quantumania
Senior Member
- Dec 23, 2015
- 119
- 372
ha ha ha daaa hii yote ni kutokukubali kuwa Russia ni warmonger sio?? uhalisia kwenye field unaonekana nani anatembeza kichapo zaidi ila mnalazimisha tuamini kuwa russia. kaumia.Usisahau hii vita imeiacha pia Urusi na hasa jeshi lake kwenye hali mbaya sana rejea makumi elfu ya vifo vya askari wa Urusi mpaka kupeleka wafungwa kupitia 'Wagner' na hasira nyingine nyingi za vifaa ilizopata Urusi huko Ukraine.
Kichapo kinaendelea dhidi ya warusi View attachment 3259628
CIA confirms halt of intelligence sharing with UkraineKichapo...
Myanmar fully supports Russia’s military campaign against Ukraine and is confident in Moscow’s victory, the Asian country’s prime minister, Min Aung Hlaing, has said.Ikumbukwe Ukraine haipigani
Mwamba huyu hapa
Imeshindikana kui Isolate Russia.Myanmar fully supports Russia’s military campaign against Ukraine and is confident in Moscow’s victory, the Asian country’s prime minister, Min Aung Hlaing, has said.
Mwenzako kasema remote ipo moscow 🤣============
Utawala wa Trump umeamua kuikomoa Ukraine.
Huyo mlima mpunga siku hizi anaogopa hii thread hatari.... Kumbukumbu zake humu zinamwacha uchi==================
Zelensky ana wakati mgumu kuendesha hii vita bila msaada wa Marekani.
Ulaya inaonekana bado hawawezi kuziba pengo la Marekani.
T14 Armata
Wanajaribu kumlazimisha Rais Zelensky afanye wanachokitaka, japo walishindwa kumshirikisha kwenye mazungumzo kule Saud Arabia.CIA confirms halt of intelligence sharing with Ukraine
--details to follow
Lazima angefanya hivyo, vinginevyo angauawa yeye.Mtu mkatili sana huyu,alimtoboa kwa visu mwili mzima Myukaine yule hadi akafia mikononi mwake.
Mkuu nadhani bado kuna nchi zaidi ya 40 zinam support Zelensky zitafidia gap, ndio wakati wakuonyesha ukubwa wao, kama walivyosema wanaweza bila U.S============
Utawala wa Trump umeamua kuikomoa Ukraine.
Ukichanganya wote utaona wamechangia pakubwa kuliko US.Mkuu nadhani bado kuna nchi zaidi ya 40 zinam support Zelensky zitafidia gap, ndio wakati wakuonyesha ukubwa wao, kama walivyosema wanaweza bila U.S