Wanajeshi 200 seriously 😐Switzerland could provide 200 soldiers for a future peacekeeping mission in Ukraine if an official request is made and the government approves the decision, Swiss Armed Forces Commander Thomas Süssli said in an interview with Swiss outlet SonntagsBlick on Feb. 23.
If Russia hasn’t been able to occupy more than 19% of Ukraine since 2014, how can it defeat NATO or seize Europe? It’s impossible. Their plans are failing, their army is weakening. It’s time to stop Moscow in Ukraine. Ukraine’s victory is Europe’s security. The time to act is NOW.
If you would like to support our efforts, you can donate as much as you like by clicking on the link:
Meanwhile in Ukraine
If you would like to support our work, you can buy us a coffee!www.buymeacoffee.com
Thanks for everything 💙💛
Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2
Sasa hivi Russia anajipigia tu, hakuna resistance. Mpaka mazungumzo ya amani kuanza sijui atakuwa amefika wapi.February 24, 2025, 7:40 pm ET
Russian forces recently advanced in Kursk Oblast and near Chasiv Yar, Pokrovsk, and Velyka Novosilka.
Trump atamaliza miaka yake minne ya utawala akiacha mabadiliko makubwa duniani.Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2
Trump anaonesha dharau sana kwa EU, msamiati wa lugha ya kidiplomasia hauna nafasi kabisa kwake. 😀 😀⚡President Trump says without the United States and its money, Russia would have defeated Ukraine "in a very short period of time."
Sisi tunakitu kinaitwa "inferiority complex". Lakin ukiangalia wazungu zaid ya wizi wa mababu zao ni hawana akili kabsa kabsa!!!Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2
Sijui kwanini huwa tunawaona wanasiasa wa ulaya ni ma-genius? Huu ujinga angeufanya kiongozi wa Afrika ndio ungekuwa mfano majukwaani
Ule msemo wakukata tawi ulilokalia ndio Germany aliutekeleza.Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2
Sijui kwanini huwa tunawaona wanasiasa wa ulaya ni ma-genius? Huu ujinga angeufanya kiongozi wa Afrika ndio ungekuwa mfano majukwaani
Nadhani pamoja na kaliba yake ya who cares, kwa upepo alioingia nao madarakani msimu huu naona trump amedhamiria kulipiza kisasi kutokana na hujuma au mkwamo aliowekewa na wapinzani wake wa ndani na nje ya US kutotawala muhula wa pili. Jamaa alipigwa vita karibia na kila mtu hadi waliokuwa ndani ya chama chake. Sasa ni kama anafanya maamuzi yanayolenga kuwaathiri wote kisiasa na kiuchumi ikiwemo wanasiasa wa europe waliokuwa wanashadadia asipewe muhula mwingine wa uongozi.Trump anaonesha dharau sana kwa EU, msamiati wa lugha ya kidiplomasia hauna nafasi kabisa kwake. 😀 😀