Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 298
- 396
Poland fyoko fyoko sana...anatabiaa zinazofanana na Ukraine. Russia ni akili kubwa atamvamiaa kama atakuwa threat kwao..ila kwa sasa sizani ..target kubwa ya Russia ni Ukraine amalizanee na Ukraine aendelee kuvuna maliasili na manpower ya wakazi ya ayo maeneo kutanuaa zaidi uchumi wake. Muda wa Poland ukifika nayee atapelekewa moto mtakatifu. Russia anapigana kimahesabu sana. Yeye sio gaidi kama MarekaniHakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, ni Poland
Huo msaada na vikao vya kila siku NATO wanakaa huwa ni kwa ajiri ya nani?Ukraine imeweza..
Mmeshamalizana na M23 ?
Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.Huo msaada na vikao vya kila siku NATO wanakaa huwa ni kwa ajiri ya nani?
Nitajie hata silaha moja unayoijua wewe kutoka mataifa hayo unayoyasema wanaitumia Warusi uwanja wa vita?Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.
Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
Kwa usichokijuaa Russia ..ana wamonitor awo malaya wa marekani yani Poland, Finland na vinchi vinginee vyotee vinavyopakana na Russia. Toka kitambo wapo kwenye viganja vya Miguel yake. Russia sio Libya au Zimbabwe..Wao pia wamejipanga wanasubiri aje .
Ukraine aliambiaa hivyo hivyo yuko wapi saiv....😂😂😂 hii Poland hata Tanzania tukiamua tunapata matokeo vizuri tu, Vita ni historia kama una damu ya kupigana uwezi toboa uwanja wa vita.
Nachojua alinunua drones kutoka Iran na wanajeshi wachache wa k. Kaskazini kwenda kuchukua ujuzi wa vita. Hiyo misaada unayoijua wewe naomba itaje hapaUrusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.
Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
Sawa@Mohamedidrisa Nende kachezee kombolela na dada zako..unaongeaa pumba sana
Hizo drones na wanajeshi sio misaada ?Nachojua alinunua drones kutoka Iran na wanajeshi wachache wa k. Kaskazini kwenda kuchukua ujuzi wa vita. Hiyo misaada unayoijua wewe naomba itaje hapa
Waendesha mashitaka walipo taka kufuta hiyo sheria wakaandamwa mpaka wengine wakakimbia nchi.Katiba ya Ukraine hairuhusu uchaguzi kunapokuwa na 'marshal law' hilo lipo wazi.
Kwahiyo Ukraine inatumia silaha ambazo sio za Nato?Thubutuuuuuuu.....
Kama Ukraine kaishindwa sembuse Poland yenye silaha za kila namna za NATO.
Hizo za Ukraine ni za kizazi cha pili tu ila zimeitoa ngeu supa-pawa.Kwahiyo Ukraine inatumia silaha ambazo sio za Nato?
Au poland ina silaha tofauti na akina leopard, na Abraham, na akina javelin?
Vipi kuhusu ile offensive iliyo feli vibaya sana iliyo andaliwa kwa mwaka mzima kwa mbwebwe za Leopard na Abraham na yenyewe walikuwa wanatumia silaha za kujilinda?Silaha nyingi zilizotolewa ni defensive tu na zile chache za offensive zimetolewa kwa kuchelewa Sana tena zikiambatana na masharti ya kuibana Ukraine kuhusu mipaka ya kuzitumia.
Ila Putin akijichanganya kwa Poland, huo unafuu alioupata kwa Ukraine hatauona katu, atapata tabu mno.
Ukraine walikosea wenyewe tu kuanzia kupanga mpaka utekelezajiVipi kuhusu ile offensive iliyo feli vibaya sana iliyo andaliwa kwa mwaka mzima kwa mbwebwe za Leopard na Abraham na yenyewe walikuwa wanatumia silaha za kujilinda?
Kumbe sasa inakuwaje mataifa manne tena masikini kwa mujibu wenu yayashinde mataifa zaidi ya hamsini ambayo ndo masupapawa wa ukweli.Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.
Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
Kwahiyo kumbe Tz inapokea msaada wa silaha sio inanunua?Hizo drones na wanajeshi sio misaada ?
Lakini nyinyi si mlikuwa mnajitapa na hiyo Offensive kwa kusema ingeifurusha urusi?Ukraine walikosea wenyewe tu kuanzia kupanga mpaka utekelezaji
Sasa huoni unajikana mwenyewe kwa maneno yako wangefanyaje mashambulizi kwa siraha za kujilinda?Ukraine walikosea wenyewe tu kuanzia kupanga mpaka utekelezaji
Team Nato wengi kichwani hamna kitu, usihangaike kumuelimisha tenaNdio maana hao Judges waliipmaana
Na kwa katiba yao marshal law inaweza kutengeliwa na constitutional court pamoja na Supreme court ambao kawaweka jela na mwingine exile
South korea Raisi aliweka alitaka kufanya upumbavu akaweka marsha kama kinga ya maamuzi aliyotaka kufanya, court ikatengua