Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Umechambua kisomi kiongoziSuala si taarifa nyingi, suala unao uthubutu wa kufanya?
Nenda kasome cold War uone Nikita Khrushchev alichukua maamuzi gani?
USA wameizingira Cuba na Russia meli yao inapita USA wanaizuia. Makamanda wa Russia wanapewa amri wapite hivyo hivyo na watu wamepita.
Dmitry Anatolyevich Medvedev alitoa misimamo gani wakati hii Operation inaanza? Kwa kuangalia tu unadhani kama angelikuwa rais wa Russia hawa manazi wa Ukraine na West wangethubutu kuichezea Russia kama wakati huu wa Putin?
Ofcourse warusi hawaogopi! Ila Putin ndiye anayeogopa!
Lee Van freeUduwanzi kama huu huwezi kusikia NATO waki entertain.
Intuition
Na hiyo ni inside Moscow.
Putin is embarrassingly weak. West wanatageti wata muhimu wa Russia na hakuna kitu Russia anafanya ili waone ni hatari kujaribu tena kitu kama hicho!
Syria washukuru Mungu wameingia makubaliano na magaidi ambao ni vibaraka wa USA, Turkey na Israel n.k
Ambapo mpaka kwa sasa wameachiwa waendelee na makubaliano yao ya base zao kubaki. Hizo base ni njia kuhimu sana kwa Russia kuweza kulinda maslahi yake mashariki ya kati na Afrika.
Ili West wamchanganye Putin wametanua wigo wa matatizo kwa usalama wa Russia: Wametanua Georgia na wakatanua Syria. Kitu ambacho kimemfanya Russia asiwe na uwezo wa kupeleka majeshi yake Syria kwani ubavuni kwake kuna vuguvugu huko Georgia muda si mrefu kunaweza kulipuka na bado anaendelea na SMO yake Ukraine.
Kila mstari mwekundu Putin anaoutamka wanauvuka na Putin yupo kimya anajibu kiuoga.
Nani anayejua sasa hivi watafanya nini? Russia kwa sasa tatizo ni Putin. Ni mlaini sana. Siasa yake na West haina tofauti na CCM na Mbowe.
Hizi kazi za milipuko wanafanya sana M16 na si ajabu idara ya usalama wa taifa wa Ukraine wameshirikiana nao.
Mna kazi ya kung'ang'ania sijui kuna raia jamii ya warusi kule Ukraine na sababu nyenginezo kama hizo!
Ramzan Kadyrov ni nani? Siyo mrusi kwani? Makamanda wake wa kijeshi ni nani kwani siyo Warusi? State of Duma ni nani kwani siyo warusi? Mbona wote walimshauri Putin afanye kama tunachokiona sisi na bado Putin kanywea?
Putin kwa hali iliyofikia sasa hivi kwa usalama wa Russia ni mdhaifu.
Hili ni pigo kubwa kwa Russia.
Mwaka unaenda watatu huu ameshindwa kuweka no fly zone hapo Ukraine pamoja na Airforce power walionayo, ni jambo la aibu sana hili.Putin aache kulalamika apigane watu tumeshachoka maneno yake!
Jamaa ana mikwara sana ila ni kawaida kwa madicteta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Putin nimemuona ni mtu wa mikwara tu!
Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.Uduwanzi kama huu huwezi kusikia NATO waki entertain.
Intuition
Na hiyo ni inside Moscow.
Putin is embarrassingly weak. West wanatageti wata muhimu wa Russia na hakuna kitu Russia anafanya ili waone ni hatari kujaribu tena kitu kama hicho!
Syria washukuru Mungu wameingia makubaliano na magaidi ambao ni vibaraka wa USA, Turkey na Israel n.k
Ambapo mpaka kwa sasa wameachiwa waendelee na makubaliano yao ya base zao kubaki. Hizo base ni njia kuhimu sana kwa Russia kuweza kulinda maslahi yake mashariki ya kati na Afrika.
Ili West wamchanganye Putin wametanua wigo wa matatizo kwa usalama wa Russia: Wametanua Georgia na wakatanua Syria. Kitu ambacho kimemfanya Russia asiwe na uwezo wa kupeleka majeshi yake Syria kwani ubavuni kwake kuna vuguvugu huko Georgia muda si mrefu kunaweza kulipuka na bado anaendelea na SMO yake Ukraine.
Kila mstari mwekundu Putin anaoutamka wanauvuka na Putin yupo kimya anajibu kiuoga.
Nani anayejua sasa hivi watafanya nini? Russia kwa sasa tatizo ni Putin. Ni mlaini sana. Siasa yake na West haina tofauti na CCM na Mbowe.
Hizi kazi za milipuko wanafanya sana M16 na si ajabu idara ya usalama wa taifa wa Ukraine wameshirikiana nao.
Mna kazi ya kung'ang'ania sijui kuna raia jamii ya warusi kule Ukraine na sababu nyenginezo kama hizo!
