Hayo makombora ya icbm hubeba kichwa chenye bomu la nyuklia.Kwanini apige nyuklia ardhi anayoichukua
Ukraine itaachaje kutumia hizo atcms na shadow?Tuko hapa utaona kama wataacha kuzitumia,bila kichapo kitakatifu Ukraine Ni mtoto mtukutu.Hayo makombora ya icbm hubeba kichwa chenye bomu la nyuklia.
Russia wametuma ujumbe kwa hizo kombora kuwa wakiendelea atazidisha dose.
Cha kuuliza ni je, Ukraine itaendelea kutuma makombora ya atcms na storm shadow?
Mkuu embu share na sisi hizo taarifa za kuangamizwa command post za Russia,pengine unayo source reliable But Please usituletee source za CNN,SKYNEWS,BBC,VOA etc,hawa ni sehemu kamili ya disinformation na propaganda war ya UKRAINE na NATO hawaaminiki hata kidogo.Navojua mimi storm shadow zimekuwa katika matumizi na jeshi la Ukraine kwa muda mrefu tu,hata daraja la Crimea kuna wakati lilipigwa na storm shadow.ma bunker hayatamsaidia, Mabunker ya command posts za vikosi vinavyotaka kukomboa Kursk yamesambaratishwa na storm shadow.
Zelensky ni mkweli, "The missiles will speak for themselves"
sir if you're using chingili please let me paid for you just one cup there to amina chura mburahati . God bless youNakuelewa vizuri sana Mkuu wangu Comrade Hammaz.
Wewe pamoja na Pro Russia wengine natambua hisia zenu,najua hasira zenu na najua maumivi yenu,lkn natofautiana na nyinyi pakubwa kwa nyinyi kutaka Putin ajibu kama mnavyotaka.
Hali mliyonayo nyinyi Iko hata Urusi kwenyewe,Kuna watu wenye hasira Kali wanamuona Putin anawalea sana Ukraine,lkn Amin nawaambia hii vita Viongozi wa USA na NATO wameshakosea hivyo wanataka kumharibia Trump ambae tokea mwanzo alikua anaipinga.
Sasa kwa akili ya kawaida TU Putin kajua dhamira Yao,hivyo hapa inatakiwa busara ya Hali ya juu mno kuihandle Hali hii na ndio Putin anachokifanya.
Hivi si tunaamini kua Urusi ana silaha za nyukilia nyingi kushinda nyukilia zote za NATO kwa pamoja?
Sasa unafikiri anashindwa Nini kuipiga Ukraine?
Anaogopa Nini Sasa,maana anauwezo wa kuipiga nchi yoyote itakayoingilia kuisaidia Ukraine?
Haijalishi hata kama NATO wataingia,lkn anao uwezo wa kurusha makombora ya nyukilia kwa Kila nchi za NATO lkn je unafikiri kwa Nini hataki kujifanyia hivyo Ukraine?
Jibu ni moja TU hekima na busara za kujiingiza Dunia katika janga kubwa kama hili kijinga TU.
Lakini pamoja na busara na hekima hizo uvumilivu hua una mwisho.
Hata Sasa Dunia nzima imeona ujinga huu wa akina Biden kwa chuki zao TU dhidi ya Trump ambae walijaribu kumfanyia Kila figisu ili asiwe Rais ama hata afungwe kabisa njama hizi ziliposhindwa Sasa wanataka wamuachie jumba bovu.
Ujinga huu wa akina Biden umepokelewa kwa hasira Kali sana huko USA na UK ,nimekuja nikiangalia kwa social media baadhi ya raia wamekereka na kuingiwa na hofu na taharuki kua hawako tayari kuingia vita vya nyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine ambae hata sio NATO.
Kuna hata seneta wanatakankumfanyia impichment Biden na wanasema tokea USA iwepo hajawahi kutokea Rais anaemaliza muda wake kutengeneza janga ili kumuachia Rais ajae kwa kumkomoa.
Mkuu Hammaz nakuhakikishia kua zile nyukilia za Urusi hawakutengeneza matoi ya kufanyaia maonesho,nakuambia kua Urusi akichoka kuvumilia atafanya jambo Dunia itakaa kimya na hakuna atakae mjibu,si USA wala taka taka yoyote ya ulaya.
Haya sio mawazo yangu pekee nafuatilia mojadala ya wataalamu ,maprofesa,waandishi na wachambuzi nguli kama akina Scott Rtter,Col Douglas Macgregor na Turker Curson na wengine,wote wanawaponda sana Biden na yule kibwengo wa UK.wanasema utulivu wa Putin sio uoga ni kwamba anaangalia madhara ya majibu,lkn kwa Hali ilivyo majibu hayako mbali sana Kwa maana tayari uvumilivu umeshawashinda Russia.
