LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami
 
Mbona unaleta makasiriko sasa mzee na unarudia kilekile niilichosema, kwahyo mimi ni mgumu kuelewa kwasababu napingana na mawazo yenu, mbona tunapangiana Cha kuandika
 
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaa

Hawa pro Russia ni wazee wa kutupiga kamba tu ,hii vita Putin imemuelemea kabisa,nchi kubwa kama urusi kupingana na nchi iliyoko mpakani mwake with full force,Tena kwa Miaka 3 ni aibu mno Tena aibu isiyonenekaπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nami nilitaka kuhoji kwanini anampiga Ukraine na sio West na NATO ambao aliwatolea uvivu?
Binafsi majibu haya kwa Ukraine bado sijayafurahia ila nasubiri jibu kwa NATO roho ipoe.

Yap! Hili ndio jibu hambalo tunalisubiria pia, Putin alihaidi bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia, nashangaa mpaka Sasa anabung'aa tuuπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ulitaka afanye nini, kuimaliza ukraine?
Putin alihaidi bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia, nashangaa mpaka Sasa anabung'aa tuuπŸƒπŸƒπŸƒ

Tafsiri ya hapa Iko wazi kwamba NATO wamemkung'uta urusi,na asipojibu ataonekana madebwedo,na hii aibu itamchukua Karne kadhaa kusahaulika
 
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaakuna

Kwani ile ripoti inayosema kati ya watanzania 10 basi wanamatatizo ya akili hukuiona? Hao saba ndio hao mashabiki USA na WestπŸ˜€
 
Jamaa anazidi kuchanganyikiwa! Unaambiwa kitu cha jana madhara yake si ya kitoto!

Zelensky says world must respond to Russia's use of new type of missile in Ukraine​


The weapon was used in the eastern Ukrainian city of Dnipro on Thursday. Zelensky accused Russia's President Putin of "a clear and severe escalation"

"The use of a ballistic missile against Ukraine today is yet more proof that Russia has no interest in peace," Zelensky said in his nightly address yesterday.

 
Watu wale wanaserereka!

Russian forces 'accelerating advance', defence minister says​


The Russian defence minister has claimed Moscow's forces are "accelerating" their advance in eastern Ukraine.

Andrei Belousov made the comments after visiting a command post in Ukraine and handing out medals for bravery.

 
Akiendelea kujitia uchizi tunapachika Nukes sehemu zile zile zilipotoka zile vyuma vya jana,halafu unafikiri kazi basi yaani unapachika kama vile unaweka CD,s kwenye drive unapo updates Windows kwenye laptop 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…