Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Limuru road hapa umoja wa Mataifa Nairobi along UN Avenue jamaa alifunga ka ofisi which was streaming live from Uwanja wa mapambano huko The Siverskyi Donets – Donbas. lets cut them some slacks
Mixx ni mmoja wa wachangiaji makini kabisa wa jukwaa hili akiwa Pro haki mwenzetu tumetoka nae mbali sana,akichangia kutokea Nairobi akiongozwa na facts na history.
Wewe ni pro haki na pro Russia katika thread hii,mchango wako ni mkubwa mno na hutasahaulika.
 
Am much humbled my buddy
Aaah mwamba tumetoka mbali sana,mmefanya kazi kubwa sana ya kutoa Elimu adimu,watu wengi sana walikua hawajui vitu vingi,walidhani west ndio Kila kitu.
Watu hawakua wakituamini hasa linapokuja suala la kuonesha madhaifu ya west watu walituona kama mataahira Fulani hivi,lkn Leo Trump kawa prove wrong,hata kuwaambia TU kua bila USA Urusi ingeweza kuichukua Kiev ndani ya siku 14 TU.
Tulipokua tukiwaambia haya walituona mafala.
 
Kuwa na Rais wa hivi ni hasara sana
 
Kuwa na Rais wa hivi ni hasara sana
Taifa la ukraine liliingia hasara kubwa sana kua na Rais huyu.

Kwa ujinga wake amesababisha Ukraine
-imepoteza eneo kubwa sana,haitakua kama zamani kieneo,eneo lenye kilomo, madini,viwanda na watu wenye uwezo wa kizalisha.
-Imepoteza nusu ya wanajeshi na silaha zake
-Imepoteza raia wake wengi sana,nguvu kazi ya taifa,
-Raia wengi wamekimbia nchi,nguvu kazi ya taifa.
-miundombinu imeharibiwa,
-viwqnda muhimu vimepotea,
 
Jamaa itakuwa wamemnyofoa ubongo anatumia urojo kufikiria. Mpaka Jana bado anakwambia Kursk inaweza kuwa bargaining chip ya wao kurudishiwa occupied territories. Mpaka Jana bado anasema jeshi lake Kursk linaendelea kutimiza majukum kama kawaida!
Hivi huyu mtu anamiliki ubongo kweli?
 
⚡Putin made Trump's envoy Witkoff wait 8 hours while he held a meeting with Lukashenko in Moscow.
Hii michezo ya kuwasubirisha wageni wake anaipenda Sana PUTIN,

Lengo nadhan apa anakua chemba anakusoma vzuri kwny CCTV, akili na lengo lako, anakukagua in&out bila wee kujijua Kama unania mbaya au lah.

Angela markel WA ujerumani nae amewai subirishwa masaa 3+ na alipokuja, akatokea na bonge la mbwa jeusi.

Hii Angela markel aliona Kama DHARAU na alilalamika media zote kua kavunjiwa heshima 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…