na taharuki kua hawako tayari kuingia vita vya nyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine ambae hata sio NATO.
Kuna hata seneta wanatakankumfanyia impichment Biden na wanasema tokea USA iwepo hajawahi kutokea Rais anaemaliza muda wake kutengeneza janga ili kumuachia Rais ajae kwa kumkomoa.
Mkuu Hammaz nakuhakikishia kua zile nyukilia za Urusi hawakutengeneza matoi ya kufanyaia maonesho,nakuambia kua Urusi akichoka kuvumilia atafanya jambo Dunia itakaa kimya na hakuna atakae mjibu,si USA wala taka taka yoyote ya ulaya.
Haya sio mawazo yangu pekee nafuatilia mojadala ya wataalamu ,maprofesa,waandishi na wachambuzi nguli kama akina Scott Rtter,Col Douglas Macgregor na Turker Curson na wengine,wote wanawaponda sana Biden na yule kibwengo wa UK.wanasema utulivu wa Putin sio uoga ni kwamba anaangalia madhara ya majibu,lkn kwa Hali ilivyo majibu hayako mbali sana Kwa maana tayari uvumilivu umeshawashinda Russia.
Wanasema "Putin is not bluffing ",Biden made mistake,don't poke the bear"
 
Uko sahihi kabisa Mkuu,wala hujakosea.
Kwanza Kwa vita hii tumegundua toka mwanzo Urusi hua hakurupuki na Hana mihemko.
Siku zote imekua hivihivi baadae hapa watu watakuja na kuanza kusema Urusi kutumia nguvu kubwa mno.
 
Mkuu kama unataka tujadili kama washabiki wa Simba na yanga Mimi sitakua tayari,lkn kama unataka tujadili kama watu wenye hofu na uharibifu wa Dunia yetu karibu.

Kwa kifupi TU ni kwamba ukifika muda wa "vita kamili kabisa"kati ya NATO na Urusi,ambao kwa jinsi ninavyoona hauko mbali kama busara isipochukua nafasi yake ni kwamba mwanzo hapatatumika kabisa matumizi ya askari wa miguu,mwanzo itakua ni vita vya makombora,na haitachukua masaa mengi yatakua ni makombora ya nyukilia,na hii yote ni kuogopa kuwahiwa na mmojawapo kuteketezwa makombora yake yakiwa bado kwenye hifandhi.
Sasa hebu fikiria Urusi ina makombora 6000 mfano na USA Ina makombora 5000.
Hebu fikiria Tena USA Ina majimbo 50 je unadhani Kila jumbo litapigwa kwa makombora mangapi?
Fikiria na Urusi Ina majimbo 50 ,nayo Kila Jimbo litapigwa na makombora mangapi?
Ijapokua ni ufafanuzi wa ki layman lkn jiulize TU kiwango Cha maangamizi na uharibifu.
Ref.Hiroshima na Nagasaki.
 
Kuongoza mataifa makubwa sio kitu chepesi kama watu wanavyo fikiri.

Maamuzi ya North Korea na Iran hayawezi kuwa sawa na maamuzi ya China na Russia.

Hata kwa nafasi walizonazo Kim na Ayatollah wangekuwa nazo China na Russia wasingefanya maamuzi wanayofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…