LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20241122_043331_Chrome.jpg

Dikteta uchwara anajificha kwenye bunkers🤣🤣🤣
 
⚡ "You are crazy if you think you can just strike Russia" – Serbian President Vučić warns the U.S. and NATO against escalation

"If someone thinks they can shoot at anything they want on the territory of the Russian Federation with Western weapons without Putin responding, without him using all types of weapons to defend Russia, you either don’t know him, or you are crazy. There is no third option. I know him.

Listen, listen to what they are telling you. Don’t think someone is bluffing. Unfortunately, no one is bluffing, and, unfortunately, we are slowly heading into a catastrophe. No one wants to listen, no one wants to hear the word ‘peace’."
Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami
 
Wewe member hua ni mgumu sana kuelewa halafu mwepesi wa kusahau.
Nimesema hivi,USA na NATO waache kuirushia mawe Urusi wakiwa nyuma ya Ukraine.
Nikaendelea kusema sio tabia ya USA na NATO kuisaidia nchi kijeshi kwa kuipa misaada bila wao kuingia mazima kama walivyofanya Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na Libya.
Hapa nilikua nikilenga wanajifanya kumpa Ukraine silaha lakini wao ndio wanaziopareti.
Nikaongeza kusema wanapigana na Urusi kiujanjaujanja,hii sio tabia Yao na inaonekana udhaifu wao.
Nilimaanisha kua Hali hii inainyima Urusi uhalali wa kujibu mapigo moja kwa moja Kwa nchi yoyote inayorusha jiwe Urusi ikiwa nyuma ya Ukraine,sio nchi tu,hata NATO wote.
Kwa hiyo sio rahisi kwa Urusi kurusha jiwe Kwa NATO.
Ila kama unaona Urusi inaiogopa NATO basi omba Mungu NATO waingize jeshi lao kama walivyoingiza Iraq au Afghanistan au Yugoslavia halafu uone kama Urusi atajibu ama hatajibu.
Mbona unaleta makasiriko sasa mzee na unarudia kilekile niilichosema, kwahyo mimi ni mgumu kuelewa kwasababu napingana na mawazo yenu, mbona tunapangiana Cha kuandika
 
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaa

Hawa pro Russia ni wazee wa kutupiga kamba tu ,hii vita Putin imemuelemea kabisa,nchi kubwa kama urusi kupingana na nchi iliyoko mpakani mwake with full force,Tena kwa Miaka 3 ni aibu mno Tena aibu isiyoneneka🏃🏃🏃
 
Nami nilitaka kuhoji kwanini anampiga Ukraine na sio West na NATO ambao aliwatolea uvivu?
Binafsi majibu haya kwa Ukraine bado sijayafurahia ila nasubiri jibu kwa NATO roho ipoe.

Yap! Hili ndio jibu hambalo tunalisubiria pia, Putin alihaidi bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia, nashangaa mpaka Sasa anabung'aa tuu🏃🏃🏃
 
Ulitaka afanye nini, kuimaliza ukraine?
Putin alihaidi bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia, nashangaa mpaka Sasa anabung'aa tuu🏃🏃🏃

Tafsiri ya hapa Iko wazi kwamba NATO wamemkung'uta urusi,na asipojibu ataonekana madebwedo,na hii aibu itamchukua Karne kadhaa kusahaulika
 
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaakuna

Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami
Kwani ile ripoti inayosema kati ya watanzania 10 basi wanamatatizo ya akili hukuiona? Hao saba ndio hao mashabiki USA na West😀
 
Jamaa anazidi kuchanganyikiwa! Unaambiwa kitu cha jana madhara yake si ya kitoto!

Zelensky says world must respond to Russia's use of new type of missile in Ukraine​

The weapon was used in the eastern Ukrainian city of Dnipro on Thursday. Zelensky accused Russia's President Putin of "a clear and severe escalation"

"The use of a ballistic missile against Ukraine today is yet more proof that Russia has no interest in peace," Zelensky said in his nightly address yesterday.

Watu wale wanaserereka!

Russian forces 'accelerating advance', defence minister says​

The Russian defence minister has claimed Moscow's forces are "accelerating" their advance in eastern Ukraine.

Andrei Belousov made the comments after visiting a command post in Ukraine and handing out medals for bravery.

Jamaa anazidi kuchanganyikiwa! Unaambiwa kitu cha jana madhara yake si ya kitoto!

Zelensky says world must respond to Russia's use of new type of missile in Ukraine​

The weapon was used in the eastern Ukrainian city of Dnipro on Thursday. Zelensky accused Russia's President Putin of "a clear and severe escalation"

"The use of a ballistic missile against Ukraine today is yet more proof that Russia has no interest in peace," Zelensky said in his nightly address yesterday.

Akiendelea kujitia uchizi tunapachika Nukes sehemu zile zile zilipotoka zile vyuma vya jana,halafu unafikiri kazi basi yaani unapachika kama vile unaweka CD,s kwenye drive unapo updates Windows kwenye laptop 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom