LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Msemo maarufu wa Pro Russia,"Urusi sio Zimbabwe,Libya ,Iraq au Afghanistan".

Mbona hamuingii kamili kama mlivyoingia Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na libya?
Kama kweli Urusi ni dhaifu huu Sasa ndio muda wa nchi zaidi ya 57 kwenda kumpiga Urusi,mbona hamuendi?
Kwani Kuna tofauti Gani kati ya Iraq kuivamia Kuwait na Urusi kuivamia Ukraine?
NATO,Urusi imeshadoofika ingizeni majeshi kamili Sasa acheni kujifichaficha nyuma ya Ukraine.
Nashangaa DPRK imetuma wasojaa alafu NATO wanaogopa wakati urusi wanajeahi wameisha wameanza kukodi wanajeahi wa kigeni na wavaa kobazi wa Sana'a.
 
Imenikumbusha ugomvi wa utototoni..,yule hambaye Hana ubavu wa kupambana utasikia anasema "" sote tuvue viatu,alafu twende uwanjani ,au sehemu iliyo wazi,na mtu yeyote asiingilie ugomvi wetu,Tena tusipigane mateke bali tutumie ngumu tu,tutaona kama utaniweza..,"๐Ÿ˜๐Ÿ˜… Tambo kama hizi nazikumbuka sana enzi za utoto/ujana wangu..,hapo ukisema hivo unajiona shujaa na mwenye kujiamini hatari ๐Ÿƒ ๐Ÿƒ
Aisee
 
Sidhani kama Kuna siku waliwahi kuchinjwa warusi elf mbili na miambili..,hii vita inazidi kuvunja rekodi mpya kila siku๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ๐Ÿฅฑ
1734672598253.jpg
 
Ukrainian forces have suffered almost 1 million casualties since February 2022 and have lost about 20,000 tanks and armored vehicles, Valery Gerasimov, the head of the Russian General Staff, told foreign diplomats on Wednesday.
Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.
Ukraine hata kama wanakufa,wanakufa kishujaa kwa kuitetea nchi yao hawajamvamia mtu,bali wamevamiwa
na damu yao inamwagika kwenye ardhi yao wenyewe,warusi na wakorea wanafia nini? N wanafia na kuozea ugenini,ni aibu kubwa na kutojari raia kwa viongozi wao.
 
Screenshot_20241220-092834.png
๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜๐Ÿคฉ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.
Ukraine hata kama wanakufa,wanakufa kishujaa kwa kuitetea nchi yao hawajamvamia mtu,bali wamevamiwa
na damu yao inamwagika kwenye ardhi yao wenyewe,warusi na wakorea wanafia nini? N wanafia na kuozea ugenini,ni aibu kubwa na kutojari raia kwa viongozi wao.
Nyinyi ndio mnatulaumu bule CCM sasa wanajeshi wa North Korea wapo Ukraine?.
 
Mimi sishangai,na mtu atakayemcheka Ukraine ajitafakari uwezo wake wa kufikiri,ni sawa na kuwacheka na walioangukiwa na ghorofa kariakoo.
Ukraine hata kama wanakufa,wanakufa kishujaa kwa kuitetea nchi yao hawajamvamia mtu,bali wamevamiwa
na damu yao inamwagika kwenye ardhi yao wenyewe,warusi na wakorea wanafia nini? N wanafia na kuozea ugenini,ni aibu kubwa na kutojari raia kwa viongozi wao.
Kumlaumu Russia kwenye hii vita ni kama kumruhusu jirani yako alivunje jiko ili kesho uje kufa kwa njaa. Ukraine kujiunga na NATO kunamaanisha Ukraine angepewa silaha za nuclear ili siku kikinuka, amlipue Russia kwa niaba ya USA kirahisi maana wapo karibu. Ni kama sisi tuwe na uadui na SA, alafu SA aingie makubaliano ya muungano na Rwanda. Hayo makubaliano na SA, yangesababisha Rwanda apewe silaha za nuclear ili amsaidie SA kutuua WATZ (kisa tupo karibu nae) kirahisi bila yeye kuingia vitani na sisi. Unafikiri sisi tungekaa kimya kuruhusu hili litokee?

Tatizo wengi hatuujui huu mgogoro hata kwa 10% ila tupo mstari wa mbele kufanya uchambuzi ulioshabihiana na mahaba mazito kupitiliza. Hata ivyo Ukraine amekipata alichokitaka. Haitokuja aje kuingia NATO hata iweje. Ardhi yake imepokwa, nchi yake imeharibiwa na raia wake wameuliwa kama sisimizi kwenye masika.

Halal. Kila mtu atavuna alichokipanda. Huu uadui wa kutaka jirani yako mliyetenganishwa kwa mpaka apotezwe kwenye uso wa dunia ni uchawi pro max uliokubuhi beyond human explanation. Wacha wafe ***** zao
 
Kwa hiyo NATO au USA wakitumia nchi nyingine si watamfikia tu?
Uliona israel alivyopeleka ndege na kumpiga iran na zikarudi salama,napo tuseme israel alitumia nchi ya karibu na iran?
Kama jirani yako hata kama ana nguvu kiasi gani,lakini akataka kukupangia marafiki na maadui,kama wewe ni mwanaume utapigana kufa na kupona.
 
Maneno ya Putin
-world test: โ€œLet them designate a target in Kiev, concentrate all their air defense systems there, and we will strike with the โ€˜Oreshnikโ€™ to see what happens. We are ready for such an experiment. Is the other side ready?โ€
Duuh ila huyu Mzee ana dharau. Kwamba Hadi THAAD itashindwa kuintercept oreshnik
 
Back
Top Bottom