IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Dikteta uchwara anajificha kwenye bunkers🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanye nini, kuimaliza ukraine?Jamaa Hana Cha kufanya zaidi ya kutamba na hizo intercontinental missiles hambazo hata kiduku mwenyewe anazo 🏃🏃
HuelewekiView attachment 3158314plan ilikuwa kulimaliza Ukraine kwa siku-kuo milioni tu. Hatima zimekuwa simu 1000 😂😂😂
Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami⚡ "You are crazy if you think you can just strike Russia" – Serbian President Vučić warns the U.S. and NATO against escalation
"If someone thinks they can shoot at anything they want on the territory of the Russian Federation with Western weapons without Putin responding, without him using all types of weapons to defend Russia, you either don’t know him, or you are crazy. There is no third option. I know him.
Listen, listen to what they are telling you. Don’t think someone is bluffing. Unfortunately, no one is bluffing, and, unfortunately, we are slowly heading into a catastrophe. No one wants to listen, no one wants to hear the word ‘peace’."
Huyu ndio putin,he is cum, anatumia akili nyingi,ubinadamu pia ...kuna watu hapa jana wamebwabwaja sana kuhusu huyu mwamba ,wengine wakamuita dhaifu,mala Russia inaanguuka ..now you see?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1859651965808198113?t=eRfLlnjlPhxm0qA9EBvWMw&s=19
Mbona unaleta makasiriko sasa mzee na unarudia kilekile niilichosema, kwahyo mimi ni mgumu kuelewa kwasababu napingana na mawazo yenu, mbona tunapangiana Cha kuandikaWewe member hua ni mgumu sana kuelewa halafu mwepesi wa kusahau.
Nimesema hivi,USA na NATO waache kuirushia mawe Urusi wakiwa nyuma ya Ukraine.
Nikaendelea kusema sio tabia ya USA na NATO kuisaidia nchi kijeshi kwa kuipa misaada bila wao kuingia mazima kama walivyofanya Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na Libya.
Hapa nilikua nikilenga wanajifanya kumpa Ukraine silaha lakini wao ndio wanaziopareti.
Nikaongeza kusema wanapigana na Urusi kiujanjaujanja,hii sio tabia Yao na inaonekana udhaifu wao.
Nilimaanisha kua Hali hii inainyima Urusi uhalali wa kujibu mapigo moja kwa moja Kwa nchi yoyote inayorusha jiwe Urusi ikiwa nyuma ya Ukraine,sio nchi tu,hata NATO wote.
Kwa hiyo sio rahisi kwa Urusi kurusha jiwe Kwa NATO.
Ila kama unaona Urusi inaiogopa NATO basi omba Mungu NATO waingize jeshi lao kama walivyoingiza Iraq au Afghanistan au Yugoslavia halafu uone kama Urusi atajibu ama hatajibu.
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaa
Nami nilitaka kuhoji kwanini anampiga Ukraine na sio West na NATO ambao aliwatolea uvivu?
Binafsi majibu haya kwa Ukraine bado sijayafurahia ila nasubiri jibu kwa NATO roho ipoe.
Putin alihaidi bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia, nashangaa mpaka Sasa anabung'aa tuu🏃🏃🏃Ulitaka afanye nini, kuimaliza ukraine?
Huyu Lee Van free hataki kusikia maoni kinzani na upande wake.Mbona unaleta makasiriko sasa mzee na unarudia kilekile niilichosema, kwahyo mimi ni mgumu kuelewa kwasababu napingana na mawazo yenu, mbona tunapangiana Cha kuandika
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaakuna
Kwani ile ripoti inayosema kati ya watanzania 10 basi wanamatatizo ya akili hukuiona? Hao saba ndio hao mashabiki USA na West😀Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami
Kwa kweli 📌 🤣 🤣 🤣Kwani ile ripoti inayosema kati ya watanzania 10 basi wanamatatizo ya akili hukuiona? Hao saba ndio hao mashabiki USA na West😀
Huyu Lee Van free hataki kusikia maoni kinzani na upande wake.
Maoni kinzani au kebehi. kebehi za Nini sasa Kama huna hoja ni bora kukaa kimyaHuyu Lee Van free hataki kusikia maoni kinzani na upande wake.
Akiendelea kujitia uchizi tunapachika Nukes sehemu zile zile zilipotoka zile vyuma vya jana,halafu unafikiri kazi basi yaani unapachika kama vile unaweka CD,s kwenye drive unapo updates Windows kwenye laptop 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Jamaa anazidi kuchanganyikiwa! Unaambiwa kitu cha jana madhara yake si ya kitoto!
Zelensky says world must respond to Russia's use of new type of missile in Ukraine
The weapon was used in the eastern Ukrainian city of Dnipro on Thursday. Zelensky accused Russia's President Putin of "a clear and severe escalation"
"The use of a ballistic missile against Ukraine today is yet more proof that Russia has no interest in peace," Zelensky said in his nightly address yesterday.
![]()
Putin says stock of new missiles 'ready to be used' as Zelensky urges 'serious response'
Russia first used its experimental ballistic missile on Ukraine on Thursday, which Zelensky calls "a clear and severe escalation".www.bbc.com