Wanasema "Putin is not bluffing ",Biden made mistake,don't poke the bear"
Na Mr tom mengine atawapiga hata washirika wake kuhofia yeye anaweza potea alafu wao wa pata mtende ku surviveMkuu kama unataka tujadili kama washabiki wa Simba na yanga Mimi sitakua tayari,lkn kama unataka tujadili kama watu wenye hofu na uharibifu wa Dunia yetu karibu.
Kwa kifupi TU ni kwamba ukifika muda wa "vita kamili kabisa"kati ya NATO na Urusi,ambao kwa jinsi ninavyoona hauko mbali kama busara isipochukua nafasi yake ni kwamba mwanzo hapatatumika kabisa matumizi ya askari wa miguu,mwanzo itakua ni vita vya makombora,na haitachukua masaa mengi yatakua ni makombora ya nyukilia,na hii yote ni kuogopa kuwahiwa na mmojawapo kuteketezwa makombora yake yakiwa bado kwenye hifandhi.
Sasa hebu fikiria Urusi ina makombora 6000 mfano na USA Ina makombora 5000.
Hebu fikiria Tena USA Ina majimbo 50 je unadhani Kila jumbo litapigwa kwa makombora mangapi?
Fikiria na Urusi Ina majimbo 50 ,nayo Kila Jimbo litapigwa na makombora mangapi?
Ijapokua ni ufafanuzi wa ki layman lkn jiulize TU kiwango Cha maangamizi na uharibifu.
Ref.Hiroshima na Nagasaki.
Eee mungu mkuu mwingi wa rehma mwenye kurehemu. Walio shuhudia hiyo miujiza nawahakikishia hata ukiwashikia bunduki hawawizi Tena kurusha kitu RussiaMpaka sasa hawajui hii ni ICBM au nini!
Putin says Russia hit Ukraine with new intermediate-range ballistic missile
The Russian president says the strike was in response to Ukraine's "use of American and British long-range weaponry".www.bbc.com
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859560893257863500
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859559709088338319
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859558633723298097
Ukraine wamelalamika sana baada ya Russia kurusha Kombora la ICBM.Hayo makombora ya icbm hubeba kichwa chenye bomu la nyuklia.
Russia wametuma ujumbe kwa hizo kombora kuwa wakiendelea atazidisha dose.
Cha kuuliza ni je, Ukraine itaendelea kutuma makombora ya atcms na storm shadow?
Naam,na tuendelee kufarijiana kwa maneno hayo milele na milee amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏Ukraine wamelalamika sana baada ya Russia kurusha Kombora la ICBM.
Bibie naona Putin kakupagawisha mpaka unachanganya mafaili🤩😍🤩😍🤩😍Wanajaribu kututoa mchezoni!Wewe kombora linabeba vichwa sita halafu halijazuiliwa na kitu chochote!
Arrest warrants issued for Netanyahu, Gallant and Hamas commander over alleged war crimes
ICC issues arrest warrants for Netanyahu, Gallant and Hamas commander
Judges accuse them over alleged war crimes and crimes against humanity related to Israel's war with Hamas.www.bbc.com
Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!naona Putin kakupagawisha mpaka unachanganya mafaili
Sasa kwanza sisi hatutaki hii Achia Dude wambie watu wahame Kyiv wote kuanzia Kesho woote waondoke tumalize ule mji wote shenziiiMwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!
Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'
Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.
"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.
The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".
Ukraine war latest: Trump 'hopes to announce minerals deal tonight' - after Zelenskyy's olive branch and truce talk
Donald Trump is hoping to announce an agreement with Ukraine in front of Congress tonight, according to Reuters. Earlier, Volodymyr Zelenskyy said it's "time to make things right" after his White House argument with Trump. Listen to the latest Trump 100 podcast below.news.sky.com
Sijui ni kwanini walevi tunajuana haraka sana. Mwenyewe nimeona hiyo profile yako nikaona K vant za kutosha. Maana walevi wa Konyagi , K Vant na Gongo huwa wana sura na macho fulani ya kujishtukia.Shujaa wa kwenye Keyboard kwenye Moja na mbili....
Muulize kwanza hiyo Iran yenyewe lini imepigika!?Kwa maelezo Yako haya halafu ndio unajiona mchambuzi mwenye akili kuliko wotehumu jukwaani.
Aisee kweli wabongo noma.
Kwamba Urusi inapigika kama Iran.
Sasa Urusi inapigika na nani?
Inapigwa na Ukraine?
Inapigwa na USA?
Inapigwa na NATO?
Ama all collective west?
Hio video narudia Mara kumi kumi bado sielewi hilo bomu linavofanyaMpaka sasa hawajui hii ni ICBM au nini!
Putin says Russia hit Ukraine with new intermediate-range ballistic missile
The Russian president says the strike was in response to Ukraine's "use of American and British long-range weaponry".www.bbc.com
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859560893257863500
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859559709088338319
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859558633723298097
Hii kitu imewachanganya sana mpaka wamaemua kuhamisha magoli kwa Netanyahu!Hio video narudia Mara kumi kumi bado sielewi hilo bomu linavofanya