kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Duh! π..,kajifunze kuandika kwanza ππππHurusi atapambana na ukregin na nato mpaka hapate hushindi
Nashangaa DPRK imetuma wasojaa alafu NATO wanaogopa wakati urusi wanajeahi wameisha wameanza kukodi wanajeahi wa kigeni na wavaa kobazi wa Sana'a.Msemo maarufu wa Pro Russia,"Urusi sio Zimbabwe,Libya ,Iraq au Afghanistan".
Mbona hamuingii kamili kama mlivyoingia Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na libya?
Kama kweli Urusi ni dhaifu huu Sasa ndio muda wa nchi zaidi ya 57 kwenda kumpiga Urusi,mbona hamuendi?
Kwani Kuna tofauti Gani kati ya Iraq kuivamia Kuwait na Urusi kuivamia Ukraine?
NATO,Urusi imeshadoofika ingizeni majeshi kamili Sasa acheni kujifichaficha nyuma ya Ukraine.
Tulia wewe afisa propaganda wa NATO je! Kama kaandika kibangubanguDuh! π..,kajifunze kuandika kwanza ππππ
AiseeImenikumbusha ugomvi wa utototoni..,yule hambaye Hana ubavu wa kupambana utasikia anasema "" sote tuvue viatu,alafu twende uwanjani ,au sehemu iliyo wazi,na mtu yeyote asiingilie ugomvi wetu,Tena tusipigane mateke bali tutumie ngumu tu,tutaona kama utaniweza..,"ππ Tambo kama hizi nazikumbuka sana enzi za utoto/ujana wangu..,hapo ukisema hivo unajiona shujaa na mwenye kujiamini hatari π π
Kaka wewe mbingu utaiskia tuπ€£π€£π€£nude savage at its peakDuh! π..,kajifunze kuandika kwanza ππππ
Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.Ukrainian forces have suffered almost 1 million casualties since February 2022 and have lost about 20,000 tanks and armored vehicles, Valery Gerasimov, the head of the Russian General Staff, told foreign diplomats on Wednesday.
Nyinyi ndio mnatulaumu bule CCM sasa wanajeshi wa North Korea wapo Ukraine?.Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.
Ukraine hata kama wanakufa,wanakufa kishujaa kwa kuitetea nchi yao hawajamvamia mtu,bali wamevamiwa
na damu yao inamwagika kwenye ardhi yao wenyewe,warusi na wakorea wanafia nini? N wanafia na kuozea ugenini,ni aibu kubwa na kutojari raia kwa viongozi wao.
Kumlaumu Russia kwenye hii vita ni kama kumruhusu jirani yako alivunje jiko ili kesho uje kufa kwa njaa. Ukraine kujiunga na NATO kunamaanisha Ukraine angepewa silaha za nuclear ili siku kikinuka, amlipue Russia kwa niaba ya USA kirahisi maana wapo karibu. Ni kama sisi tuwe na uadui na SA, alafu SA aingie makubaliano ya muungano na Rwanda. Hayo makubaliano na SA, yangesababisha Rwanda apewe silaha za nuclear ili amsaidie SA kutuua WATZ (kisa tupo karibu nae) kirahisi bila yeye kuingia vitani na sisi. Unafikiri sisi tungekaa kimya kuruhusu hili litokee?Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.
Ukraine hata kama wanakufa,wanakufa kishujaa kwa kuitetea nchi yao hawajamvamia mtu,bali wamevamiwa
na damu yao inamwagika kwenye ardhi yao wenyewe,warusi na wakorea wanafia nini? N wanafia na kuozea ugenini,ni aibu kubwa na kutojari raia kwa viongozi wao.
Ila brother wewe na BBC Kuna pahali mnazingua sanaView attachment 3180758ππ€©ππ€©ππ€©ππ€©ππ€©ππ€©π ππ€£π€£π€£
Wako wapi,na wanafanya nini?Nyinyi ndio mnatulaumu bule CCM sasa wanajeshi wa North Korea wapo Ukraine?.
Kwa hiyo NATO au USA wakitumia nchi nyingine si watamfikia tu?Kumlaumu Russia kwenye hii vita ni kama kumruhusu jirani yako alivunje jiko ili kesho uje kufa kwa njaa. Ukraine kujiunga na NATO kunamaanisha Ukraine angepewa silaha za nuclear ili siku kikinuka, amlipue Russia kwa niaba ya USA kirahisi maana wapo karibu. Ni kama sisi tuwe na uadui na SA, alafu SA aingie makubaliano ya muungano na Rwanda. Hayo makubaliano na SA, yangesababisha Rwanda apewe silaha za nuclear ili amsaidie SA kutuua WATZ (kisa tupo karibu nae) kirahisi bila yeye kuingia vitani na sisi. Unafikiri sisi tungekaa kimya kuruhusu hili litokee?
Tatizo wengi hatuujui huu mgogoro hata kwa 10% ila tupo mstari wa mbele kufanya uchambuzi ulioshabihiana na mahaba mazito kupitiliza. Hata ivyo Ukraine amekipata alichokitaka. Haitokuja aje kuingia NATO hata iweje. Ardhi yake imepokwa, nchi yake imeharibiwa na raia wake wameuliwa kama sisimizi kwenye masika.
Halal. Kila mtu atavuna alichokipanda. Huu uadui wa kutaka jirani yako mliyetenganishwa kwa mpaka apotezwe kwenye uso wa dunia ni uchawi pro max uliokubuhi beyond human explanation. Wacha wafe ***** zao
Duuh ila huyu Mzee ana dharau. Kwamba Hadi THAAD itashindwa kuintercept oreshnikManeno ya Putin
-world test: βLet them designate a target in Kiev, concentrate all their air defense systems there, and we will strike with the βOreshnikβ to see what happens. We are ready for such an experiment. Is the other side ready?β
NATO Leo wamechinjwa 7000Sidhani kama Kuna siku waliwahi kuchinjwa warusi elf mbili na miambili..,hii vita inazidi kuvunja rekodi mpya kila sikuπ₯±π₯±π₯±View attachment 3180722