Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Mbona unatufokea kwa kutumia lugha ya huyo huyo Mkoloni ambaye unatunanga naye?Black people feels proud to be named with English and Latino. Anyway, no wonder in our minds we consider ourselves as Jews, Americans, Arabs etc. We're always sad to hear any bad news in Israel, Iran, USA, Russia, UK etc than what is happening in our Continent.
Poor, poor, poor Africans
Naunga hoja hii mikono na miguu. Kama Maafisa habari wameshindwa kazi waseme tuwatafute wengine wa kutuhabarisha.Waungwana humu ninashauri tufanye mabadiliko kidogo. Maafisa habari wetu wa humu jf waliopo huko UKRAINE ya Kibada na Mburahati tuwarudishe na tupeleke wengine watakaokuwa wanawajibika kutoa taarifa humu. Haiwezekani group linakaa siku tatu mfululizo bila ya updates , inaonyesha hawa wa sasa wameshakuwa WALEVI HUKO