LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Habari za feontline zinatakiwa haraka .Au ugomvi umesuluhishwa. Tunataka nani kampiga nani acheni ngonjera. Hivi wale machampioni wa habari za feont wameenda wapi
Nashaur uwaache warusi wauguze maumivu ya super power kushindwa kumlinda mshirika wake na alama yake muhimu.., kwingineko huko front line wanaendelea kuchinjwa 🏃🏃
 
Nimenusa harufu ya kufanyika kwa biashara kwenye ardhi ya Syria na biashara hiyo imeihusu moja kwa moja Russia.

Russia amepeleka vikosi burkinafaso, Mali, Afrika ya Kati sijui ndio Chad lakini ashindwe kupeleka nguvu kazi kwa Syria.

Haingii akilini.

Leo jioni nimevuta bangi ya kipemba, sipo serious.
 
Baada ya Oreshnik na kuranda randa kwa drone juu ya US base kule UK, matumizi ya ATACMS na storm shadow yamekuwa prohibited
Juzi kwenye mahojiano Babu lavrov alisema majaribio ya silaha hiyo ilikuwa ni alarm kwa watu wa upande wa pili, aliendelea kusema alarms Ile mpaka muda huu imepokelewa kwa tahadhari nzuri ya kukiepuka kikombe cha jahannam.

Nikaunganisha nukta, kwa siku za karibuni mabwana wale hawajarusha hata jiwe mitaa ya URUSI.

nikabaki kucheka na kusikitika.

Hawa wajinga wawili bado wanawasiliana na wao ndio watakaoamua ni lini vita hii itakwisha na kipigo gani kitolewe kwa adui mpuuzi.

🇺🇸 na 🇷🇺 ni wanakharamu.
 
Tuachane na Syria, tuendelee na yetu! Hii ni jana!

Russian forces have resumed their offensive operations directly aimed at seizing Pokrovsk through a turning maneuver from the south after successfully widening their salient south and southeast of the town.

December 7, 2024, 6:00 pm ET


 
Watu wanakaribia kuzungukwa huko! Hii ni jana!

Russian forces are likely attempting to flank Pokrovsk from the west and force Ukrainian forces to withdraw from Pokrovsk and Myrnohrad in order to minimize Russia's need to conduct frontal assaults on the towns’ eastern and southern approaches.

December 7, 2024, 6:00 pm ET


 
Kuna michezo na mipango mingi hatari kwa Binadamu na hizi vita ni kama plan ya kufikia malengo
Kuna muda huu uadui unaona kabisa kama wa mchongo
 
Inawezekana Trump akawa sahihi! Au Putin kuna kete anaichezesha?? Kuna tetesi ni wao ndiyo walioamua aachie madaraka! Muda utaamua!

Trump says Russia abandoned Assad​


Dec 8 (Reuters) - U.S. President-elect Donald Trump said on Sunday that Russia's abandonment of Syrian President Bashar al-Assad led to his downfall.

"Assad is gone.
He has fled his country. His protector, Russia, Russia, Russia, led by (President) Vladimir Putin, was not interested in protecting him any longer,"

Russia and Iran, Assad's other main backer, "are in a weakened state right now, one because of Ukraine and a bad economy, the other because of Israel and its fighting success".

December 8, 20241:46 PM GMT+3

 
Kuna muda huu uadui unaona kabisa kama wa mchongo
Huwa nahisi kitu kama hicho.Huwa naamini Urusi na Marekani wanatumiana kuwadhoofisha Ulaya.

Mfano angalia Ujerumani na Ufaransa ambao ndiyo maboss wa EU wanachopitia sasa hivi.Ukumbuke Marekani haitaki Ulaya iwe na nguvu yoyote!

Ujerumani hapati gesi, Ufaransa huku Afrika anaisoma namba!

Sasa kila kukicha tukae mezani tumalize huu mgogoro wa Ukraine kwa mazungumzo! Mission imeisha!

Trump anasema Urusi ataondolewa vikwazo vyote vya kiuchumi pamoja na kupata maeneo huko Ukraine ambayo yana rasilimali za kutosha na adimu hapa duniani!!

Kule mashariki ya kati baada ya kuona Marekani anaangaliwa kwa jicho baya, mrusi akaenda! Mrusi anaonekana shujaa! Mission imeisha huyo anaondoka!

