kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Unajua kabisa U.S hana power ya kuzuiaPolish Minister of Foreign Affairs Radosław Sikorski: "Russia can only be readmitted to the G7 if it withdraws its troops from Ukraine."
Trump previously expressed interest in bringing Russia back.
Kwani mmebakiza vikwazo gani maana si mlimaliza vikwazo vya uchumi, mkasema miezi 6 tu Urusi itakuwa kama Zimbambwe.Hapo kesho utasikia Trump anamwambia Putin " zungumza na zelensinky au uwekewe vikwazo uchumi wako uporomoke"
Na nyumbu wote watarudi mashimoni🤩., upepo ukivuma Tena upande wao wanajitokeza Tena,hii ndio staili ya huu Uzi🏃🏃
Nyumbu wa ukraine wanaishi mashimoni?Na nyumbu wote watarudi mashimoni🤩
Poland waache kujitutumua, hawana nafasi ya kuamua kuhusu hiliPolish Minister of Foreign Affairs Radosław Sikorski: "Russia can only be readmitted to the G7 if it withdraws its troops from Ukraine."
Trump previously expressed interest in bringing Russia back.
Baba Yako anapomsalimia adui Yako Kwa bashasha mbele Yako, utafanyanye?Soon mtaelewa tunaposema EU na NATO ni mikono ya US anayotumia kuitawala dunia. Haijalishi sera na maamuzi ya USA ya mambo ya nje ina walakini na haieleweki kiasi gani mwisho wa siku EU na NATO wataitekeleza tu. Subiri uone ikiwa Trump atakutana na Putin, baada ya hapo viongozi wa magharibi mmoja mmoja wataanza kukutana na Putin hata kishingo upande kunegotiate namna ya kumaliza huu mgogoro.
Mara nyingi ukiwaona wengine ni wajinga kutokana na misimamo yao au maoni Yao wewe unayeona hivyo ndo mjinga mwenyewe, heshimu maoni ya wengine .Hapo kesho utasikia Trump anamwambia Putin " zungumza na zelensinky au uwekewe vikwazo uchumi wako uporomoke"
Na nyumbu wote watarudi mashimoni🤩., upepo ukivuma Tena upande wao wanajitokeza Tena,hii ndio staili ya huu Uzi🏃🏃
Huielewi USA, huielewi EU wala humuelewi Trump. Pengine hata Putin.Soon mtaelewa tunaposema EU na NATO ni mikono ya US anayotumia kuitawala dunia. Haijalishi sera na maamuzi ya USA ya mambo ya nje ina walakini na haieleweki kiasi gani mwisho wa siku EU na NATO wataitekeleza tu. Subiri uone ikiwa Trump atakutana na Putin, baada ya hapo viongozi wa magharibi mmoja mmoja wataanza kukutana na Putin hata kishingo upande kunegotiate namna ya kumaliza huu mgogoro.