Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Tusichukulie hii kama mechi ya mpira.Kama unaweza kuweka kwenye PDF hoja na majibu ya member Warusi wazalendo humu JF ukaanza zipitia upya moja baada ya nyingine utagundua kuwa tangu day 1, wana expectation kubwa mno. Wanatamani lishuke bomu moja limalize kila kitu wamtukuze Mrusi ila Puttin anawaangusha.
Mmoja alisifia maamuzi ya Puttin kushambulia maeneo yenye makazi Sasa hivi huyo huyo ameshasahau anasema warusi wana utu sana hahawezi piga sehemu yenye watu hii ni operation sio vita.
Inabidi uwe na uwendawazimu na ego kubwa ndio uanzishe vita baina ya Russia na NATO. Kama Hitler alivyokuwa anajiona yeye ndio yeye akapigana na nchi kibao, bora yeye alikuwa na silaha na jeshi linapiga hasa na makamanda wake walikuwa moto wa kuotea mbali.Hapa nabeti tu msinihukumu?
Kwa mwendo huu wa NATO, Poland itapigwa halafu watasema, akiigusa ujerumani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo na sisi wahuni tunaotembea bega Moja chini na miondoko yetu ya kudunda tunakaribia kuumwa parkinson's eti .... Hizo ni style za mitembeo ambayo Kila Moja duniani anastyle yake ya kutembea .... Acheni unamaaaaUmenifanya nirudi kuangalia clip zake kama mbili tatu hivi,hilo la mkono ni kweli nimenotice.
Hili nakuhakikishia hawatafanya kuisaidia Taiwan.China hatii mguu Taiwan maana U.S ana mutual assurance agreement na Taiwan pindi pale Taiwan itakaposhambuliwa U.S inaingia moja kwa moja kumsaidia.
Nani alikwambia Urusi ni makafiri?
Kuna republic ngapi za kiisalmu Urusi?
Kuna oblast ngapi za kiisalmu huko Urusi?
Hilo ni Taifa la wapenda haki sio nyie nyang'au
NATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.Oya mpelekeni milembe huyu kashakuwa chizi kwanza jana umewalisha watu matangopori eti Putin mkono wake mbovu data zako unagoogle wapi mzee? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama Russia hana uwezo wa kupigana na NATO wanaogopa nini kuingia vitani?? Unaichukulia Russia kma jeshi la Malawi hvi mzee. Acha kudanganya watu mzee. NATO ni waoga na dhaifu huo ndo ukweli.
Eti jeshi la Russia ni dhaifu mkuu embu nitajie silaha kali alotumia Russia mpaka sasa jeshi kapeleka watoto wabichi kabisa we umeona red army pale embu kuwa siriaz kidogo. Unalisha sana watu matangopori humu ndani.
Asante kwa maoni yakoKwa hiyo na sisi wahuni tunaotembea bega Moja chini na miondoko yetu ya kudunda tunakaribia kuumwa parkinson's eti .... Hizo ni style za mitembeo ambayo Kila Moja duniani anastyle yake ya kutembea .... Acheni unamaaaa
Wewe unasumbuka sana. Jaribu kujifunza History and GeopoliticsNATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.
NATO inaiogopa Russia haijavamia, mbona NATO inatoa silaha Russia apigwe. Russia naye atoe silaha ili NATO apigwe, aanze na hilo ili aendelee kujipanga na vita
Mkuu mbona umepaniki, au wazee wamefukiza moshi now unatoka pangoni PRO NATO??NATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.
NATO inaiogopa Russia haijavamia, mbona NATO inatoa silaha Russia apigwe. Russia naye atoe silaha ili NATO apigwe, aanze na hilo ili aendelee kujipanga na vita
Kwa hiyo Kiev haijafikiwa SI ndio !!!?Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani×2
Hataki kujua hajui hivyo anateseka sana watu wasipoelewa mataputapu anayetuletea hapaWewe unasumbuka sana. Jaribu kujifunza History and Geopolitics
Idiots are strategically distributed in such a way a way that a person might meet one or two in a day, today I already have mine.Hoja ya kipuuzi kabisa, unaelewa nini kuhusu fursa na kutanua masoko? Unafikiri ni warusi pekee ndo wanawekeza nje ya nchi yao? Jielimishe kijana
You know nothing while pretending to be a brave one what a shame!!!!Idiots are strategically distributed in such a way a way that a person might meet one or two in a day, today I already have mine.