LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hayo makombora ya icbm hubeba kichwa chenye bomu la nyuklia.

Russia wametuma ujumbe kwa hizo kombora kuwa wakiendelea atazidisha dose.

Cha kuuliza ni je, Ukraine itaendelea kutuma makombora ya atcms na storm shadow?
Ukraine itaachaje kutumia hizo atcms na shadow?Tuko hapa utaona kama wataacha kuzitumia,bila kichapo kitakatifu Ukraine Ni mtoto mtukutu.
 
Hiki ndicho kilichowafanya wapenda damu za watu na vita wakataka Trump asije kufanikiwa.


View: https://vm.tiktok.com/ZMh

WKYsfF/
 
China ilikuwa na sababu kabisa hata za kuweza kuleta mzozo mkali kama vita Taiwan au hata kushambulia ndege ya Pelosi.

Je, watu tunajiuliza kwa nini uchina hawakufanya hivyo zaidi tu waliwaonesha Taiwan kuwa wanaweza kuwazunguka kwa kupitia mazoezi ya kijeshi waliyofanya.

Je, China ni dhaifu ?
Je, tunafikiri ni Xi pekee ndie aliyesema Taiwan isishambuliwe ?
Je, China haina wataalam wa kupima kila hatua watakazo chukua na kuona ni sahihi ama sio sahihi ?

Haya maswali tunaweza pia kujiuliza kuhusu Russia.

Silaha alizonazo Russia zinahitaji kabisa utulivu na Putin kwa kweli mpaka sasa namsifu kwa hilo.

Putin anaweza kukifanya kile anachofanya Netanyahu rahisi tu lakini je, matokeo ya maamuzi yake yupo tayari kuyabeba ? Je, hata marafiki zake watakubali kumkingia kifua ?

Kuwawinda viongozi wa Ukraine hawezi shindwa, kufanya collective punishment kisa kuua askari mmoja au wawili hawezi shindwa, kulipua raia hovyo sehemu mbalimbali na kutunga uongo kujitetea hawezi pia shindwa.

Mambo mengi ya ajabu Putin na jopo lake hawawezi shindwa kuyatolea maamuzi lakini matokeo ya maamuzi hayo ni mabaya sana kwa taswira ya urusi na warusi hata political instability ndani ya Urusi nina hakika lazima itokee na political instability mashariki mwa ulaya lazima itokee hii ni mbaya sana kwa usalama wa Urusi kuliko hata sasa.

Maisha ya Israel na Waisrael kwa kweli ni ya ajabu kisa matendo haya haya sidhani kama putin na warusi watakubali na kufurahi Russia ikiwa hivyo.
 
ma bunker hayatamsaidia, Mabunker ya command posts za vikosi vinavyotaka kukomboa Kursk yamesambaratishwa na storm shadow.

Zelensky ni mkweli, "The missiles will speak for themselves"
Mkuu embu share na sisi hizo taarifa za kuangamizwa command post za Russia,pengine unayo source reliable But Please usituletee source za CNN,SKYNEWS,BBC,VOA etc,hawa ni sehemu kamili ya disinformation na propaganda war ya UKRAINE na NATO hawaaminiki hata kidogo.Navojua mimi storm shadow zimekuwa katika matumizi na jeshi la Ukraine kwa muda mrefu tu,hata daraja la Crimea kuna wakati lilipigwa na storm shadow.
Sitegemei hizi ATACAMS za Ukraine zitaleta mabadiliko ya maana kwenye mizani ya vita.Bado scale iko in favour of RUSSIA.Kibaya nachokihofia kwa raia wa Ukraine wasio na hatia ni athari za mabadiliko ya silaha zitakazotumika na RUSSIA.Sitegemei Russia kutumia Nuklia bali ukubwa na intensity ya mabomu itazidi sana na kusababisha madhara kwa raia wengi.
 
