LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Inavyoshuka ni km mwanga wa Radi au imetoka sayar nyingine kupiga duniani
Hapo hamna kitu kipya hizo teknolojia zipo tangu miaka ya 1980s.

Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs) zipo kwa makombora mengind ya Urusi, Marekani na nchi chache. Nchi ya kwanza kutengeneza MIRVs ni Marekani ambayo kutokana na mkataba wa silaha za nyuklia START II Marekani ilipanga kuachana na MIRVs 2014, ingawa haizuii kuendelea. Hata Urusi kuna muda waliacha na sasa ndio wakitaka waendelee.

Kuhusu silaha kuzuilika. Urusi yenyewe ina makombora ya tangu 1970s ambayo ukiwaambia wayafyatue kisha wayadungue kwa mifumo yao ya 2020s hawawezi. Missile tech inaenda kwa kasi zaidi kuliko anti-missile tech. Kutengeneza sumu ni rahisi sana kuliko kutengeneza dawa ya sumu. Urusi haina mfumo wa kuzuia ICBM hata liwe la Pakistan.
 
wewe ndio upo nyuma ya wakati for your information Ballistic missile zote zilishapatiwa dawa kitu ambacho hakina dawa ni hypersonic cruise missile na sababu ni they are too fast and constantly changing their course
 
mkuu New development of ICBM technology are ICBMs able to carry hypersonic glide vehicles as a payload such as RS-28 Sarmat. ndio maana haizuiliki
 
Hapo hamna kitu kipya hizo teknolojia zipo tangu miaka ya 1980s.

Multiple Independent Reentry Vehicles (MIRVs) zipo kwa makombora mengind ya Urusi, Marekani na nchi chache. Nchi ya kwanza kutengeneza MIRVs ni Marekani ambayo kutokana na mkataba wa silaha za nyuklia START II Marekani ilipanga kuachana na MIRVs 2014, ingawa haizuii kuendelea. Hata Urusi kuna muda waliacha na sasa ndio wakitaka waendelee.

Kuhusu silaha kuzuilika. Urusi yenyewe ina makombora ya tangu 1970s ambayo ukiwaambia wayafyatue kisha wayadungue kwa mifumo yao ya 2020s hawawezi. Missile tech inaenda kwa kasi zaidi kuliko anti-missile tech. Kutengeneza sumu ni rahisi sana kuliko kutengeneza dawa ya sumu. Urusi haina mfumo wa kuzuia ICBM hata liwe la Pakistan.
Huyu ndio Mtanzania sasa ,yaani anajua yote kuhusu technolojia ya kijeshi ya Urusi zaidi hata ya NATO wanavyoijua Russia, anakuambia Russia hata technolojia yakuzuia ICBM ,sasa kama ni hivyo Russia mpaka sasa NATO wangekuwa wameshaichakaza vya kutosha Russia.

NATO wanaitana kila siku jinsi yakumkabili Russia, Bomu la juzi media zote kubwa wanarijadili ,viongozi na makamanda wakuu wakijeshi wanalijadiri uhatari wake ,lakini yupo Mtanzania mmoja ambae nchi yake hata kutengeneza kijiko haiwezi anakuambia Russia haina jipya 😀😀😀😀
 
umemaliza
 
Ujuaji ndio unaoathiri maendeleo yetu kama nchi. Ndio maana ushauri wa kitaaluma huwa hausikilizwi ila mwanasiasa anayejua tu kusoma na kuandika anasikilizwa
 
Hawa Pro UkraiNATO ni viumbe wa ajabu sana.
Wakisikia USA, NATO na nchi nyingine zimeongeza misaada ya silaha na usaidizi mwingine Kwa Ukraine wanafurahi kweli kweli.
Waliposikia Ukraine imeruhusiwa kutumia silaha za NATO kupiga ndani ya Urusi walifurahi kweli kweli,
Wakisikia USA na EU zimeongeza vikwazo kwa Urusi wanfurahi kweli kweli.
Tukiwaambia NATO inshirikiana na Ukraine kupigana na Urusi hawakubali hata kidogo.
Leo wanakuja na hoja ya Korea kaskazini,wakati korea kaskazini kama kweli Iko Urusi haizidi hata mwezi mmoja tokea wameenda huko.

Watakuambia Iran inaipa drone Urusi, hivi kweli Urusi Haina na haikua na drone zake kabisa Hadi ipewe na Iran?
Tena drone za Iran zilianza kutumika mwanzo wa vita TU,maana zingeanza kutumiaka Sasa hivi wangekuja na hoja kwamba Urusi imeishiwa silaha.
Ama Korea kaskazini kama wangekuja mwanzo wangesema Urusi imesaidiwa na Korea kaskazini.
Kusema kweli Hawa Pro UkraiNATO ni wabishi kweli.
Hata hivyo tukubali tukatae Kila upande una washirika wake.
Ukraine washirika wake ni nchi zote za west,Urusi nae ana washirika wake.
Sasa tangu vita ianze sijaona washirika wa Urusi wakikaa vikao vya kuisaidia Urusi kwa silaha na wataalamu kama wafanyavyo NATO na west.ila Urusi hata Rais wao akisafiri kidogo TU NATO wanapiga kelele.aisee NATO waniaogopa Urusi sana bana.
Halafu NK waliokuja ni 10K tu, ambazo Kwa data za kipanya 44 watakuwa walishamalizwa ndani ya siku kumi tu. Takwimu za kipanya 44 kutoka the Kyiv independent ni 1000+ daily warusi huuawa.
 
Back
Top Bottom