LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said that due to its ongoing war against Ukraine, Russia has been forced to withdraw a significant portion of its military contingent from Transnistria.
 
The second German Rheinmetall ammunition production plant in Ukraine will begin operating at the end of 2025. The company's CEO, Armin Papperger, emphasized that Rheinmetall will not abandon plans to invest in Ukraine, even if the war ends this year. Europe will need millions of munitions to fill its warehouses and increase its military arsenals. Europe after the Russian invasion of Ukraine will never be the same militarily.
 
U.S. President Donald Trump's special envoy for Ukraine and Russia, Keith Kellogg, attended a panel discussion during the Munich Security Conference on Feb. 15 where he called for the the U.S. to implement additional sanctions on Russia's "shadow fleet," while also calling for concessions from both countries to secure a peace deal.
 
Hapo kesho utasikia Trump anamwambia Putin " zungumza na zelensinky au uwekewe vikwazo uchumi wako uporomoke"
Na nyumbu wote watarudi mashimoni🤩., upepo ukivuma Tena upande wao wanajitokeza Tena,hii ndio staili ya huu Uzi🏃🏃
Kwani mmebakiza vikwazo gani maana si mlimaliza vikwazo vya uchumi, mkasema miezi 6 tu Urusi itakuwa kama Zimbambwe.

Ebu jiongeze na wewe hata kidogo.yani mtu kawekewa vikwazo vya uchumi alafu uchumi wake ndo umezidi kukuwa baada ya kushuka.sasa unategemea utafanya nini hapo
 
Lancet- hata ukijificha chumbani inakufikia.🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 

Attachments

  • Army-2020-315.JPG
    Army-2020-315.JPG
    171.5 KB · Views: 2
Soon mtaelewa tunaposema EU na NATO ni mikono ya US anayotumia kuitawala dunia. Haijalishi sera na maamuzi ya USA ya mambo ya nje ina walakini na haieleweki kiasi gani mwisho wa siku EU na NATO wataitekeleza tu. Subiri uone ikiwa Trump atakutana na Putin, baada ya hapo viongozi wa magharibi mmoja mmoja wataanza kukutana na Putin hata kishingo upande kunegotiate namna ya kumaliza huu mgogoro.
Baba Yako anapomsalimia adui Yako Kwa bashasha mbele Yako, utafanyanye?
 
Hapo kesho utasikia Trump anamwambia Putin " zungumza na zelensinky au uwekewe vikwazo uchumi wako uporomoke"
Na nyumbu wote watarudi mashimoni🤩., upepo ukivuma Tena upande wao wanajitokeza Tena,hii ndio staili ya huu Uzi🏃🏃
Mara nyingi ukiwaona wengine ni wajinga kutokana na misimamo yao au maoni Yao wewe unayeona hivyo ndo mjinga mwenyewe, heshimu maoni ya wengine .
 

View: https://x.com/BarakRavid/status/1890797845424332824

Watu wanaenda kujadili mustakabali wa nchi yako lakini wewe huusishwi kwachochote lakini utekelezaji wa maamuzi ni lazima uyatii. Alafu kuna watu hapa jukwaani wanadhani Ukraine ndio ipo vitani na Urusi. Zelensky ni aina ya viongozi wa ajabu sana kuwahi kutokea katika karne hii ya 21 tena barani Ulaya.

Nchi yake imevamiwa anapewa maelekezo asikubali makubaliano yoyote ya amani na anajitungia sheria kuwa hatakaa kwenye meza ya mazungumzo na Urusi. Leo hii ardhi yenye vito ya Donbas ipo chini ya uvamizi, waliomtuma kuichokoza Urusi wameona haiwezekani kumshinda Urusi wakaona wakubaliane na Urusi kumaliza mgogoro lakini Zelensky hajui huko Saudia watajadili nini. Mazungumzo ya simu baina ya Putin na Trump ni wazi kuwa Marekani wamefanya tathmini yao kuwa kwa namna yoyote Urusi haiwezi kushindwa kwenye uwanja wa vita, Trump hataki nchi yake ipate hasara ya kumwaga mabilioni ya dola huku Urusi inazidi kusonga mbele kwa kuteka migodi na ardhi ambayo wameona hakutakuwa na uwezekano wa kuikomboa ili wanufaike kwaa misaada na mikopo waliyoitoa kwa Ukraine. Sasa Ukraine imepoteza ardhi, watu, nchi imeharibika na kulemewa na mzigo wa madeni.
 
Soon mtaelewa tunaposema EU na NATO ni mikono ya US anayotumia kuitawala dunia. Haijalishi sera na maamuzi ya USA ya mambo ya nje ina walakini na haieleweki kiasi gani mwisho wa siku EU na NATO wataitekeleza tu. Subiri uone ikiwa Trump atakutana na Putin, baada ya hapo viongozi wa magharibi mmoja mmoja wataanza kukutana na Putin hata kishingo upande kunegotiate namna ya kumaliza huu mgogoro.
Huielewi USA, huielewi EU wala humuelewi Trump. Pengine hata Putin.

Kufikiria kuwa viongozi wa EU watajadiliana na Putin baada ya Trump “kujikomba” kwa Putin ni kutoelewa kabisa itikadi na sera zinazoongoza geopolitics za Marekani, EU na Urusi ya Putin.

Mgogoro wa Putin na Zelenskyy tayari umeisha kwa Trump “kuiuza” Ukraine kwa Putin kwa raha zake. Mchezo umeisha kati ya USA, Putin na Ukraine. Period.

EU watabakia kuangalia maslahi yao wenyewe baada ya USA ya Trump kujitenga. Na Putin hawahusu labda aanze kuwatishia kwa lolote ndio wataamua jinsi ya kushughulika naye. EU sio Ukraine (iliyokuwa sehemu muhimu sana ya USSR enzi za vita baridi).
 
Negotiations bado haijawaokoa warusi.wanazidi kuchinjwa tu..,hii ni Jana tu , zaidi ya elf Moja na miasaba walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱
1739692926408.jpg
 
Russian offensive near Pokrovsk has slowed down in the past two weeks, - ISW

According to analysts, the offensive of Russian troops south and southwest of Pokrovsk has slowed down in the past two weeks. This is against the background that the Russian command may prioritize offensive operations in the spring and summer of 2025 on Kostyantynivka – the southernmost point of Ukraine's defense line in the Donetsk regio
1739693224938.jpg
n.
 
Back
Top Bottom