Nakuelewa vizuri sana Mkuu wangu Comrade Hammaz.
Wewe pamoja na Pro Russia wengine natambua hisia zenu,najua hasira zenu na najua maumivi yenu,lkn natofautiana na nyinyi pakubwa kwa nyinyi kutaka Putin ajibu kama mnavyotaka.
Hali mliyonayo nyinyi Iko hata Urusi kwenyewe,Kuna watu wenye hasira Kali wanamuona Putin anawalea sana Ukraine,lkn Amin nawaambia hii vita Viongozi wa USA na NATO wameshakosea hivyo wanataka kumharibia Trump ambae tokea mwanzo alikua anaipinga.
Sasa kwa akili ya kawaida TU Putin kajua dhamira Yao,hivyo hapa inatakiwa busara ya Hali ya juu mno kuihandle Hali hii na ndio Putin anachokifanya.
Hivi si tunaamini kua Urusi ana silaha za nyukilia nyingi kushinda nyukilia zote za NATO kwa pamoja?
Sasa unafikiri anashindwa Nini kuipiga Ukraine?
Anaogopa Nini Sasa,maana anauwezo wa kuipiga nchi yoyote itakayoingilia kuisaidia Ukraine?
Haijalishi hata kama NATO wataingia,lkn anao uwezo wa kurusha makombora ya nyukilia kwa Kila nchi za NATO lkn je unafikiri kwa Nini hataki kujifanyia hivyo Ukraine?
Jibu ni moja TU hekima na busara za kujiingiza Dunia katika janga kubwa kama hili kijinga TU.
Lakini pamoja na busara na hekima hizo uvumilivu hua una mwisho.
Hata Sasa Dunia nzima imeona ujinga huu wa akina Biden kwa chuki zao TU dhidi ya Trump ambae walijaribu kumfanyia Kila figisu ili asiwe Rais ama hata afungwe kabisa njama hizi ziliposhindwa Sasa wanataka wamuachie jumba bovu.
Ujinga huu wa akina Biden umepokelewa kwa hasira Kali sana huko USA na UK ,nimekuja nikiangalia kwa social media baadhi ya raia wamekereka na kuingiwa na hofu na taharuki kua hawako tayari kuingia vita vya nyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine ambae hata sio NATO.
Kuna hata seneta wanatakankumfanyia impichment Biden na wanasema tokea USA iwepo hajawahi kutokea Rais anaemaliza muda wake kutengeneza janga ili kumuachia Rais ajae kwa kumkomoa.
Mkuu Hammaz nakuhakikishia kua zile nyukilia za Urusi hawakutengeneza matoi ya kufanyaia maonesho,nakuambia kua Urusi akichoka kuvumilia atafanya jambo Dunia itakaa kimya na hakuna atakae mjibu,si USA wala taka taka yoyote ya ulaya.
Haya sio mawazo yangu pekee nafuatilia mojadala ya wataalamu ,maprofesa,waandishi na wachambuzi nguli kama akina Scott Rtter,Col Douglas Macgregor na Turker Curson na wengine,wote wanawaponda sana Biden na yule kibwengo wa UK.wanasema utulivu wa Putin sio uoga ni kwamba anaangalia madhara ya majibu,lkn kwa Hali ilivyo majibu hayako mbali sana Kwa maana tayari uvumilivu umeshawashinda Russia.
Wanasema "Putin is not bluffing ",Biden made mistake,don't poke the bear"
sir if you're using chingili please let me paid for you just one cup there to amina chura mburahati . God bless you
 
Mkuu kama unataka tujadili kama washabiki wa Simba na yanga Mimi sitakua tayari,lkn kama unataka tujadili kama watu wenye hofu na uharibifu wa Dunia yetu karibu.

Kwa kifupi TU ni kwamba ukifika muda wa "vita kamili kabisa"kati ya NATO na Urusi,ambao kwa jinsi ninavyoona hauko mbali kama busara isipochukua nafasi yake ni kwamba mwanzo hapatatumika kabisa matumizi ya askari wa miguu,mwanzo itakua ni vita vya makombora,na haitachukua masaa mengi yatakua ni makombora ya nyukilia,na hii yote ni kuogopa kuwahiwa na mmojawapo kuteketezwa makombora yake yakiwa bado kwenye hifandhi.
Sasa hebu fikiria Urusi ina makombora 6000 mfano na USA Ina makombora 5000.
Hebu fikiria Tena USA Ina majimbo 50 je unadhani Kila jumbo litapigwa kwa makombora mangapi?
Fikiria na Urusi Ina majimbo 50 ,nayo Kila Jimbo litapigwa na makombora mangapi?
Ijapokua ni ufafanuzi wa ki layman lkn jiulize TU kiwango Cha maangamizi na uharibifu.
Ref.Hiroshima na Nagasaki.
Na Mr tom mengine atawapiga hata washirika wake kuhofia yeye anaweza potea alafu wao wa pata mtende ku survive
 

Eee mungu mkuu mwingi wa rehma mwenye kurehemu. Walio shuhudia hiyo miujiza nawahakikishia hata ukiwashikia bunduki hawawizi Tena kurusha kitu Russia
 
Wanajaribu kututoa mchezoni!Wewe kombora linabeba vichwa sita halafu halijazuiliwa na kitu chochote!

Arrest warrants issued for Netanyahu, Gallant and Hamas commander over alleged war crimes​


 
Wanajaribu kututoa mchezoni!Wewe kombora linabeba vichwa sita halafu halijazuiliwa na kitu chochote!

Arrest warrants issued for Netanyahu, Gallant and Hamas commander over alleged war crimes​


Bibie naona Putin kakupagawisha mpaka unachanganya mafaili🤩😍🤩😍🤩😍
 
naona Putin kakupagawisha mpaka unachanganya mafaili
Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!

Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'​

Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.

"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.

The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".

 
Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!

Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'​

Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.

"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.

The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".

Sasa kwanza sisi hatutaki hii Achia Dude wambie watu wahame Kyiv wote kuanzia Kesho woote waondoke tumalize ule mji wote shenziii
 
Kwa maelezo Yako haya halafu ndio unajiona mchambuzi mwenye akili kuliko wotehumu jukwaani.
Aisee kweli wabongo noma.
Kwamba Urusi inapigika kama Iran.
Sasa Urusi inapigika na nani?
Inapigwa na Ukraine?
Inapigwa na USA?
Inapigwa na NATO?
Ama all collective west?
Muulize kwanza hiyo Iran yenyewe lini imepigika!?
 
Hio video narudia Mara kumi kumi bado sielewi hilo bomu linavofanya
Hii kitu imewachanganya sana mpaka wamaemua kuhamisha magoli kwa Netanyahu!


View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859567946768494788

 
Back
Top Bottom