LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mbona unatufokea kwa kutumia lugha ya huyo huyo Mkoloni ambaye unatunanga naye?
Naunga hoja hii mikono na miguu. Kama Maafisa habari wameshindwa kazi waseme tuwatafute wengine wa kutuhabarisha.
 
Ukrainian forces have regained control over the village of Novyi Komar, located in the Volnovakha district of the Donetsk region, according to Khortytsia Group of Forces Spokesperson Nazar Voloshyn.
 
Facts ziwe za kutosha ndio msingi wa vita sio blahblah. Facts maramani ma video ndio yanatakiwa hapa
Vita inaishia kwenye meza ya mazungumzo,
Wakati Urusi anaongeza kasi na anakaribia kuangusha defence line nyingi na zikianguka kasi ya kusonga mbele itakuwa ni kubwa.
kwa ukraine anajitaidi ku defend Urusi asiongeze maeneo, ila changamoto ni manpower na inexperinced soldier, hata backers nao wameanza kuchoka.
Recruit ya mercenaries imeshuka, maana wamegundua hali kwa ground ni tofauti na wengi wamelala mbele.
Askari wanaokuwa mobilised nao wengi wanakimbia
 
Sasa NATO wanasubiri nini kama Ukraine imeishiwa Manpower/Askari. Ni kwanini NATO wasilete Askari wao!? Mfano Marekani alete Askari 100,000, Ufaransa 80,000, UK na Germany kila mmoja 70,000, na vi nchi vingine vichangie kila moja angalau Askari 20,000. Wakifanya hivyo dakika tu wanamuangusha Mrusi
 
Kama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,
 
Sio draft hilo, kwamba unasukuma tu kete
 
Majeshi ya Assad huko Syria yanaretread kila upande, ni swala la muda tu serikali ya Assad itaanguka,na hili litakuwa dhihirisho tosha kwamba Ukraine ameweza kumpa urusi " homework" ya maana.

N.B,back up ya urusi ndio ilisaidia kwa kias kikubwa sana kumuweka madarakani Assad vita ilipokuwa imechachamaa!
 
Kama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,
Kweli kabisa,ni fedheha kubwa sana Ukraine kuingia na kuikalia kimabavu ardhi ya "super power" lakini ndio hivo urusi Hana Jinsi.., anafanya kila mbinu Ili kuivua hii aibu lakn chuma kimekwama
 
Waziri wa ulinzi wa UK amewambia wenzie kuwa akiingia kwenye mtanange jeshi lake litakwisha ndani yaa miezi sita kwa kasi ya kipondo anachotoa Urusi. KUmbuka UK in wanajeshi 130,000 tu akitoa 70k atabaki na nini?
 
Waziri wa UK kasema hayo na wote tumeshuhudia,lkn nakuambia Kuna vi Tanzania havitakubaliana nae kabisa wakati hata kupanda ndege TU kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine havijapanda.
Waliosomea Cuba watanielewa.
 
Kama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,

Ni hoja nzuri inayotakiwa kupata majibu sahihi.

Kwa maoni yangu nafikiri majeshi ya Ukraine yanayoshikilia maeneo ya Russia yaweza kuwa na advantages zifuatazo.
Mosi majeshi ya Russia yanapata wakati mgumu sana kuyaondoa majeshi ya Ukraine kwasababu Russia haiwezi kutumia silaha nzito nzito yakiofia kuuwa raia wake na kuharibu miundombinu.

Mpaka baina ya Russia & Ukraine ni mkubwa sana, Ukraine anataka kutumia maeneo ya Russia wakati wa mahadiliano.Nadhani Ukraine anataka kuendelea kujidhatiti kwa gharama yoyote.Lakini wakati huo huo kakubali kupunguza ulinzi katika maeneo ambayo ni muhimu sana.
 
Tatizo ni askari wa ASSAD hawatai kupigana na Hizbullah walikuwa backup kubwa, Russia anamsaidia air force tu land force anatakiwa jeshi la serikali. Serikali ya Assad inaenda kuanguka na nimeikia watoto na mke wameshaondoka Syria
 
Waziri wa ulinzi wa UK amewambia wenzie kuwa akiingia kwenye mtanange jeshi lake litakwisha ndani yaa miezi sita kwa kasi ya kipondo anachotoa Urusi. KUmbuka UK in wanajeshi 130,000 tu akitoa 70k atabaki na nini?
UK Ina wanajeshi 130000 we jamaa unafutiliaga mambo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…