Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....ambush....
Wameishaona US amewavika mkenge....Lile bomu kwao linafika haraka. Wameona Sasa hakuna namna watulie wafikirie wanarudije kwa Mheshimiwa.Balkan States?
Estonia, Latvia, Lithuania, Moldova, Georgia. Slovenia, and alike?
Where is Finland?
Hapa Pana madini.Nimalizie kwa sasa strategy ya marekani ni kujipanga upya, hili pigo hawezi kubali lipite hivi hivi yupo kwenye kipindi cha kurudisha pesa zake na kuwekeza zaidi mipango yake ya ndani. hawezi kata misaada alale tu na pesa ndani na haya mambo anayozuia kuna jambo la siri linaandaliwa kwa kukava image yake siku za mbeleni.
European union wana mitambo gani ya kumtisha Mrusi?Hammaz,
Uk PM's Starmer pledge 1.6bn pounds deal of funding to Ukraine.
Three main stuff.
1. Keep military aid flowing to Ukraine.
2. Boosting Ukraine defence capability.
3. Coalition of willing to defend Ukraine defence system.
But, msaada wa Marekani bado wahitajika.
Yaani ni kwamba bado jamaa wataitaka vita hadi Russia avunjwe.
Take Note:
Russia hawezi kukubali NATO/ UK au France troops ziende Ukraine.
Lakini hapohapo Marekani kama watasaini dili na Zele nao watakuwa na makampuni yao pale Ukraine (upande wa magharibi) na raia wa Marekani watakuwepo pale hivyo kuhitaji security guarantee kutoka kwa Marekani ambayo ni lazima ataitoa.
EU/NATO watataka kutumia hiyo security guarantee kuweka mitambo yao kw auzingatia aloyasema Starmer hapo juu ili uwe mwanvuli wa kuweka mitambo ya nguvu pale kisha Russia akichokozwa ajaribu mapigo na kisha wammalize.
Hivyo bado Russia hawawezi kukubali hiyo ya vikosi kuingizwa Ukraine kwa kuzingatia intelligence analysis zilifanywa na majasusi wao.
Hawana kitu ndo maana wao nyuma ya NATO wamejificha.European union wana mitambo gani ya kumtisha Mrusi?
These short-tempered warmongers will determine when it's too late that Trump had been right all along.U.K. Prime Minister Keir Starmer said on March 2 that a number of European nations, including the U.K. and France, are developing a 'coalition of the willing' that will include "planes in the air and boots on the ground" in an effort to negotiate a successful ceasefire in Ukraine.
The reality remains that Ukraine was manipulated by US (when Trump authorized to send Javelin) to bait Russia into invading Ukraine and then arming the Ukrainian military but not committing US forces in front-line.These short-tempered warmongers will determine when it's too late that Trump had been right all along.
It's obvious they are about to make yet another tactical mistake - the first one being conning Zelenskyy into waging war that should never have happened in the first place.
If this is some kind of Trump's card, trying to hypocritically forge peace with Russia all the while inciting chaos through her allies, then he's surely headed for an unforgettable surprise.
I hope this is just my supposition, considering his many unassuming speeches against the conflict. But if it's true, then he's the worst of the worst!
Kwa nini jamaa anasema WAS??? Ina maana mchakato wa kuleta amani kwa mazungumzo ya pamoja ndiyo basi tena???Konstantin Kosachev said Ukraine's only hope for peace was through Moscow and the US deepening their ties.
Kwa msimamo walioonyesha EU na UK unategemea kuna mazungumzo tena hapo?Kwa nini jamaa anasema WAS??? Ina maana mchakato wa kuleta amani kwa mazungumzo ya pamoja ndiyo basi tena???