Huwa naamini hawa jamaa wanatuchezea michezo ya kuigiza ambayo hata kama damu itamwagika hawajali!

Nb:Ni mtazamo!
 
Akili zako ndogo kwani wanajeshi si wataongezeka tu ..vita vikianza 8russi atakuwa na wanajeshi mil10 ndani ya miezi 10 tu ...tena kama mabomu ya nuke yasipo tumika ndiyo itakuwa hivyo
We ndio kabisa uko mbali na mada za vita yani Russia aongeze wanajeshi milion 10 angekua na uwezo huo angepitisha bakuli kwa kiduku mzee amka usingizini kumekucha
 
The Russians are pulling their warships from the Syrian base in Tartus, transferring weapons and military equipment by air from the Khmeimim base.
This was reported by the Main Intelligence Directorate of Ukraine’s Defense Ministry.
 
Mkuu tofauti ya hizo nchi za Africa na Syria ni moja,Assad alikua ana maadui wengi mno.usa UK fr,Israel, turkey,saud Arabia,waasi n.k.
 
8 Dec, 17:22
Ukraine loses over 400 troops, two infantry fighting vehicles in Kursk Region


MOSCOW, December 8. /TASS/. The Ukrainian armed forces have lost more than 400 troops and two infantry fighting vehicles in Russia’s borderline Kursk Region over the past 24 hours, the Russian Defense Ministry said.


According to the Russian Defense Ministry, since the onset of combat in the Kursk area, the adversary has lost over 39,260 troops, 232 tanks, 171 infantry fighting vehicles, 123 armored personnel carriers, 1,233 armored combat vehicles, 1,098 motor vehicles, 308 artillery guns, 40 multiple launch rocket systems, including 11 US-made HIMARS and six MLRS, and 13 air defense launchers.
 
Russian army has liberated Blagodatnoye settlement in Donetsk People’s Republic

The Ukrainian army lost up to 190 troops, two 152mm self-propelled Akatsiya artillery systems, two MaxxPro armored combat vehicles and a US-made 155mm self-propelled Paladin artillery system in 24 hours
 
Halafu Kuna vijimtu vinakuambia Urusi dhaifu

US military support for Ukraine exceeds $62 bln since 2022 — Pentagon chief

Lloyd Austin confirmed that the new military aid package for Ukraine will be approximately $1 billion

NEW YORK, December 8. /TASS/. The United States has supplied Kiev with $62 billion worth of military aid since the beginning of the special military operation, Pentagon chief Lloyd Austin said.

He added that Ukraine's other allies provided the Kiev authorities with about $57 billion over the same time period, bringing the total assistance given to the country to around $119 billion.

The Pentagon chief confirmed that the new military aid package for Ukraine will be approximately $1 billion and will include missiles for HIMARS multiple rocket launchers and drones. The Russian government has repeatedly stated that supplying Ukraine with weapons will not weaken Moscow's resolve or alter the course of its special military operation
 
Nchi ya Ukraine imekua ikipokea misaada mingi sana ili kukabiliana na Urusi.

Germany’s AfD candidate for chancellor calls for ending arms supplies to Ukraine

BERLIN, December 7. /TASS/. The Alternative for Germany party nominated its co-chairwoman Alice Weidel as a candidate for chancellor in the elections scheduled for February, the DPA news service reported.

In her first speech to the news media as a candidate, she called for peace in Ukraine and an end to weapons supplies to the country.

"We want peace in Ukraine. We don't want arms deliveries, we don't want any tanks, we don't want any missiles. We do not want Taurus missiles to be delivered to Ukraine because by doing so Germany would become a party to the conflict," Weidel said.

"It can never be done together with the AfD. We are the party of peace, and if you don't want to have a war in Germany, then choose the AfD," she said, referring to the party by its German acronym.

Weidel said politicians that propose transferring Taurus missiles to Kiev can go to the battlefield in Ukraine themselves but should "leave the German armed forces alone."

On December 16, the German parliament is set to consider a vote of confidence in the cabinet of German.
 
Baada ya Oreshnik na kuranda randa kwa drone juu ya US base kule UK, matumizi ya ATACMS na storm shadow yamekuwa prohibited
Hilo ni shambulizi lililofanyika 28 novemba kwenye mji wa chernomorsk. Huo mzigo ulikuwa unatokea Romania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…