LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Inavyoshuka ni km mwanga wa Radi au imetoka sayar nyingine kupiga duniani
Hapo hamna kitu kipya hizo teknolojia zipo tangu miaka ya 1980s.

Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs) zipo kwa makombora mengind ya Urusi, Marekani na nchi chache. Nchi ya kwanza kutengeneza MIRVs ni Marekani ambayo kutokana na mkataba wa silaha za nyuklia START II Marekani ilipanga kuachana na MIRVs 2014, ingawa haizuii kuendelea. Hata Urusi kuna muda waliacha na sasa ndio wakitaka waendelee.

Kuhusu silaha kuzuilika. Urusi yenyewe ina makombora ya tangu 1970s ambayo ukiwaambia wayafyatue kisha wayadungue kwa mifumo yao ya 2020s hawawezi. Missile tech inaenda kwa kasi zaidi kuliko anti-missile tech. Kutengeneza sumu ni rahisi sana kuliko kutengeneza dawa ya sumu. Urusi haina mfumo wa kuzuia ICBM hata liwe la Pakistan.
 

wewe ndio upo nyuma ya wakati for your information Ballistic missile zote zilishapatiwa dawa kitu ambacho hakina dawa ni hypersonic cruise missile na sababu ni they are too fast and constantly changing their course
 
wewe ndio upo nyuma ya wakati for your information Ballistic missile zote zilishapatiwa dawa kitu ambacho hakina dawa ni hypersonic cruise missile na sababu ni they are too fast and constantly changing their course
mkuu New development of ICBM technology are ICBMs able to carry hypersonic glide vehicles as a payload such as RS-28 Sarmat. ndio maana haizuiliki
 
Huyu ndio Mtanzania sasa ,yaani anajua yote kuhusu technolojia ya kijeshi ya Urusi zaidi hata ya NATO wanavyoijua Russia, anakuambia Russia hata technolojia yakuzuia ICBM ,sasa kama ni hivyo Russia mpaka sasa NATO wangekuwa wameshaichakaza vya kutosha Russia.

NATO wanaitana kila siku jinsi yakumkabili Russia, Bomu la juzi media zote kubwa wanarijadili ,viongozi na makamanda wakuu wakijeshi wanalijadiri uhatari wake ,lakini yupo Mtanzania mmoja ambae nchi yake hata kutengeneza kijiko haiwezi anakuambia Russia haina jipya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
umemaliza
 
Ujuaji ndio unaoathiri maendeleo yetu kama nchi. Ndio maana ushauri wa kitaaluma huwa hausikilizwi ila mwanasiasa anayejua tu kusoma na kuandika anasikilizwa
 
Halafu NK waliokuja ni 10K tu, ambazo Kwa data za kipanya 44 watakuwa walishamalizwa ndani ya siku kumi tu. Takwimu za kipanya 44 kutoka the Kyiv independent ni 1000+ daily warusi huuawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…