Ramzan Kadyrov ni nani? Siyo mrusi kwani? Makamanda wake wa kijeshi ni nani kwani siyo Warusi? State of Duma ni nani kwani siyo warusi? Mbona wote walimshauri Putin afanye kama tunachokiona sisi na bado Putin kanywea?
Putin kwa hali iliyofikia sasa hivi kwa usalama wa Russia ni mdhaifu.
Hili ni pigo kubwa kwa Russia.
Mtu mwenye akili Timamu hawezi kumuona putin kuwa diktetaJamaa ana mikwara sana ila ni kawaida kwa madicteta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vita rasmi ni ipi zaidi ya hii? Matumizi ya nuclear??Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.
Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.
Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.
Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.
Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
kuna siku watatuelewa, subiri mpaka wajinga waondoke na roho ya gerasimov.Na hiyo ni inside Moscow.
Putin is embarrassingly weak. West wanatageti wata muhimu wa Russia na hakuna kitu Russia anafanya ili waone ni hatari kujaribu tena kitu kama hicho!
Suala si taarifa nyingi, suala unao uthubutu wa kufanya?
Nenda kasome cold War uone Nikita Khrushchev alichukua maamuzi gani?
USA wameizingira Cuba na Russia meli yao inapita USA wanaizuia. Makamanda wa Russia wanapewa amri wapite hivyo hivyo na watu wamepita.
Dmitry Anatolyevich Medvedev alitoa misimamo gani wakati hii Operation inaanza? Kwa kuangalia tu unadhani kama angelikuwa rais wa Russia hawa manazi wa Ukraine na West wangethubutu kuichezea Russia kama wakati huu wa Putin?
Ofcourse warusi hawaogopi! Ila Putin ndiye anayeogohapa
Endelea kuamini hivyo kwenye mtandao, lakini naimani ndani yako unajua kabisa Russia ikiamua hii hii warfare hakuna kitu kitabaki kime simama hapo Ukraine.Vita rasmi ni ipi zaidi ya hii? Matumizi ya nuclear??
Kuiita SMO ni arrogance ya wa Russia.
Katafute kazi ya kufanya kama hoja zimekushindwa huna hata aibu kusema Dunia nzima itamshindwa Russia hapo Ukraine ameomba had msaada Iran na n.korea huna hata aibu na wanaokusapot mnalingana ubongoMbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.
Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.
Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.
Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.
Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
Appenda uchambuz wa kutumia skill Kama huu hongera sana hata huko USA Waranza kufunga badhi ya kambi maana Kuhudumia hizo Kama itakuwa ni Mzigo wa we walipa Jodi wa marekaniWarussi wanaelewa sana wanachokifanya.
1.Putin angetumia mihemko kuingia Ukraine - kukandamiza kwelikweli yangemtokea puani.Ndo maana hata vita vilovyoibuka palikua na sintofahamu nyingi Urusi na sababu kubwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya warussi na wa-ukraine- uhisiano wa damu, culture etc.kule kukuta mtu ana-ndugu Urussi au Ukraine ni zaidi ya kawaida.Wanajeshi kukuta wana familia huku na huku - kawaida - hapo inabidi utulie kwelikweli ndo maana hatuoni akifanya kama Israel inachokifanya Gaza au Lebanoni
2.Pilli bila shaka anataarifa nyingi kuliko tunavyofikiri - hafanyi maamuzi kwa hisia...taarifa ndo zinafanya wafanye hayo maamuzi.
3.Warussi hawana haraka, wala hawamuogopi US au Ulaya..kama sisi tunavyoogopa - hao wote ni wazungu tu -bara moja - wanajuana - wameishapigana mamia ya vita ni sawasawa na sisi Mkongo kumuogopa Mkenya au Mnamibia kumuigopa Mrwanda..wote waafrika tu kuna vitu wanashare the same kwa hao wazungu.
4.Ukorofi wa Urussi na kuwakazia west umeanza kuzaa matunda..angalia Georgia - ndo kwanza mawesitisha mambo ya EU na wamepata Rais pro Russia, Romania - pro Russia alikia anaenda kushinda - wakatengua matokeo, Slovakia huko Fico prime minister ni pro Russia - walimtwanga Risasi hakufa kaisha-confirm kuwepo red square Moscow may kwenye parade, Ufaransa wanatumia nguvu kubwa sana kumzuia Le pen-ipo siku watajichanganya tu, Germany hali mbaya - deindustrialization - gharama ya uzalishaji kubwa sana - gas..,Croatia wamesema hawana mpango wa kutuma majeshi yao Ukraine na kama vipi Ukraine Igawanywe kama ilivyokua Cheklovakia..etc..
Kuna karata na bomu Russia inalitengeneza Ulaya huko - siku vyama vikilipuka patakua hapakaliki.
Naheshimu maoni ya Hammaz.
Here's some information about aid to Ukraine by country:May God bless President Putin and Russia with victory over Ukraine and the combined Communist forces of NATO.